refa omar artan

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Refa Omar Artan aliyezuiwa kuingia Marekani ateuliwa na UEFA kuchezesha Fainali ya Super Cup kati ya PSG na Aston Villa

    Shirikisho la Soka Barani Ulaya (UEFA) limemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Somalia, Omar Abdulkadir Artan, kuchezesha mchezo wa fainali ya UEFA Super Cup kati ya Paris Saint-Germain na Aston Villa utakaofanyika Agosti 12 mjini Salzburg. Uteuzi huo unakuja siku chache baada ya Artan kuzuiwa...
Back
Top Bottom