Refa Omar Artan aliyezuiwa kuingia Marekani ateuliwa na UEFA kuchezesha Fainali ya Super Cup kati ya PSG na Aston Villa

Refa Omar Artan aliyezuiwa kuingia Marekani ateuliwa na UEFA kuchezesha Fainali ya Super Cup kati ya PSG na Aston Villa

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
695
Reaction score
1,817
Shirikisho la Soka Barani Ulaya (UEFA) limemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Somalia, Omar Abdulkadir Artan, kuchezesha mchezo wa fainali ya UEFA Super Cup kati ya Paris Saint-Germain na Aston Villa utakaofanyika Agosti 12 mjini Salzburg.

1781203883967.png
Uteuzi huo unakuja siku chache baada ya Artan kuzuiwa kuingia nchini Marekani, jambo lililomfanya ashindwe kushiriki kama mwamuzi katika mashindano ya Kombe la Dunia 2026 licha ya kuwa miongoni mwa waamuzi walioteuliwa na FIFA.

1781204011928.png

Via: Reuters

Soma Pia: Mwamuzi wa Somalia, Omar Artan, azuiwa kuingia Marekani, kuchezesha Kombe la Dunia 2026

============

Somali referee Omar Abdulkadir Artan, who is unable to take part in the World Cup after being denied entry to the United States, has been appointed to officiate the UEFA Super Cup between Paris St Germain and Aston Villa.

Artan, 34, was named ⁠among match officials for the June 11-July 19 World Cup but was forced to miss the tournament after U.S. authorities refused him entry despite having a valid visa.

European soccer's governing body said on Thursday that his appointment for the Super Cup followed discussions with the Confederation of African Football (CAF) and formed part of a recently signed cooperation agreement between the two bodies.

The August 12 match in Salzburg pits Champions League winners ‌Paris ⁠St Germain against Europa League holders Aston Villa.

"Omar Artan has made Somalia and the entire people of the African Continent, extremely proud. His receipt of the CAF Men’s Referee of the Year Award 2025 and his appointment as a ⁠referee of the FIFA World Cup 2026 are a recognition of his world-class refereeing ability and the international respect that he enjoys," said CAF president Patrice Motsepe.

President ⁠Donald Trump's strict immigration policies have been a point of concern for the World Cup, with Washington imposing a sweeping travel ban ⁠last year on citizens of 12 countries, including Somalia.
An administration official said on Tuesday that Artan was denied entry because of his links to "suspected members of terror organizations".
 
Shirkisho la mpira barani ulaya UEFA limemteuwa Omar artan kusimamia mchezo wa Uefa supercup kati ya PSG na Aston villa uko jijini salzburg
 

Attachments

  • 1781185122802.jpg
    1781185122802.jpg
    87.4 KB · Views: 25
  • Screenshot_20260611_163951_Lite.jpg
    Screenshot_20260611_163951_Lite.jpg
    113.2 KB · Views: 23
Haijawahi kutokea mweusi wa africa akachezeshe mechi za ulaya
Safi sana UEFA
Hili kombe la dunia mwaka huu la kingese sana bora hata ndondo cup kombe la mbuzi
 
Shirikisho la Soka Barani Ulaya (UEFA) limemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Somalia, Omar Abdulkadir Artan, kuchezesha mchezo wa fainali ya UEFA Super Cup kati ya Paris Saint-Germain na Aston Villa utakaofanyika Agosti 12 mjini Salzburg.

Uteuzi huo unakuja siku chache baada ya Artan kuzuiwa kuingia nchini Marekani, jambo lililomfanya ashindwe kushiriki kama mwamuzi katika mashindano ya Kombe la Dunia 2026 licha ya kuwa miongoni mwa waamuzi walioteuliwa na FIFA.

Soma Pia: Mwamuzi wa Somalia, Omar Artan, azuiwa kuingia Marekani, kuchezesha Kombe la Dunia 2026


============
Somali referee Omar Abdulkadir Artan, who is unable to take part ‌in the World Cup after being denied entry to the United States, has been appointed to officiate next month's UEFA Super Cup between ⁠Paris St Germain and Aston Villa.

Artan, 34, was named among match officials for the June 11-July 19 World Cup but was forced to miss the tournament after U.S. authorities refused him entry despite having a ‌valid ⁠visa.
Naye aache kucomment hovyo kwenye mitandao. Inaonekana ni member wa Al Shabab huyu.
20260611_192740.jpg
 
Back
Top Bottom