Jikite kwenye madaWasomali wenyewe wanasema wao siyo waafrica
Jikite kwenye madaWasomali wenyewe wanasema wao siyo waafrica
World cup ni ndogo kuliko UEFA super Cup?Aya sasa anaenda kuchezesha game kubwa kuliko ata iyo ya worldcup
Wengi ni wairan weusi ndio wanalalamikaNadhani kila nchi ina sheria, Sera na utaratibu wake kwenye mambo ya immigration....wao wanayo haki ya kuamua nani aingie na nani asiingie kulingana na sheria zao kama ambavyo nchi zingine hufanya!!!
Nadhani suala hili linabebwa kimihemko na chuki dhidi ya Marekani na sio katika logic tu ya kawaida!!!!
Marekani siyo mbinguni mzee aya sasa kapewa heshima kubwa zaidi ya ile
Achana na huyo kikaragosi ..hao ndio wnaaoinamishwa huko marekani na WAMAREKANI wao
wamarekani siku zote ni wapumbavu wakubwa tu...nilisema tu kua wamempa jamaa promo ya Bure ya KIDUNIA ...huyu jamaa thaaman yake imepanda maradufu na atapata madili makubwa ya matangazo
Watoto wa mudi mjifunze kuwa wagalatia hawana hizo chuki mlizoaminishwa kwenye kitabu chenu quran.hao Marekani wenu mbwa tu. sijui mnapapendea nini. ni bora nitulie kwetu Arumeru nivute mabangi nilime kuliko huko ushetanini
Abadili uraiaShirikisho la Soka Barani Ulaya (UEFA) limemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Somalia, Omar Abdulkadir Artan, kuchezesha mchezo wa fainali ya UEFA Super Cup kati ya Paris Saint-Germain na Aston Villa utakaofanyika Agosti 12 mjini Salzburg.
Uteuzi huo unakuja siku chache baada ya Artan kuzuiwa kuingia nchini Marekani, jambo lililomfanya ashindwe kushiriki kama mwamuzi katika mashindano ya Kombe la Dunia 2026 licha ya kuwa miongoni mwa waamuzi walioteuliwa na FIFA.
Via: Reuters
Soma Pia: Mwamuzi wa Somalia, Omar Artan, azuiwa kuingia Marekani, kuchezesha Kombe la Dunia 2026
============
Somali referee Omar Abdulkadir Artan, who is unable to take part in the World Cup after being denied entry to the United States, has been appointed to officiate the UEFA Super Cup between Paris St Germain and Aston Villa.
Artan, 34, was named among match officials for the June 11-July 19 World Cup but was forced to miss the tournament after U.S. authorities refused him entry despite having a valid visa.
European soccer's governing body said on Thursday that his appointment for the Super Cup followed discussions with the Confederation of African Football (CAF) and formed part of a recently signed cooperation agreement between the two bodies.
The August 12 match in Salzburg pits Champions League winners Paris St Germain against Europa League holders Aston Villa.
"Omar Artan has made Somalia and the entire people of the African Continent, extremely proud. His receipt of the CAF Men’s Referee of the Year Award 2025 and his appointment as a referee of the FIFA World Cup 2026 are a recognition of his world-class refereeing ability and the international respect that he enjoys," said CAF president Patrice Motsepe.
President Donald Trump's strict immigration policies have been a point of concern for the World Cup, with Washington imposing a sweeping travel ban last year on citizens of 12 countries, including Somalia.
An administration official said on Tuesday that Artan was denied entry because of his links to "suspected members of terror organizations".
Is that an issue for us so far?Shirikisho la Soka Barani Ulaya (UEFA) limemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Somalia, Omar Abdulkadir Artan, kuchezesha mchezo wa fainali ya UEFA Super Cup kati ya Paris Saint-Germain na Aston Villa utakaofanyika Agosti 12 mjini Salzburg.
Uteuzi huo unakuja siku chache baada ya Artan kuzuiwa kuingia nchini Marekani, jambo lililomfanya ashindwe kushiriki kama mwamuzi katika mashindano ya Kombe la Dunia 2026 licha ya kuwa miongoni mwa waamuzi walioteuliwa na FIFA.
Via: Reuters
Soma Pia: Mwamuzi wa Somalia, Omar Artan, azuiwa kuingia Marekani, kuchezesha Kombe la Dunia 2026
============
Somali referee Omar Abdulkadir Artan, who is unable to take part in the World Cup after being denied entry to the United States, has been appointed to officiate the UEFA Super Cup between Paris St Germain and Aston Villa.
Artan, 34, was named among match officials for the June 11-July 19 World Cup but was forced to miss the tournament after U.S. authorities refused him entry despite having a valid visa.
European soccer's governing body said on Thursday that his appointment for the Super Cup followed discussions with the Confederation of African Football (CAF) and formed part of a recently signed cooperation agreement between the two bodies.
The August 12 match in Salzburg pits Champions League winners Paris St Germain against Europa League holders Aston Villa.
"Omar Artan has made Somalia and the entire people of the African Continent, extremely proud. His receipt of the CAF Men’s Referee of the Year Award 2025 and his appointment as a referee of the FIFA World Cup 2026 are a recognition of his world-class refereeing ability and the international respect that he enjoys," said CAF president Patrice Motsepe.
President Donald Trump's strict immigration policies have been a point of concern for the World Cup, with Washington imposing a sweeping travel ban last year on citizens of 12 countries, including Somalia.
An administration official said on Tuesday that Artan was denied entry because of his links to "suspected members of terror organizations".
Chura amepigwa teke basi watasema maneeno mengi sana jana SA kagongwa na Mexico mpaka kuna mtu kazima TV kwa hasira nusu aipasue mpira hisiaAtachezesha match kubwa nyingi sana
CHUKI zimeziba milango ya fahamu za watu wengi ulimwenguniHauwezi kucomment bila matusi ? Kama ulifatilia Ili suala la huyo refa ndugu zako waislamu humu walitumia hisia za kidini zaidi.
Jifunze kujibu hoja pasipo matusi,matusi nikielelezo tosha ulipata malezi mabovu kutoka kwa wazazi wako.
Super cup iwe na heshima kubwa kuliko world cup!?Marekani siyo mbinguni mzee aya sasa kapewa heshima kubwa zaidi ya ile
Pole mkuu, ilikuaje hadi akakubaka?Aende huko Ulaya walio kubali na kusalimu amri dhidi ya ubakaji na ugaidi.
Kwa Trump , NO!
Yeah😅Wasomali wenyewe wanasema wao siyo waafrica
Kwa nini wameandaa kombe la dunia kama kuna sheria dhidi ya kundi la watu flani?Nadhani kila nchi ina sheria, Sera na utaratibu wake kwenye mambo ya immigration....wao wanayo haki ya kuamua nani aingie na nani asiingie kulingana na sheria zao kama ambavyo nchi zingine hufanya!!!
Nadhani suala hili linabebwa kimihemko na chuki dhidi ya Marekani na sio katika logic tu ya kawaida!!!!
Unaona hii ni terrorist speech?Naye aache kucomment hovyo kwenye mitandao. Inaonekana ni member wa Al Shabab huyu.
View attachment 3605793