Shirikisho la Soka Barani Ulaya (UEFA) limemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Somalia, Omar Abdulkadir Artan, kuchezesha mchezo wa fainali ya UEFA Super Cup kati ya Paris Saint-Germain na Aston Villa utakaofanyika Agosti 12 mjini Salzburg.
Uteuzi huo unakuja siku chache baada ya Artan kuzuiwa...