riadha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melubo Letema

    Kambi ya Timu ya Taifa ya Riadha kuanza Mapema

    Mashindano ya Jumuiya ya Madola yanatarajiwa Kufanyika Birmingham,Uingereza na Mashindano ya Dunia Kufanyika Oregon, Marekani Mapema Julai Mwaka Huu. Hivyo, Baraza la Michezo Tanzania (BMT) wakishirikiana na Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) wameanza kusaka maeneo ya kuwaweka Wanariadha wa...
  2. MK254

    Kenyan Bags International Student of the Year Award

    Undated image of James Karanja during his graduation TWITTER FLINDERS UNIVERSITY A Kenyan student has received international recognition for his outstanding efforts towards creating change for people living with disabilities in Kenya. James Karanja, a Kenyan student at Flinders University in...
  3. MK254

    Nahisi Wakenya tutazuiwa riadha, haya Mkenya mwingine avunja rekodi

    Jameni tuanze kuachia achia, ila hamna mwendo huo huo mbele kwa mbele. Kenya's Angela Tanui celebrates her victory at Xiamen Marathon on April 11, 2021 Kenya's Angela Tanui has broken the course record to win the Amsterdam Marathon, Netherlands. She clocked in at 2 hours 17 minutes 57...
  4. Melubo Letema

    Gidabuday ashusha waraka mzito, amvaa Bayo

    Nathibitisha kwamba nimeanza taratibu za kisheria kutafuta haki ya Kikatiba kuhusiana na utata wa vigezo vya John Gilbert Bayo kuendelea kuhodhi nafasi ya Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT). Nimesimamia hilo kwakua nilisema mara kadhaa na hakuna alienipa sababu za msingi...
  5. Analogia Malenga

    Timu ya Riadha ya Tanzania yafuzu kupeperusha bendera Olimpiki

    Watanzania Felix Simbu, Failuna Matanga na Gabriel Geay, wamefanikiwa kufuzu viwango vya Olimpiki na wanatarajia kuondoka nchini Julai 27, 2021 kuelekea Japan kwa ajili ya mashindano hayo yatakayofanyika mwezi Agosti Timu ya Taifa ya Riadha ya Tanzania imekabidhiwa bendera ya Taifa, tayari kwa...
  6. Melubo Letema

    Kuelekea olympic, ukabila na ubinafsi unavyoleta vikwazo kwa wawakilishi wa nchi

    Kwa mfuatiliaji mzuri wa michezo hasa riadha, atakubaliana nami kwamba wachezaji watatu wa kitanzania waliofanikiwa kufuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki 2021 yanayotarajiwa kutimua vumbi kati ya mwezi Julai na Agosti mwaka huu, wanayo nafasi kubwa ya kufanya vizuri katika michuano hiyo na...
  7. Melubo Letema

    Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), John Bayo aiponda Katiba ya Baraza la Michezo Tanzania (BMT)

    WAKATI sakata la sifa za kielimu la Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), John Bayo likizidi kuchukua hatua tofauti, shirikisho limedai linatarajia kufanya mabadiliko ya katiba yake. RT ilifanya uchaguzi wake mapema mwaka huu, baada ya kufanyika kwa mabadiliko ya katiba, ambapo...
  8. Melubo Letema

    Filbert Bayi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) na mikakati yake mibovu

    Mikakati mibovu ya Filbert Bayi yakamilika baada ya TOC kumtangaza Thomas Tlanka (kinyume na maamuzi ya Kamati Tendaji) kuwa kocha wa timu ya riadha ya Tokyo. Amekuwa akitumia ukabila kwenye teuzi zake au kuhamasisha ukabila ndani ya Riadha. Kwa Mfano, mtiririko huko hapa; Inawezekana vipi...
  9. Melubo Letema

    Mwanariadha wa kimataifa Gabriel Geay avunja rekodi ya taifa

    GABRIEL GERALD GEAY AVUNJA REKODI YA TAIFA Huko Milano , Italy na kufuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki (Japan) kwa kukimbia kwa Muda wa saa mbili dakika nne na sekunde hamsini na tano (2:04:55) na kushika nafasi ya Sita. Hadi Sasa Tuna wanariadha watatu waliofuzu viwango vya olimpiki. 1...
  10. Melubo Letema

    Sakata la Makamu wa Rais Riadha Tanzania John Bayo kuhusu Vyeti, BMT wakosa majibu

    Olympic Games ni mchezo unaotazamwa na kufuatiliwa na watu wengi zaidi duniani (zaidi ya bilioni 4), wenye mamlaka na madaraka ya kimichezo wanapokataa kutoa majibu marahisi wasitegemee medali za Tokyo Olympics. Huu ni mwaka muhimu wa Olimpiki, BMT na Wizara ya Michezo wanapaswa kutatua kero...
  11. M

    John Gilbert Bayo au Gilbert John Bayo; Kipimo cha Uadilifu wa Dkt. Tiboroha

    Siku ya Alhamis ya tarehe 28 ya mwezi wa kwanza mwaka 2021, wadau wa Riadha Tanzania na Taifa kwa ujumla walipokea kwa furaha kazi nzuri yenye kutanguliza maslahi ya taifa mbele iliofanywa na kamati maalum ilioteuliwa na Baraza la Michezo Tanzania BMT kwa maelekezo ya Wizara ya Michezo. Kamati...
  12. Melubo Letema

    Mjumbe wa Kanda ya Pwani, RT Atolewa, Adumu siku 15 tu.

    Mjumbe wa kamati ya Kanda ya Pwani,ya Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) Bw. Robert Kalyahe Amefyekelewa Mbali na Kamati ya Uchaguzi, baada ya kukiuka kanuni za katiba ya RT inayokataza mgombea mwenye historia ya kufungwa Jela zaidi ya Miezi Sita. Adumu kwa siku 15 tu.
  13. Melubo Letema

    Mtaka, Kalaghe Wamekatwa kwenye Usaili wa Uchaguzi RT, Wakata Rufaa na Maamuzi ya Kamati Yatoka

    Baada ya Aliyekuwa Rais (Anthony Mtaka) wa RT na Makamu wake (William Kallaghe) kuondolewa kwenye usaili wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Waliwasilisha rufaa zao kwenye kamati hiyo. Majibu ya kamati ya Usaili, ikawasilisha maamuzi yake.
  14. Melubo Letema

    Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) Kufanyika tarehe 30/1/2021

    Uchaguzi Mkuu wa RT unatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu wa kwanza, huku nafasi ambazo zitahitajika ni nafasi ya Rais na Makamu wake pamoja na Wajumbe 6, ikiwemo moja ya Viti Maalum Mwanamke. Fomu zitaanza kuchukuliwa Kesho (8 hadi 19, Januari), kwa ada ya shilingi laki mbili...
  15. Melubo Letema

    Sydney Gidabuday 2nd Place Men's 10,000m Section 1 - Sound Running Track Meet 2020

    Tinman Elite professional athlete Sydney Gidabuday took second in the opening section of the men's 10,000 meters in a personal-best 28:15.41 at the Sound Running Track Meet. Gidabuday, who ran his first 10,000 since 2018, achieved his first career sub-29 performance...
  16. Melubo Letema

    Gidabuday afunguka kuhusu kujiuzulu kwake na changamoto za Riadha Tanzania. Awasihi Mawaziri wapya wamulike hilo

    Nachukua nafasi hii kuwapongeza TOC kwa kufanya Uchaguzi wao kwa mujibu wa katiba yao. Pili, niwapongeze Shirikisho la Kenya (AK) kwa kutimiza miaka 70 tangu kuanzishwa kwake wakifikia mafanikio makubwa ya Riadha duniani. Shirikisho la Riadha la Kenya linasherehekea miaka 70 tangu kuanzishwa...
  17. Melubo Letema

    Kikao cha kamati ya Fedha RT chasambaratika

    Kikao Cha Kamati ya Fedha cha Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limevurugika baada ya wajumbe wa kamati ya fedha kugundua matumizi mabaya ya Fedha ambayo haikupewa idhini na kamati hiyo, pamoja na kamati tendaji. Kikao hicho kilipata dosari kwa kuwa mabosi wakuu wa RT hawakuhudhuria , na...
Back
Top Bottom