Kwenye pitapita zangu nimeona kwenye mfumo wa ess mkopo kwa mtumishi wa uma, kila taasisi ya mkopo imewekwa kwenye mfumo na riba zake, ila nikama vile sijaelewa kitu,
Nimeshangaa serikali inaapprove taasisi yenye riba 42%?
Serious BOT?
Fanikiwa microfinance 42%
Magere credit 42%
Platinum...
Makampuni yanayojihusisha na mikopo umiza yameonywa kuacha tabia ya kutoa mikopo bila kufata utaratibu na kuishia kuumiza wananchi kwa kutoza riba kubwa.
Naibu waziri wa nchi ofisi ya raisi mipango na uwekezaji Stanslaus Nyongo ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa jengo la ofisi za hazina ndogo...
Ukisoma vitabu vya Biblia takatifu vya Warumi 13:8 na Methali 22:7 vyote mtawalia vinasema msiwiwe na mtu chochote na kwamba mkopaji ni mtumwa wa mkopeshaji...sasa nyi wakristo mmepigwa marufuku kabisa kukopa ila mnakaza fuvu. Muokoke.
Napenda kudecrale interest, Binafsi nilikuwa mmoja wa watumiaji wa hii mikopo, Kwa mkopo wa 83,000 ndani ya miezi mitatu iliyopita, marejesho yalikuwa ni 93,000
Nimekopa kiasi hiki mara tatu na kuilipa ndani ya muda wa mwezi mmoja on time pasipo kuvuka muda huo
Cha ajabu ni siku ya jana nikiwa...
Kampuni ya vodacom &Sanlam imeanzisha mfuko wa uwekezaji ambapo mwekezaji atapata faida 13% kwa mwaka .
M-wekeza ni huduma inayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada.
Wateja wote wa M-Pesa...
Zamani (kabla ya smartphone) nilikuwa nikitaka kudownload miziki naingia Waptrick. Simu kubwa zilipokuja nikaona process za kudownload kwenye browser ni ndefu kwanza vitu vyenyewe unakuta vimeongezewa au vimepunguzwa mfano ukidownload kupitia mdundo lazima ukiplay mwanzo yasikike maneno "...
Hivi karibuni kumekua na mijadala mingi ya kuhusu hii mikopo ya mitandaoni na wahanga wakizidi kuongezeka licha ya unyanyasaji na udhalilishaji unaofanywa na watoa huduma ambao hivi karibuni BOT wameukemea baada ya wabunge nao kuona ndugu na jamaa zao nao wamekua wahanga baada ya wao wenyewe...
pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma
tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi,
Tunapatikana mbezi beach mtaa wa baraka
Kwa mawasiliano tupigie 0739799115
Straight to the point.
Nimekuwa nikifikiria Jambo hili na kuona Kama haliko Sawa.
Kwanza ukisajili laini na kutaka kukopa muda wa maongezi papi hapo hawakubali.
Wanachotaka ni uwe umenunua muda wa maongezi (uwaingizie faida) mara kadhaa ndipo uruhusiwe kukopa.
Sasa Kwa kuwa tayar mteja...
The government is always there for welfare maximization but not profit maximization. Sasa kwa nini serikali huwa haifikiri kuwa na bank yake ya biashara ili wananchi wawese kuinjoy welfare hiyo?
Kuna sababu gani za kiuchumi zinazokataza
Ni vema nyakati hizi tukawa tunaelezana mambo kwa usahihi kabisa tukiongozwa na nguli wa industry husika
Kwa sasa story ya mjini ni mikopo
Niwaombe Nguli wa Finance watujuze Mikopo Nafuu kwa level za kimataifa tunaipimaje
Kwa rate ya interest?
Au kwa Collateral inayohusika na mkopo?
Ama...
Rais Samia kwenye hotuba yake kupokea gawio za mashirika ya umma na yale yenye hisa za serikali kuna mambo amesema yanatia mashaka. Kwanza kufuatana na msajili wa mashirika hazina ni asilimia ndogo tu ya mashirika yametoa gawio kwa hivyo hapo bado hali ni mbaya vigogo wengi bado wanakula...
Wasalamu wadau. Naomba aliye Apply huu mkopo usiona riba wa WATUMISHI HAZINA PORTAL ANIJUZE kama ni mda gani toka uombe unapata huo mkopo. Povu ruksa wadau
Kuna kaka (baba) mmoja anakopesha kwa riba, akawa ana date dada mmoja mke wa mtu.... Yule dada na mumewe wakapata dharura, akashauri mumewe wakope pesa kwa mchepuko (mumewe hajui kama mkopeshaji ana date na mkewe) wakaweka nyumba yao kama dhamana.
Penzi likanoga, mume akimpa mke marejesho...
Mwalimu wa shule ya sekondari ya Ebenezer iliyopo Sango mkoani Kilimanjaro, Anthony Sulle amefariki dunia kwa kujinyonga.
Habari kutoka Moshi zinadai kuwa kabla ya kujinyonga marehemu aliandika ujumbe unaoelezea kisa cha yeye kuchukua maamuzi hayo magumu.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo...
Hizi microcredit zinatakiwa zitoze riba kiasi gani wanajamii, kuna mtu kaingizwa mkenge hapa tunatafuta suluhu lakini kwa kiasi alichokopa na marejesho ni kama anafanyiwa robbing.
Kibaya wahusika hawaruhusu awalisilishe maulizo yake katika ofisi zao, yaani wale vijana wanajiita afisa mikopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.