Wizara ya Fedha ya Namibia imepanga kufuta asilimia 95 ya riba zilizopo, na kubatilisha adhabu zote kwa walipa kodi ambao watalipa gharama zote ndani ya miezi 3 kuanzia Februari 2021
Msamaha huo unakusudia kuwasaidia raia wa Namibia na Wafanyabiashara wanaokabiliwa na matatizo ya Kiuchumi...
Kuna Mjumbe wangu wa Nyumba Kumi Kumi muda si mrefu kaniambia kuwa niende Ofisi za Serikali ya Mitaa ili nikajiandikishe nisubirie Mkopo. Nilipoenda kweli nikapokelewa kwa 'Bashasha' zote na kuambiwa tuwe 'Njemba' Kumi ( 10 ) kisha twende na tutapewa Tsh 500,000/= ( Shilingi Laki Tano ) ambapo...
Serikali yatoa mamilioni kwa vijana, wanawake na walemavu bila riba kujikwamua kiuchumi
SERIKALI wilayani Bunda mkoani Mara imetoa mikopo kwa vikundi vya wajasiliamali kiasi cha zaidi ya Tsh. milioni 600 zinazotokana na fedha za makusanyo ya mapato ya halmashauri na Serikali kuu.
Serikali...
Benki ya CRDB imezindua kampeni maalumu ijulikanayo kama “Jiachie Utakavyo” ambapo wafanyakazi wa sekta ya umma na binafsi sasa kufurahia riba ya hadi asilimia 14. Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa habari Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na Wakati, Boma Raballa alisema benki imefanya...
Chadema kina mikopo ambayo kilikopeshwa na watu mbalimbali.
Maswali yangu Kwao Ni kwanza je katiba ya chadema Ina kipengele kinaruhusu chama kukopa?
Pili je hao wakopeshaji Wana leseni za ukopeshaji ? Kama leseni hawana walikopeshajje? Sio watakatisha pesa hao?
Tatu Riba ambayo iko kwenye...
Serikali iwakopeshe mishahara walimu wa shule binafsi kipindi hiki Cha Corona kwa RIBA ndogo sana.
Ikumbukwe kwamba Hawa ni WATANZANIA wenzetu japo Kuna wachache sio WATANZANIA.
Serikali ione huruma kwa maelfu ya WATANZANIA watakaoathirika kutokana na janga hili. Binafsi nimetoa machozi...
habari za muda wadau wa jukwaa hili,naomba kufahamishwa benki au taasisi yenye mkopo nafuu kuliko nyingine ili,niweze kwenda kujipatia chochote katika kulisongesha mbele gurudumu la maendeleo ya tanzania.nilipita nmb na mwalimu commercial bank,riba zao ni asilimia 17,na kuna baadhi ya mambo...
Ili kupunguza tatizo la ajira nchini, serikali kupitia Halmashauri zote nchini na Mfuko wa Rais, wanatoa mikopo isiyo na riba kwa vijana, wanawake na walemavu
Halmashauri zinatoa asilimia 10 ya mapato yake ya ndani kwa vijana, wanawake na walemavu, ikiwa ni asilia 4, wanawake, asilimia 4 vijana...
Mimi si tajiri ila nataka kuwafundisha utu na ubinadamu matajiri walioko JF.
Nataka kijana mwaminifu mmoja kutoka Jf nimwazime 50 na airejeshe baada ya mwezi mmoja au miwili ili nimwazime mwingine.
Changanua wazo lako na weka namba ya simu kama utapenda kuiweka hapa Kisha members wengine...
Sasa unaweza kopa hadi shilingi milioni moja za kitanzania kupitia simu yako janja ya mkononi na kurejesha kidogokidogo mahali popote na wakati wowote.
Ili kupata mkopo inabidi uwe na vitu vifuatavyo:-
(a)uwe na kitambulisho, eidha cha kupigia kura, cha taifa au leseni ya udereva.
(b)laini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.