Katika hatua muhimu ya kukabiliana na shinikizo la mfumuko wa bei linalotokana na mwenendo wa uchumi duniani, Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imetangaza ongezeko la Kiwango cha Riba ya Benki Kuu (CBR) kutoka asilimia 5.5 hadi asilimia 6.
Uamuzi huu, umefikiwa wakati wa kikao cha MPC...
Nilidhani ustadhi ni wale watu wa dini wasiojihusisha na riba kumbe ni mdau mzuri wa benki za biashara.
Ninapenda Bakhresa afanye kuwaelimisha wale wenye misimamo mikali tuwe na taifa endelevu.
MBUNGE ZAYTUN SWAI: Riba za Mabenki kwa Watumishi wa Umma na Sekta Rasmi ni Kubwa Sana, Serikali Iangalie Namna ya Kupunguza Riba kwa Watumishi
"Naomba kutoa pole kwa watanzania wakiwemo wananchi wenzangu wa Mkoa wa Arusha hususani Jimbo la Monduli kwa kuondokewa na mpendwa wetu Waziri Mkuu...
Mbunge wa Makete Mh:Festo Sanga amepaza leo tar 14:02:2024 akichangia hoja ya Kamati ya Bajeti amepaza kilio chake kwa serikali namna mabenki nchini yanavyoumiza watumishi kwenye riba za mikopo.
Sanga amesema " Uhai wa benki zetu nchini zinabebwa na Watumishi,lakini kiwango cha riba...
Kamati ya Sera ya Fedha iliyokutana tarehe 18 Januari 2024 imetangaza Riba ya Benki Kuu kuwa asilimia 5.5 kwa robo ya kwanza ya mwaka huu ili kutimiza malengo ya kiuchumi katika kipindi hicho.
Kiwango cha Riba ya Benki Kuu kilichotangazwa kinaendana na malengo ya kuhakikisha kuwa mfumuko wa bei...
Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za kifedha wapunguze gharama za upatikanaji wa huduma za fedha zikiwemo riba na ada ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo rasmi.
Wito huo umetolewa leo (Jumatano, Novemba 22, 2023) wakati anafungua Wiki ya Huduma ya Fedha...
Ieleweke kuwa Waziri anapotangaza msamaha wa riba katika malimbikizo ya kodi ya ardhi mdaiwa anaweza asiwe na uwezo wa kifedha kipindi hicho lakini uwezo huo wa kulipa ukawepo mwaka unaofuata.
Kwa mantiki hiyo ni vizuri Waziri wa Ardhi atoe muongozo wa kufuta riba kwenye malimbikizo ya kodi ya...
Bank ya pili katika utengenezaji faida nchini imeamua kurejea Riba yao ya awali wanayotoa mikopo Kwa baadhi ya watu, kutoka asilimia 13% iliyopunguzwa muda si mrefu Hadi asilimia 16%.
Hayo yamenitokea baada ya kujaribu kutafuta Mkopo katika bank hiyo, huku wakiniambia mwezi huu tarehe 15 ndo...
Hii wanaijua vizuri wakandarasi na watoa huduma serikalini. JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano alivyokuwa madarakani hakuwalipa, watu wakafilisika, benki zikauza Mali zao.
Sisi tukawa tunashangilia na kumpamba kwamba ni mzalendo hatujawahi kupata. Uzalendo wake na...
Mambo vipi wana jukwaa mko poa, wazima nyote, nije kwenye shida yangu hii, nauliza naweza kupata mkopo wa kama sh laki moja bila riba, au kama riba ipo iwe nafuu kidogo,
Kuna shida naitaji kuzitatua kidogo kama kuna uwezekano nikapata mkopo, kuhusu uaminifu ndo nguzo kuu, je naweza kupata...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba akiwa Dar es salaam leo ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuwa Mdau Mkuu wa Maendeleo ya Tanzania kwa kutoa mikopo nafuu na misaada mbalimbali inayotumika kutekeleza miradi inayochochea ukuaji wa uchumi na maendeleo ya Watu ambapo mpaka sasa, Benki...
Ujumbe wa Mbunge wa Muheza, Tanga na msanii MwanaFA akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Michezo, Sanaa na Utamaduni Mohamed Mchengerwa kuhusu suala la mfuko wa utamaduni na sanaa ya Tanzania.
Sanaa imeajiri watu wengi kuna familia zinakula...
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara imetoa mkopo usio na riba yenye kiasi cha Tsh. Milioni 136,374,130/- kwa vikundi 28 vya wanawake,vijana na watu wenye walemavu ikiwa ni mkopowa wa asilimia 10% za makusanyo kwa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2022/2023.
Akizungumza katika hafla fupi...
Raisi wa Tanzania alitowa msamaha wa riba kwenye kodi ya ardhi kwa watakaolipa kufikia 31 Disemba. Msamaha huu ulipigiwa debe na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi.
Ni kwa nini utekelezaji wake unalazimisha watu wajaze fomu ya maombi wa msamaha? Isingekuwa jambo jepesi kuweka utaratibu wa...
Heshima kwenu!
Nimesikia kuna mikopo inatolewa na serikali kupitia hazina kwa watumishi wa uma. Nimetafuta nyuzi humu JF kuihusu lakini nimeona michango ni kidogo sana haitoi usaidizi mzuri.
Ninaomba kwa yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu mkopo huu,vigezo na masharti vya kupata ,utaratibu wa...
Habarini wakuu.
Eti zile pesa ambazo mabenki yanadai kama riba zinatoka wapi? Mfano, benki kuu ndiyo kwa mara ya kwanza imeanza.
Imechapa pesa, tuseme 100bilioni. imekopesha pesa hizo kwa benki ya biashara kwa riba ya 9 % maana yake benki inatakiwa kurudisha bilioni mia moja na tisa...
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu iliahidi kumuinua mwananchi kiuchumi na sasa imekuja na punguza ya riba ya mikopo ya mtu binafsi
Benki Kuu ya Tanzania imetangaza kushusha riba ya mikopo binafsi kutoka asilimia kati ya 11 na 13 hadi asilimia 9.
Hatua hii inafuatia...
Amani iwe nanyi.
Moja kwa moja naomba nijitambulishe kwa imani mimi ni muumini wa dini ya Kiislam.Katika maandiko matakatifu ya kitabu cha Quran naona kuwa Suala la RIBA limekemewa sana ,kifupi ni haramu kula au kutumia RIBA!
Principle kuu ni kuwa RIBA ni haramu, yaani ongezeko lolote la pesa...
Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na janga la UVIKO-19, Marekani ilichapisha dola nyingi ili kuchochea uchumi. Lakini kuanzia mwaka huu, Marekani imegeuza sera ya kifedha na kuongeza viwango vya riba ili kukabiliana na mfumuko wa bei. Kitendo hicho kimekuwa moja ya vyanzo vikuu vya mfumuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.