Hizi microcredit zinatakiwa zitoze riba kiasi gani wanajamii, kuna mtu kaingizwa mkenge hapa tunatafuta suluhu lakini kwa kiasi alichokopa na marejesho ni kama anafanyiwa robbing.
Kibaya wahusika hawaruhusu awalisilishe maulizo yake katika ofisi zao, yaani wale vijana wanajiita afisa mikopo...