Wakuu Kwema?
Mwezi uliopita niliona tangazo kutoka Waziri wa Ardhi, Mheshimiwa Angelina Mabula kua kama unadaiwa kodi ya Ardhi yenye malimbikizo ya riba juu yake basi ukilipa hiyo kodi utakua umesamehewa ile riba.
Mimi nina Kiwanja mkoa wa Kilimanjaro, na Kiwanja hiki kilitathminiwa kama cha...
Mamlaka za Serikali za Mitaa zinatenga 10% ya mapato yakekwajili ya kutoa mikopo isiyo na riba kwa vikundi vya wajasiliamali vijana, wanawake na watu wenye ulemavu nchinzima. Sheria inayosimamia mikopo hii inatoa mwongozo kwa watendaji husika kuhusu kusimamia upatikanaji wa fedha kwaajili ya...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Florens Luoga amezitaka Benki na Taasisi za fedha kupunguza masharti ya mikopo na riba ili malengo yaliyowekwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ya kuwawezesha wananchi kiuchumi yaweze kutimia.
“Tumeelekeza benki ambazo hazishushi gharama za uendeshaji...
BASHE AENDELEA KUHAMASISHA TAASISI ZA FEDHA KUTOA MIKOPO YA RIBA NA MASHARTI NAFUU KWA WAKULIMA; UJENZI WA MAGHALA NA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI BAADA YA KUKUTANA NA MENEJIMENTI YA BENKI YA EQUITY
Dodoma, Tanzania.
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na...
Mamlaka ya Mapato (TRA) imefuta adhabu na riba kwa vyombo vyote vya moto vilivyoingizwa nchini bila kufuata taratibu za forodha, huku wamiliki wakitakiwa kusajili rasmi vyombo vyao hadi kufikia Juni 30, 2022.
TRA imesema lengo la hatua hiyo ni kujenga ushirikiano na uhusiano mwema kati yao na...
Benki kuu ya Urusi imetangaza kuongeza kiwango chake kikuu cha riba kufikia 20%, kutoka 9.5%, ili kukabiliana na hatari ya kushuka kwa thamani ya fedha yake na mfumuko wa bei wa juu, huku maafisa wakishindana kudhibiti vikwazo kutoka kwa vikwazo vya Magharibi.
Moscow pia imeamuru makampuni...
Nikiwa kama muajiriwa wa serikali naomba kufahamu ni taasisi gani ya kifendha inatoa mikopo ya pesa isiyokuwa na RIBA kwa watumishi wa Serikali?
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe jinsi gani naweza kunufaika na huo mkopo.
Hii imekaaje wadau naona imekaa kibaguzi sana,ina maana sisi Tanzania bara hatuna uhitaji na hiyo mikopo au? Zanzibar ni wa muhimu sana kwenu kuliko sisi? Au Zanzibar ni masikini sana mmeamua kuwapa upendeleo?
Kila siku wajasiriamali wanalia kuhusu riba lakini mmeweka pamba masikio.
Kama swala...
Tayari Benki Kuu walishatangaza kupunguza riba kwa mabenki ili nao washushe kwa wateja wao.
Hapo nyuma riba zilikuwa 20%,
Badae wakaja 18% na 17%
CRDB wameshusha kutoka 17 kwenda 16
NMB wakakomaa na 17,
Sasa leo CRDB wametoka 16 hadi 13%
NMB ndio kwanza hata habari hawana.
Ni kweli NMB ina...
Hivi karibuni Bw. Nsekela wa CRDB alisema mabenki yatashusha riba na kweli ameishi kwenye maneno yake.
Leo CRDB wametangaza kushusha riba kutoka 20% hadi 9% kwa wakulima na kutoka 16% hadi 13% kwa wafanyakazi.
Ingawa riba bado ni kubwa sana ila kiukweli hii ni neema kwa wafanyakazi...
Habari wadau,
Mimi sina sifa ya kukopesheka Bank,
Hivyo nina shida ya mkopo wa M3 kwa mtu binafsi
dhamana niliokua nayo ni kiwanja kipo songea changalawe kipo barabarani kabisa
kiwanja kina kibanda cha chumba na sebule na mbele kuna nyumba ya block najenga ipo nusu
mkataba wa mauziano ya...
Nimetembelea mabenki matatu makubwa nchini bado riba inacheza 17%-19%.
Benki ya wazanzibari wao kidogo wana pungufu 12% - 16%
Tuliambiwa serikali imeingiza Trilioni 1 kwenye mzunguko na riba itashuka hadi 8% ila hadi leo kimya.
Shusheni riba watu tukope tukalime mahindi Katavi.
Wakati ujenzi wa kipande cha Dar – Morogoro ulitakiwa kukamilika katika kipindi cha miezi 30 baada ya kuzinduliwa, na muda huo umepita, haifahamiki sababu za kuchelewa kwake wala siku ya kuanza kutumika.
CAG Charles Kichere alibainisha katika ripoti yake ya miradi ya maendeleo ya mwaka 2019/20...
Salam ndugu wana JF!
Moja kwa moja kwenye maada, ndugu zangu kwa muda mrefu kumekuwapo na wito na maagizo mengi ya serikali kuzitaka taasisi za fedha kushusha riba wanazotoza katika mikopo wanayotoa kwa wanananchi.
Kila linapojitokeza tukio linalomkutanisha ama Rais, Makamu wa Rais, Waziri...
Wadau naomba mnisaidie ushauri bank gani nzuri kwa mfanyakazi au mfanyabiashara katika kutoa mikopo na kuwa na Riba Nafuu?
Ukiondoa NMB na CRDB. naombeni ushauri katika hili ili leo hii nikafungue account. Kuna watu wa banks flani wamenikwaza sana. Nataka kuhama hizo banks.
Kumekuwa na agizo la Serikali lililotolewa miezi michache iliyopita ya kuyataka mabenki kushusha riba ili kuongeza ukwasi mitaani. Naomba kufahamu kama agizo hilo limeshaanza kutekelezwa.
Habari,naitwa Titus Devis.. karibu sana tuongee kuhusu viwango vya riba au interest rate kwa lugha ya kigeni
Kwanza kabisa tuanze na viwango vya riba ni nini (what is interest rate)
-Viwango vya riba ni kiasi cha pesa ambacho kinaongezeka kwenye pesa ambayo mkopaji amekopa baada ya muda...
Ukifikiria kiundani utagundua mtumishi anufaiki sana na mkopo anaokopa, wanufaika wakubwa wa mikopo kwa wafanyakazi ni mabenki/taasisi zinazohusika na ukopeshaji kupitia faida inayotokana na riba, mikopo inapelekea chanzo cha Maisha magumu kwa watumishi waliowengi huku ikiwaacha wakopeshaji wa...