riba

  1. Napendekeza kuvuka daraja la Kigamboni iwe bure, then NSSF walipwe na Serikali kwa riba kama mikopo mingine

    Huu hautakuwa mkopo wa kwanza kwa NSSF kuutoa kwa Serikali, Mabibo hostel, General Tyres upgrading, Machinga Complex na miradi mingine mingi isiyo na tija imepata mikopo toka NSSF, iweje kwa daraja la Kigamboni isiwe tu mkopo na ukalipwa taratibu na serikali kwa riba? Hii itapanua wigo wa...
  2. Je, kuna mabadiliko yoyote ya riba kwenye Benki?

    Habari ya uzima wanajamvi? Natumaini wote tumejaliwa zawadi adhimu ya uhai na Mola yeye atuwezeshaye kufanya yote tuyafanyayo kila siku. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au jambo nililopenda kulijua kutoka kwenu.Mimi nipo kijijini kwa mda mrefu sijafika mjini. Huku niliko hakuna Benki...
  3. X

    Maombi ya uwezeshwaji kwa riba

    kwa jina naitwa david nahitaji mkopo wa haraka kiasi ni sh. 700,000 nitarudisha 1,000,000 kwa muda wa miezi 5...dhamana ni kadi ya gari la mzazi
  4. Rais Samia: Mikopo ya Wahisani ina Riba kubwa

    Rais Samia Suluhu Hassan amewaambia watanzania kwa sasa wahisani hawaleti misaada nchini, wanataka biashara ili kugawana faida Amesema kwa sababu hiyo ni lazima tujinyang'anye wenyewe ili kufadhili miradi ya nchi hii Ameyasema hayo alipokuwa Tegeta akisalimia wananchi akiwa katika safari ya...
  5. Tuache Siasa, Riba ya Mabenki ya biashara kukopesha Raia ni suala la Vihatarishi na sio maamuzi ya Serikali

    Riba ya Mabenki kukopesha wateja wao sio suala la kisiasa, Huwezi ukasema kuanzia Leo Mabenki ya biashara riba ya kukopesha iwe asilimia kumi 10% Mabenki kukopesha Raia au wateja wake kinachoangaliwa ni: 1. Vihatarishi (Risk) vinavyoizunguka biashara au kazi ya mteja husika, Biashara au kazi...
  6. S

    Hatua ya BOT kuhakikisha riba inayotozwa na mabenki inashuka, inahusu na riba ya mkopo ya wafanyakazi itayotolewa na Mabenki ya Biashara?

    Nimesoma taarifa ya BOT inayoongelea kushusha riba kwa wakopaji katika mabenki ya kibiashara lakini nimeshindwa kuelewa kama punguzo hilo litagusa mikopo inayotolewa na mabenki kwa wafanyakazi Nauliza hivi kwasababu taarifa ya BOT inaongelea punguzo kwa sekta binafs pamoja na sekta ya...
  7. BoT: Hatua za kisera kuongeza upatikanaji wa mikopo kwa Sekta Binafsi na kupunguza viwango vya riba

    Benki kuu ya Tanzania imetoa muongozo wa benki za biashara kupunguza riba kwa sekta binafsi. Benki kuu imetenga fungu la Trilioni moja ambayo itatumika kuzikopesha benki na taasisi za fedha kwa riba ya 3% na kutaka benki zitoe mikopo kwa riba isiyozidi 10%. Binafsi napongeza hizi hatua za...
  8. Naomba kujuzwa Riba mpya za mabenki kwa wakopaji

    Habari wadau? Mwenye kujua kwa sasa RIBA mpya za mabenki baada ya tamko la serikali kuiagiza BOT ishushe riba kwa mabenki ili nazo zishushe kwa wakopaji wao, atujuze!
  9. Dhana ya Kuinuana Kiuchumi baina ya Wanafamilia; Kuna haja unapompa ndugu yako Mtaji wa biashara umtoze riba ili kuongeza uwajibikaji?

    Binafsi naamini kwenye familia, mmoja anaweza kuinuliwa ili aweze kuwainua wengine. Ndiyo maana kwenye maandiko Kitabu cha Mwanzo 42:25-28 unaona Yusufu alivyoinuliwa ili kuwasaidia ndugu zake. Kuna mtu anaweza kujiuliza kwani ni lazima kuwasaidia ndugu zako, Jibu sio lazima (Sijui kama kuna...
  10. Baada ya Dkt. Magufuli kuondoka, je Benki zitapandisha riba za mikopo?

    Watumishi wa umma watamkumbuka sana Magufuli kwenye mikopo. Kabla Magufuli hajachukua nchi mwaka 2015 riba za mikopo ya kawaida ya watumishi ilikua ni kuanzia 20% hadi 25% kwenye mabenk yetu. Ilikua ukokopa milioni 10 kwa miaka 5 utalipa milioni 20. Baada ya Magufuli kuingia alizishawishi bank...
  11. K

    Riba za bank za Tanzania ni kikwazo cha maendeleo

    Sababu mojawapo ya Tanzania kuwa na ajira ndogo ni riba kubwa za mikopo ya bank zetu. Imefika wakati hata Kimei ambaye alikuwa mkurugenzi wa CRDB kasema bungeni. Riba ikiwa kubwa biashara ndogo ndogo hazitaweza kukopa hivyo haziwezi kuwekeza kwenye ukuaji wa biashara. Hii inasababisha ajira...
  12. Makampuni ya kukopesha pesa kwa riba yamerudi rasmi

    Uchumi wa nchi umekuwa Sana na kufikia uchumi wa kati kabla ya muda ulio kusudiwa, maanake tume break event.lakini Maisha ya Watanzania hayahakisi uhalisia wa mabadiliko hayo ya uchumi. Makamu wa rais amesema kuwa Hali ya umaskini kwa Watanzania ni mbaya Sana,wananchi zaidi ya milioni 14...
  13. Serikali iwasaidie mama lishe kupata majiko na mitungi ya gesi kwa riba nafuu

    Nilimsikiliza Rais katika ufunguzi wa kitu cha mabasi Magufuli kule Mbezi akitambua mchango wa mama lishe katika jamii. Mama lishe wengi wanatengeneza chakula katika hali ngumu sana. Wengi wanatumia kuni kama nishati ya kupikia, sshemu wanazopikia ni duni na mvua ikinyesha wanapata adha...
  14. Pump za solar kwa ajili ya Kilimo cha Umwagiliaji (Bei ni nafuu na kwa mikopo bila riba)

    Mara nyingi wakulima wamekuwa wakitamani kununua au kumiliki vifaa vya kilimo lakini kutokana na bei kubwa na pia kutokuwa na sifa za kukopesheka katika taasisi za fedha basi wanashindwa kutekeleza matakwa yao. Simusolar tumeliangalia hili swala kwa undani na sasa tumeamua kuwawezesha wakulima...
  15. Mtumishi wa umma atakuwa na furaha pindi tu Serikali itakapoamua kumkopesha bila riba

    Binafsi ni mtumishi wa umma. Nimewahi kukopa mara 1 na kufanya top up mara 2. Kwa lugha nyepesi ni kwamba nimekopa mara 3. Kwakweli hali ni mbaya, topup ni wizi wa wazi kabisa. Hata hii mikopo ni unyonyaji ila tu watumishi hukopa kwa aidha shida ya haraka au kukosa maarifa. Muda mwingine...
  16. S

    Riba ya Mkopo

    Wasomi naomba kuelimishwa. Kisheria, hasa sheria ya fedha imekaaje? Je, kuna kiwango elekezi cha riba ambacho mkopeshaji anatakiwa asivuke? Na je, Kila mtu anaweza akaanzisha utaratibu wa kukopesha mtaani na kuwa na riba aliyoamua na mbele ya sheria akawa Yuko sahihi?
  17. D

    Je, wanyonge tutatoka kwa riba hizi za mabenki?

    Sitataja jina la benki kwa heshima. Disemba hii nilienda kutaka mkopo nifanye jambo langu ila nilirudi kichwa chini. Mkopo = 10.5millions Makato = 219,400/= Muda = Miezi 84/miaka 7. Hali inatisha, mnyonge atanyonywa hadi ngozi. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki BoT.
  18. E

    Ni taasisi ipi ya kifedha ambayo imekuumiza wewe, ndugu yako au Mtanzania mwenzako kwa mikopo yenye riba kubwa?

    Wadau, kupitia gazeti la mwananchi la tarehe 20/12/20 Brg. Gen Mbungo, kamanda wa Takukuru Tanzania ameeleza kuwa, kuna taasisi nyingi zinaumiza wananchi kwa kutoza riba kubwa, ikiwemo kushikilia mali za watu kutokana na mikopo umiza. Km unauelewa wa taasisi hizo au vikundi hivyo, basi vitaje...
  19. Ifike muda wahitimu wa vyuo waliokopeshwa na Serikali kusoma, walipe deni bila riba

    Habari zenu wana jamvi. Kwa muda mrefu sasa nimeangalia wahitimu wa vyuo mbalimbali waliofanikiwa kupata ajira na ambao bado wanalazimika kulipa mikopo waliyokopeshwa na serikali ili kufikia ndoto zao za elimu. Jambo ambalo mimi binafsi naliona ni jema kwa kuwa wanafanya mfuko huo uweze kuishi...
  20. B

    Wanafunzi vyuo vikuu Rais haja ahidi kuwapunguzia riba ya mkopo wa chuoni badala yake ataongeza idadi ya wanufaika

    Ni wakati wa wanafunzi kuwa wapole, walitegemea riba itapunguzwa imekuwa tofauti badala yake fedha zitaongezwa ili wengi wapate mikopo maana yake ni mtaji unawekezwa ili ukue kwa riba ile ile ya 15% . ushauri wangu ni wazazi wajitahidi kutafuta pesa wawasomeshe watoto si kwa mikopo maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…