Aidha Mkataba huo haukujadiliwa na Kikao cha Makatibu Wakuu ambacho kinaongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi wala kikao cha Baraza la Mawaziri ambacho mwenyekiti wake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa Makala ya Saidi Kubenea kupitia gazeti lake la Mwanahalisi, alisema Waziri...
MJADALA juu ya Edward Lowassa, mbunge wa Monduli, kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), unaendelea kushika kasi. Anaandika Saed Kubenea … (endelea).
Hili limetokea muda mfupi baada ya vyama vinavyounda Muungano wa Kutetea Katiba ya...
Ikiwa siku chache baada ya dr Mwakyembe kudai Lowasa ni muhusika mkuu wa Richmond na hachomoki waziri mkuu huyo wa zamani amjibu.
Lowasa amedai kama ana udhibitisho inatakiwa aende mahakamani sio bungeni na kwenye majukwaa ya siasa ili ubishi uishe.
Ila Lowasa akamkumbusha ukweli unajulikana...
Na KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
MAHAKAMA imemuachia huru mfanyabiashara Naeem Adam Gire, aliyekuwa akikabiliwa na makosa mawili, likiwamo la kughushi hati ya uwakilishi wa Kampuni ya Richmond LLC ya Texas, Marekani, hapa nchini.
Uamuzi huo, uliotolewa jana na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya...
HOJAJI
1. Kwamba amekiri kuwa ALILIDANGANYA Bunge
Je, Ambacho HAKIKUWA cha kweli katika taarifa ile ya kamati ni kipi?
Je, alidanganya kwa faida ya nani?
Kama hakuona haja ya kumhoji mtuhumiwa kwa kuwa ushahidi ulikuwa wazi, Je ni ushaidi upi ambao ulikuwa wazi? Je nao ni miongoni mwa UONGO?
2...
Waziri wa habari Harrison Mwakyembe amewambia wabunge wa chadema kama wanataka ukweli wa ufisadi wa Richmond warudishe hoja hiyo bungeni.
Haya sasa karibuni kukanyagana maana hii hoja ni mwiba ambao watu wengine hawatakaki hata kuuona!
Dk Mwakyembe, Nassari wapimana
Waziri wa Habari...
Wakuu,
Naomba nikiri kati ya mawaziri niliowaamini kwenye awamu hii ya tano ni huyu Mwakyembe. Kinachotokea sasa nabaki mdomo wazi, yeye ni mtu wa kuwaza tumbo lake tu (anauwezo wa kukataa hata jina lake huko tunakoenda).
Kwenye bunge la katiba alianza kuonesha haya mambo ya ajabu, alikuwa...
Heshima kwenu wakuu,
Hii kesi ya Richmond siielewi, yaani sijui Sheria inafanyaje kazi kwenye hii kesi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 21, 2017 itatoa hukumu katika kesi ya Richmond inayomkabili mshtakiwa Naeem Gire, hukumu itakayotelewa na Hakimu Mkazi Mkuu Mfawidhi, Cyprian Mkeha...
Wanabodi,
Azimio la Bunge kuhusu Escrow, limetolewa leo, na mjadala wa Escrow, umefungwa rasmi, wakati mjadala huu unaanza, nilisema humu, Hata ikithibitika Fedha za Escrow ni za Wizi, Nawahakikishia Hakuna Atakayewajibika!. Jee leo baada ya mjadala kumalizika, vipi kuna yeyote...
Kwa miaka miaka mingi hapa Tanzania unapotokea ubadhirifu na ufisadi mkubwa ambao unapowahusisha vigogo wa nchi hii huundwa kamati au tume kuchunguza.
Kinachotokea tume au kamati hizo zikigundua kua wahusika wakubwa wa ufisadi huo huwa ni vigogo wakubwa kabisa wa nchi hii.Hufanya kosa la...
"Prior to the completion of the Kidatu project the maintenance problems of TANESCO were exacerbated by the need to run all generating systems at near maximum capacity, in order to meet the demands for electrical power. In fact, that was not entirely successful because TANESCO was forced to make...
Wanajamvi,
Ni ukweli usiopingika kuwa Watz tumeumia sana na bado tunaendelea kuumia kutokana na lile JANGA LA RICHMOND ambalo liliisababishia serikali hasara kubwa sana ya kulipa Tsh.152ml. kila siku miaka miwili mfululizo bila kupata hata MW 1 ya umeme
Dr.H.Mwakyembe akiwa m/kiti wa tume...
VIONGOZI waliokuwa serikalini wakati wa mkataba wa kuzalisha umeme wa dharula wa Richmond bado wanaendelea kung'ang'aniwa
kwenye kashifa ya kushiriki kwenye ufisadi wa mkataba huo.
Wanaotajwa kushiriki kikamilifu, ni Edward Lowassa aliyekuwa waziri mkuu. Wengine waliokuwa mawaziri kwa nyakati...
Ni wiki mbili sasa tangu Mbunge wa Monduli atawanye ubwabwa na Nyama lundo kwa wale anaowasema kuwa ni Rafiki wake, au Mashabiki wake, wakiwemo wenye viti wa mikoa na wilaya, hata baadhi ya mawaziri, na akaamua kutoa yaliyo moyoni, kwa kujinadi kuwa ni Rais au Mngombea Urais mtarajiwa, bila...
Lowassa ana dhambi nyingine zaidi ya Richmond?
Huyo mtu hakuanza kuhusishwa na kashfa za ufisadi leo wala jana,... wewe kama unapenda sura yake nenda kanywe nae chai. (By J.K.Nyerere).
ANA LAANA YA MWALIMU NYERERE, NO WONDER HIZI RECENT CAMPAIGNS ZA KUMDISCREDIT MWALIMU ZINA LENGO MAHSUSI LA...
Dar es Salaam.
Wakati kesi ya Richmond ikiwa imepangiwa tareheya kuanza kusikilizwa tena Juni 6 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mshtakiwa katika kesi hiyo, Naeem Gire, ameanza mchakato wa kwenda Mahakama ya Rufani.
Gire ambaye alikuwa wakala wa kampuni inayodaiwa kuwa ni kampuni hewa...
Binafsi niungane na wale wasemao kila jambo linapotokea kuna sababu. Zaidi ya hili kuna wasemao apangalo Mungu mwanadamu hawezi kulipangua.
Nasema haya kwa moyo wa dhati kabisa baada ya kukaa na kufikiri dhoruba aliyoipata Mhe. Edward Lowassa mwaka 2008 jambo ambalo wahuni wachache waliamua...
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi anakabiliwa na lundo la tuhuma ikiwa ni pamoja na kilichoitwa kujipa mamlaka ya kuendesha Shirika la Umeme la Taifa (Tanesco), imefahamika.Aidha, Maswi anatuhumiwa kushinikiza kusimamishwa kazi Mkurugenzi Mtendaji wa shirika
hilo...
Mzimu wa Richmond leo umejitokeza kwenye mjadala bungeni kuhusu utekelezaji wa maazimio 26 ya Bunge juu ya gesi asilia. Aliyerejesha kwa kishindo mzimu huo ni mbunge wa Ubungo John Mnyika ambaye alidai kuwa maazimio ya bunge kuhusu gesi asilia hayana tofauti na yale yaliyopitishwa mwaka 2008...
NI HOJA BINAFSI ILIYOWASILISHWA NA JOHN MNYIKA WA UBUNGO
Imeandikwa na Shakila Nyerere
SAKATA la Richmond linatarajiwa kurudi upya bungeni baada ya Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika kuwasilisha hoja binafsi kuhusu utekelezaji wa Maazimio 13 yaliyobaki ya Bunge, juu ya mkataba baina ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.