HATIMAYE Edward Lowassa ametoka hadharani na kuonyesha kuwa anataka kupimana ubavu na Rais Jakaya Kikwete.
Ameeleza hadharani kuwa Rais Kikwete anahusika kwenye mkataba tata wa Richmond/Dowans; lakini pia, kuwa hafuati taratibu katika kuongoza chama chake.
Lowassa ambaye alikuwa nguzo muhimu...
Wana Jamvi,
Kuna kila dalilil CCM kupasuliwa na mjadala wa Richmond. JK ametuhumiwa, na akanyamaza. Bila shaka atakuja na suluhisho zimamoto kama kawaida, ama la kumfukuza kinyemela Lowasa kwa kutumia kamati ya maadili, au kumtia hatiani kwa kumfungulia kesi. Vyovyote vile, njia hii...
Na Nova Kambota Mwanaharakati,
Nianze makala yangu kwa kutamka wazi kuwa sikubaliani na kauli mbiu ya miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania bara ''tumeweza, tumethubutu, tunasonga mbele'' sikubaliani na dhana hii na kamwe sitakubaliana nayo kwasababu kila Mtanzania anayejua ukweli tena ni...
Kwa kuwa Lowasa amekana mbele ya JK kuhusika kwake na Richmond/Downs, na
huku akidai kuwa alitaka kuvunja mkataba huo lakini JK akamkatalia, na
kwa kuwa JK mwenyewe ameshindwa kukanusha madai hayo ndani ya NEC.
Kwa kuwa JK alidai kuwa hajui Richmond/Downs, na
Kwa kuwa mtoa taarifa za ukweli Dr...
Lowassa alipata kusema yeye Mwenyewe kuwa Kikwete ni Rafiki yake Mkubwa na hawakukutana Barabarani sasa sisi tunajua kabla ya Lowassa kusema kuwa Suala la Richmondi Walikuwa pamoja!!
Nani asiyehua kwamba Kikwete ndiye aliyekuwa anampa maelekezo Lowassa ??
Hapa wote Hao Marafiki hawana...
Dr. Mwakyembe na Powerpool: Kuna mgongano wa maslahi na Dowans/Richmond?
Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania Toleo No. 4689 la tarehe 15 Machi 2009 chini ya kichwa cha habari "Dk. Mwakyembe Aumbuliwa" imeripotiwa kuwa Dk. Harrison Mwakyembe ni mmoja wa wamiliki wa kampuni ya kufua umeme na ndio...
Lowassa amekana rasmi kuwa yeye hahusiki na mkataba wa Richmond!
Nanukuu:
Mwisho wa kunukuu
Hii leo si sahihi hata yeye (Lowassa) kuhukumiwa kwa kuzingatia kile kinachodaiwa kuwa ni mtizamo wa umma dhidi yake unaompa sura ya ufisadi, jambo ambalo amedai kwamba siyo la kweli.
Chanzo...
Wadau tunauliza, yawezekana siku hizi bila kamati teule hata kama kitu kinasemwa kibaya kwa taifa serikali inakaa kimya mpaka ibanwe bungeni ndo inaunda kamati teule. Tunasema kuna richmond inapikwa singida.na tunasema kuwa tangu tarehe 25 august 2008 kituo cha taifa cha uwekezaji (tic) ilitoa...
Wakati makundi mawili hasimu yale yanayomuunga na kutomuunga Lowassa yakitunishiana misuli kuhusu kuvuliwa gamba kwa kutumia kashfa ya richmond, lowassa amenukuliwa na watu wake wa karibu akisema huu utakuwa wakati mwafaka kwake kusema kila ukweli anaoujua kuhusu richmond.
Chanzo: Tanzania...
Zimwi la Richmond bado lamuandama Lowassa
Na Jacob Daffi - Imechapwa 02 November 2011
VIONGOZI waliokuwa serikalini wakati wa mkataba wa kuzalisha umeme wa dharula wa Richmond bado wanaendelea kunganganiwa kwenye kashifa ya kushiriki kwenye ufisadi wa mkataba huo, MwanaHALISI limeelezwa...
Umeme wa dharura
Waandishi Wetu
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja
Mipango ya utapeli yakwama Marekani
Ngeleja mikononi mwa Bunge
UTAPELI mithili ya ule wa kampuni ya kufua umeme wa dharura ya Richmond,ambao nusura uchote Sh bilioni 85 kupitia mpango wa Serikali wa umeme wa dharura...
Wakuu,
Muda si mrefu tutaweza kwenda Live kutokea Monduli ambapo Mhe. Lowassa (Waziri Mkuu aliyejiuzulu) atakapoongea na vyombo vya habari. Tumefanikiwa kupenyeza mtu hivyo tutaweza kuwaletea alichoongea. Nita-update 1st post kulingana na atakavyokuwa anaongea.
Shukrani
* Soma updates hizi...
Imenibidi nilete changamoto hii kwa jukwaa la jamii forum ili ifanyiwe kazi haraka iwezekanavyo maana sisi kama watanzania tunaweza tukawa tumeingizwa mkenge uleule kama yalivyotokea mambo ya Richmund kwamba kampuni iligundulika feki kwa kujifanya mambo yao yamefanyika USA na kwingineko ulaya...
*Aapa kamwe hatakubali serikali kuilipa Dowans
*Asema iliirithi Richmond isiyotambuliwa kisheria
*Wanaharakati watangaza siku 10 za maandamano
*Yaelezwa TANESCO kukata rufaa changa la macho
Na Waandishi Wetu
SIKU chache baada ya Mahakama Kuu kusajili tuzo ya malipo ya sh. bilioni 94...
Hukumu ya Dowans imetoka wakati Muafaka ambao kampeni za mwisho zinafanyika igunga, Wapiga kura wa igunga tambueni kuwa ubovu na ufisadi wa CCM na Rostam Azizi ndio uliopelekea taifa hili lilazimike kulipa mabilioni haya, Tarehe 2 October iwe siku ya kuwapa Chadema ushindi ili kuowaongezea nguvu...
Ndugu zangu, miezi michache iliyopita, ndugu yangu ambaye ni mbunge alinipa taarifa kuwa kuna baadhi ya wabunge waliokuwa wameongwa pesa nyingi kuitetea Dowans na kusaidia kufanikisha uuzwaji wake. mmoja wapo ya wamiliki alikuwa akisafiri kwenda Dodoma na sanduku lililojaa pesa na kuwagawia...
Mbunge Mnyaa aishangaa serikali kuhusu maagizo ya Richmond
Na Kizitto Noya, Bukoba
MJUMBE wa Kamati ya Bunge iliyochunguza zabuni ya kufua umeme wa dharura iliyoipa ushindi Kampuni ya Richmond, Habib Mnyaa, amesema haridhiki na kasi ya serikali katika kutekeleza mapendekezo ya Bunge kuhusu...
Kampuni ya Dowans Tanzania Ltd imetangaza rasmi zabuni ya kuuza mitambo yake ya kuzalisha umeme ikiwa ni miezi mitatu baada ya serikali kusitisha mkataba wake na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).
Dowans Tanzania Limited ilirithi mkataba wa kuiuzia umeme wa megawati 120 Tanesco kutoka kwa...
Richmond Tanzania kufutwa rasmi leo
*Siku 30 zimekwisha, notisi kutolewa leo
Na Ramadhan Semtawa
KAMPUNI ya Richmond Tanzania Limited inatarajiwa kufutwa rasmi katika orodha ya makampuni iliyo katika Ofisi ya Wakala wa Usajili wa Makampuni na Majina ya Biashara (Brela), kutokana na kushindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.