ripoti ya matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna utaratibu wa kumtaka mbunge awasilishe ripoti Bungeni ya matumizi ya mfuko wa jimbo?

    Nimekua najiuliza, Wabunge si wanaingiziwa fedha za maendeleo ya jimbo. Je, upo utaratibu wa kuwasilisha ripoti ndani ya Bunge kama vile mawaziri katika wizara zao juu ya miradi ambayo wameitekeleza kupitia fedha hizo za mfuko wa jimbo. Hii system kama haipo basi naomba vyombo vya Sheria na...
  2. voicer

    JamiiForums Tanzania Kwanini CAG hatoi Ripoti ya Matumizi ya Tume za Uchunguzi?

    Imekuwa utamaduni wa kila siku,kusikia zikiundwa tume kuchunguza matukio kadhaa, yanayoleta kadhia mbalimbali ambazo huikumba jamii. Tume hizo huteuliwa na viongozi wa ngazi mbalimbali tofauti, kuanzia ngazi ya taifa hadi mikoani. Hii ikiwa ni kwa mamlaka wanayokuwa wamepewa kwa mujibu wa...
Back
Top Bottom