Je, kuna utaratibu wa kumtaka mbunge awasilishe ripoti Bungeni ya matumizi ya mfuko wa jimbo?

Je, kuna utaratibu wa kumtaka mbunge awasilishe ripoti Bungeni ya matumizi ya mfuko wa jimbo?

Mundhir Khamis

New Member
Joined
Jun 11, 2025
Posts
1
Reaction score
0
Nimekua najiuliza, Wabunge si wanaingiziwa fedha za maendeleo ya jimbo.

Je, upo utaratibu wa kuwasilisha ripoti ndani ya Bunge kama vile mawaziri katika wizara zao juu ya miradi ambayo wameitekeleza kupitia fedha hizo za mfuko wa jimbo.

Hii system kama haipo basi naomba vyombo vya Sheria na hata hao Wabunge wenyewe pia kama ni wawajibikaji basi waipendekeze iwe ni katika utaratibu.

Naomba kuwasilisha.
✍️
 
Back
Top Bottom