ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Ripoti: Idadi Ya Wabunge Wanawake 2023 iliongezeka

    Muungano wa Wabunge duniani (UIP) unasema wanawake wameongozeka katika bungu kwa mwaka 2023 ambapo wanawakilisha ongezeko la asilimia 0.4 mwaka baada ya mwaka, kiwango sawa cha ukuaji kwa mwaka 2022. Hata hivyo, ukuaji huo ni wa polepole kuliko miaka iliyopita kwani chaguzi za 2021 na 2020...
  2. BARD AI

    Ripoti AfDB: Gharama kubwa za maisha zinaweza kuamsha machafuko zaidi Afrika

    UCHUMI: Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) imesema kuendelea kupanda kwa gharama za maisha hasa mahitaji muhimu kama Chakula, Nishati na bidhaa nyingine kunaweza kuibua hasira za Wananchi na kusababisha vurugu katika baadhi ya Mataifa ya Afrika. AfDB imezitaja baadhi ya Nchi zinazopaswa kuchukua...
  3. BARD AI

    Tanzania yawa miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri kiuchumi Afrika 2024. Yazipiku Kenya na Uganda

    Nchi 3 za Afrika Mashariki zimetajwa katika orodha hiyo ambapo zitaongozwa na Rwanda inayotarajiwa kupata Ukuaji wa 7.2% ikifuatiwa na Tanzania 6.1% na Uganda itakayokua na Ukuaji wa Uchumia wa 6%. Afrika itachangia uchumi wa nchi kumi na moja kati ya 20 zinazokuwa kwa kasi zaidi duniani...
  4. Roving Journalist

    Utafiti: Wanaume wananyanyasika zaidi kingono kwenye vyombo vya habari kuliko wanawake

    https://www.youtube.com/watch?v=A3BiWhBGNxY Twaweza, JamiiForums, The Union of Tanzania Press Clubs (UTPC), Tanzania Media Women’s Association (TAMWA) na Media Institute of Southern Africa Tanzania Chapter (MISATan) kwa pamoja wanatarajiwa kuzindua Ripoti ya Sauti za Waaandishi, leo Februari 16...
  5. BARD AI

    Ripoti: 50% ya Waandishi wa Habari Tanzania wameripoti kuwahi kutishiwa, kushambuliwa au kuteswa wakiwa kwenye majukumu yao

    Ripoti ya Utafiti wa Uzoefu na Maoni ya Waandishi wa Habari kuhusu Sekta ya Habari Tanzania imebaini masuala muhimu yafuatayo: 20% ya Waandishi wa Habari wanasema ajira yao ni ya kudumu huku 63% wanasema ni vigumu kupata maisha mazuri kupitia Uandishi wa Habari. Waandishi wa Habari wa Kike...
  6. BARD AI

    FIFA Ripoti: Zaidi ya Tsh. Trilioni 23.3 zilitumiwa na Vilabu kufanya Usajili mwaka 2023

    Zaidi ya vilabu 1000 vya soka duniani vilitumia dola bilioni 9.63 katika uhamisho wa mwaka jana na kusajili ongezeko la 48.1% la takwimu kutoka 2022. Wachezaji wa kitaalamu walichangia 31% ya takwimu za uhamisho lakini walitawala matumizi ya klabu. Wachezaji kumi bora walitumia 10% ya pesa...
  7. Roving Journalist

    Ripoti ya TAKUKURU Mkoa wa Ilala: Mkandarasi akatwa zaidi ya milioni 327 kwa kuchelewa kukamilisha mradi wa vyoo vya umma Dar

    https://www.youtube.com/watch?v=GsdrbCwShyU Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) – Mkoa wa Ilala, Sosthenes Kibwengo anatarajiwa kuzungumza na Wanahabari kwa ajili ya kutoa taarifa ya miezi mitatu, leo Januari 31, 2024. Mkutano huo na Wanahabari unatararajiwa kufanyika...
  8. Sildenafil Citrate

    Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC. Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na...
  9. N

    Ripoti mpya ya Benki ya Dunia yaonesha Tanzania inakabiliwa na ongezeko la mzigo wa kulipa madeni

    Dar es Salaam. Ripoti mpya ya Benki ya Dunia imetoa taswira inayohusu nchi zinazoendelea, ikiwa ni pamoja na Tanzania, zinazokabiliana na kuongezeka kwa mzigo wa kulipa madeni. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Tanzania na nchi zingine walitumia kiasi cha dola bilioni 443.5 kulipia deni la nje mwaka...
  10. Mlalahoi

    Ripoti kuhusu ufisadi unaoendelea huko Zanzibar

  11. L

    Ripoti ya IMF yafichua madai ya “mtego wa madeni" yaliyotengenezwa na Marekani

    Shirika la Fedha la Kimataifa IMF hivi karibuni lilitoa ripoti ya mtazamo wa uchumi wa Afrika ikikiri kuwa China sio chanzo kikuu cha mzigo wa madeni katika Afrika Kusini mwa Sahara. Wachambuzi wanasema wakati Marekani na nchi nyingine za kimagharibi zinaendelea kuishutumu China kwa kutengeneza...
  12. BARD AI

    Ripoti: Kodi na Tozo zimesababisha Wafanyakazi 70,000 kupoteza Ajira

    Shirikisho la Waajiri (FKE) limesema kati ya Oktoba 2022 hadi Novemba 2023, takriban Watu 70,000 wanaofanya kazi katika Sekta Binafsi walipoteza kutokana na mazingira magumu ya uendeshaji wa Biashara yanayochangiwa na Kodi zisizohimilika pamoja na athari za #UVIKO19. Pia, FKE imesema Sekta...
  13. Miss Zomboko

    Wakurugenzi wa Halmashauri 2 wasimamishwa kazi kwa kushindwa kusimamia Miradi ya Maendeleo

  14. MAGAMBA MATATU

    Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara Nyeti 2025 na Mgombea Urais 2030

    Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri, pili nawasalimu kwa jina la CCM, tatu karibu sana brother, nakutana mara tatu Makonda, Makonda, Makonda, nchi ili kosa mtu mwenye neno lenye maamuzi, na zaidi Mkoa wa Dar ulipoa sana. Narudia, karibu sana Lumumba head office bro. Kuna wakati inatakiwa uwe...
  15. Mhafidhina07

    Inakuwaje serikali inapuuzia ripoti nyingi?

    Ripoti ni njia ya sayansi katika kujua, kuchanganua na kutoa pendekezo ya changamoto zinazoikabili jamii. TANZANIA ni moja ya nchi inayopuuza ripoti za wataalamu licha ya kujali kiasi cha fedha, muda na maarifa ya mtu aliyotumia kwenye ripoti. RIPOTI ya Mwakyembe kuhusu ushoga, ripoti ya CAG...
  16. Pfizer

    Azim Dewji: Siku za Nyuma ripoti ya CAG ilikuwa Siri. Wanaochezea pesa za miradi watungiwe Sheria kali

    Mfanyabiashara maarufu nchini, Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kumpongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuruhusu mjadala wa ripoti ya CAG unaoendelea bungeni kuwa mjadala wa wazi, amesema uwazi huo utasaisia wezi wa pesa za miradi kuacha tabia hiyo Kwa upande mwingine...
  17. R

    Nani anaweza kutueleza kwa kifupi bunge limefikia maamuzi gani kuhusu Madudu ya yaliyoripotiwa na CAG? Ndio tuseme tunasubiri ripoti nyingine mwakani?

    Nimeona wabunge na mawaziri wamemaliza kujadili ripoti ya CAG. Kwa namna mambo yalivyokwenda ni kama spika amesimama na mawaziri kufunika kombe. Lakini wakati huo wabunge wakiamua kuungana na mawaziri dakika ya mwisho kwa kupiga makofi kama walivyopigiana wakati wakichangia. Cha msingi zaidi ni...
  18. Petro E. Mselewa

    Ripoti ya CAG: Bunge limehitimisha mjadala leo, nini kitafuata? Waliohusika na ufisadi na ubadhirifu watafanywaje?

    Kwa siku kadhaa, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson limejadili Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG). Kimsingi, Wabunge wengi wameuona, wameusemea na kuukaripia ufisadi na ubadhirifu mkubwa ulioainishwa kwenye Ripoti ya CAG. Wabunge...
  19. K

    Majadiliano ya ripoti ya mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali bungeni

    Nimemsikiliza sana kwa maakini taarifa ya Mhe. Mpina kuhusu ubadhirifu uliofanywa na Mhe. Mwigulu - Waziri wa Fedha, Mhe. Prof. Mbarawa aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na sasa Waziri wa Uchukuzi, na Meneja Mkuu wa TRC Ndugu Kadogosa kwa ubadhirifu mkubwa walioufanya kwenye Mradi wa SGR. Kama yale...
  20. BARD AI

    Spika Tulia: Wabunge hawasemi uongo, Ripoti ya CAG inaonesha kuna ubadhirifu

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kutokana na mjadala wa Wabunge kuonesha Halmashauri nyingi zina Ubadhirifu mkubwa, anapata wakati mgumu kusikia kauli za Mawaziri wakisema Wabunge wanasema uongo wakati taarifa za Kamati zinaonesha kuna ubadhirifu katika Halmashauri hizo. Akitolea...
Back
Top Bottom