Wakuu kwema?
Hiki kipengele kinasumbua sana. Yani unahitaji risiti ambayo ina tin halafu muuzaji anakwambia mashine haina option ya tin. Hapo ili tu asisumbuke kwa kuwa hajui hiyo hatua.
Pia mashine zenyewe ziko aina tofauti kiasi kwamba procedure za kutoa risiti zinatofautiana.
Sasa muuzaji...
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameututaka uongozi wa TRC Dodoma kuongeza mashine za ukaguzi wa risiti za malipo kwa abiria na kutatua kero ya msongamano wa abiria pindi wanapotoka stesheni.
Senyamule ameyasema hayo alipotembelea stesheni kuu ya Usafiri wa Reli ya Kisasa (SGR) na...
Portable Bluetooth Printer kwa kutolea risiti za mauzo dukani
-Haitumii wino wala haijazwi wino
-Ni ya kuchaji, unaweza kuichaji muda wowote wakati wowote.
-Bei ya ofa Tshs 90,000 tu, imebaki moja
Kwa msaada zaidi piga 0659-358-599
Naiomba TRA ishughulikie hili, hivi ni kwanini mashine za ATM mfano NMB, CRDB n.k hazitoi risiti pasipo kuuliza? Ilihali akifanya hivyo mfanya biashara kariakoo anakamatwa .
Kwanini risiti za ATM kuzipata kunamakato ilihali kudai risiti ni haki ya mteja?
Hii itapelekea wafanyabiashara ikiwemo wenye mitaji midogo kumiliki kifaa hiki na kukitumia. Nachukua mfano wa "lipa namba" ambapo wafanyabiashara wengi wameanza kuichangamkia hata bila promotion kubwa.
Bei ya EFD is highly exagerrated
Tukio lilianzia baada ya:
Mtoto wa miaka 11 (Maryam) anayesoma darasa la sita Kata ya Sokone One kukutwa ameuawa kwa kukatwa katwa na kutenganishwa mwili wake na kichwa na kisha kuwekwa kwenye beseni na kufichwa uvunguni mwa kitanda katika nyumba ya bwana Ramji Hatibu Mlacha.
Baada ya taharuki...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na tabia ya baadhi ya Wananchi kutodai au kutoa risiti kisa yeye Rais hajawaambia wafanye hivyo akisema huo ni wajibu ambao hauhitaji hadi Rais aseme.
Akiongea leo October 04,2024 Ikulu Jijini Dar es salaam wakati akizindua Tume ya Rais ya...
Kwema Wakuu
Nimeletewa barua ya serikali za mitaa ikiwa na wito WA kutaka niende ofisi za serikali za mitaa.
Kisa na mkasa NI kugoma kulipa Pesa ya taka na ulinzi àmbayo haizidi elfu Tano. Yàani taka 3,000/= ulinzi 2000/=
Walijaribu kunipa risiti za kawaida nikawakatalia nikawaambia waje na...
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia Mtumishi (Mhasibu) wa halmashauri ya Wilaya ya Karatu huku likimsaka mwingine kwa tuhuma kuhujumu mapato ya Serikali kwa kutoa risiti bandia za EFD.
Kulingana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu Juma Hokororo amesema watumishi hao...
Hii...kwakweli ni AIBU Sana na tuna create taifa masikini na OMBA OMBA pale ambapo katika Population ya watu milioni 61 wanaolipa kodi ni ni milioni 3 tu.
Unajua hadi inatia woga hata kule kufikiri tu, kuwa huo ndio ukweli...
Ndio maana Taifa letu tuna shida kubwa sana hilo eneo ili hali...
Serikali imesema kuwa taratibu za kikodi zimebainisha kwamba, mfanyabiashara yeyote mwenye mauzo ghafi yenye kiasi cha shilingi milioni kumi na moja (TZS 11,000,000) na kuendelea kwa mwaka, anapaswa kutumia mashine za kutoa risiti za kielekroniki (EFD) kwa walipakodi wote wanaofanya biashara...
Mwenyekiti anakwambia uwe na shimo la kuchomea taka nyumbani unafanya, hujaakaa vizuri wanapita watu wanataka utoe elfu tano ya taka kwa mwezi na wanasema ni maagizo ya Mkurugenzi, tunataka ufafanuzi
"Matumizi ya mashine za kielekroniki kwa ajili ya kodi na kutoa risiti bado imekuwa ni changamoto kwa wananchi, kwasasa utoaji wa risiti umekuwa kama punguzo la bei manake mtu asipopewa risiti anapunguziwa bei tofauti na akidai risiti jambo ambalo linasababisha bidhaa nyingi kuuzwa nje na bei...
Wakuu kwema?
Nimeona sehemu nyingi kwenye Vituo vya Mafuta kuna watu wakishanunua mafuta huwa hawachukui risiti, unakuta ndoo za taka au mabox yamejaa risiti za kutosha tu.
Huwa zinafanyiwa nini? Wanazipeleka wapi? Kuna sehemu nilisikia kuwa ni dili, anayejua undani wa hili atujuze.
Kumekuwa na usumbufu mkubwa kwa daladala za
1.BUYUNI SOKONI-SIMU 2000
2.BUYUNI SOKONI-M/COMLEX
3.BUYUNI SOKONI-KIVUKONI.
Wanalazimisha daladala zifike mpaka ndani ya soko wakati barabara ni mbovu sana,lengo wapate ushuru.
Tatizo ni kwamba wenye daladala wanataka risiti za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.