AMBWENE KONZO LIMITED WANAKUPA NAMNA , RAHISI, SALAMA NA NAFUU ZAIDI YA KUTOA RISITI ZA TRA KWA KUTUMIA SIMU,KOMPYUTA,POS AU MFUMO WAKO ULIONAO. HUNA HAJA YA KUNUNUA MACHINE.
ILIKUPATA HUDUMA UNATAKIWA KUWA NA:
NAKALA YA TIN CERTIFICATE
NAKALA YA KITAMBULISHO
BARUA YA MAOMBI KWA TRA KUTOKA...
Kwa nini mawakala wa kutuma hela hawatoi risiti kwa mtumaji una ambiwa tu tayari imeenda.
Au huyu mtumaji yeye siyo mteja na hana maana kabisa ila mteja ni yule anayepokea hela kwa sababu huyo yeye anapata stakabathi ambayo nayo ina mapungufu kwani inaoyesha tarifa za wakala tu wakati wakala...
Juma mosi nilienda kariakoo kununua bidhaa kwenye duka linalomirikiwa na mtu mwenye asili ya kichina mara baada ya kufika muuzaji akamiambia yafatayo
▪︎Kitu unachotaka kununua ni cha laki na hamsini ila bila risiti laki na thelathini elfu
▪︎Na ukitaka bila risiti kabisa ni laki na ishirini...
Unaweza kushangaa kwa nini nimepost hapa kwenye jukwaa la siasa.. Lakini huu ni uhujumu uchumi.. Juzi nikiwa Mwenge sokoni mtu wa parking alinielekeza vizuri sehemu ya kupaki gari.
Nikapaki nikafanya ghughuli iliyonipeleka ndani ya dakika ishirini nikawa nimemaliza naondoka.
Jamaa akaja na...
Waziri wa Fedha amewaonya wafanyabiashara wanaowafundisha Watanzania kukwepa kodi kwa kuwapa bei mbili za bidhaa, bei yenye risiti na bei isiyo na risiti. Amesema kuna wafanyabiashara wakidaiwa risiti wanajivuta, mara wanafuta mashine vumbi, hadi anayedai risiti akate tamaa.
Waziri wa Fedha...
Habari
Kutokana na risiti hii ya EFD
Swali langu ni kutaka kujua bidhaa za simu hazina VAT?
Bei ya simu ni 48,000 na imeandikwa na TOTAL EXCLUSIVE OF VAT = TOTAL INCLUSIVE OF VAT
Ina maana hapo TOTAL TAX = 0
msaada kujua bidhaa hizi hazina vat?
Arusha. Shahidi wa tatu wa Jamhuri, Ramadhan Ayubu Rashid (26) ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, jinsi mwenye duka alivyolazimishwa aseme hatoi risiti na watu waliokuwa eneo hilo, huku akimtambua aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.
Shahidi huyo ambaye ni...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Nianze na angalizo kuhusu andiko langu hili kuwa sio la kielemu wala kitaalam ni mawazo yangu binafsi ninavyotamani kuona kama yanaweza kuonesha njia ya mabadiliko kwenye ukusanyaji wa mapato nchini. Nikirejea motto wa mamlaka ya mapato...
Katibu Mkuu wa CCM ameonekana Zanzibar na kwingineko katika ziara za chama chake, ameonekana akitumia usafiri wa ndege za ATCL ambalo ni shirika la umma.
Sasa ili kuondoa minong'ono ya chini chini iliyoanza kusikika kwamba ANATUMIA NDEGE HIZO BILA KULIPA CHOCHOTE , Ni vema basi shirika hilo...
Niende moja kwa moja kwenye mada,
leo nimekwenda kuchukua fedha kwenye ATM zao na nikaomba risiti, kiwango kilichokatwa nikikubwa mno (sh 10,000). Hii gharama ya huduma ya kibenki ni kubwa mno, sikuamini macho yangu, ilibidi niangalie mara mbili kama ni sh 10,000 au 1,000.
Nawashauri NMB...
Hili likifanyika litaondoa manung'uniko ya Wananchi kuhusiana na Mali hii ya Umma kutumika kama Chombo cha CCM.
Enzi za Chama kimoja kutumia rasilimali za Taifa kwa manufaa binafsi si tu kwamba zimekwisha, bali hali hiyo ikiachwa iendelee inaliaibisha Taifa zima na kufedhehesha demokrasia.
Wakuu Habari,
Wapi naweza pata duka linalouza vile vitabu vikubwa vya kuandikia Risiti za mkono kwa hapa Dar?.
Nataka kuanza biashara ndogo nahitaji hivi vitabu kwa ajili ya Risiti na kumbukumbu msaada anayejua upatikanaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.