Hii ni hoja ya shabiki lialia kutoka msimbazi ila baada ya game mpaka leo sijui kapotelea wapi ndugu yangu Kaghambe popote ulipo toka uje kusema neno hapa
Shida ni nini kila napoingia maduka makubwa makubwa nanunua bidhaa mbalimbali lakini naona sipewi risiti pia wanunuzi wengine nao waona naona hawapewi risiti
Nikiagiza bidhaa hapo kariakoo bidhaa zinakuja mikoani bila risiti
Haya makusanyo wanayoyatangaza TRA kua wanakusanya Tillion 2 kila...
VFD ni mfumo uliothibitishwa na TRA wa kutoa risiti za EFD kwa kutumia simu au kompyuta, huu mfumo ni Bora kabisa na rafiki kwa wafanyabiashara utakaokuwezesha kutoa risiti bila kikomo, Kupunguza garama kwa zaidi ya 50%, kutoa risiti za Softcopy na HARDCOPY, na sasa unaweza kutoa risiti ambayo...
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kuanzia leo tarehe 1/5/2023 kuanza zoezi la ufuatiliaji katika Mikoa yote wasafirishaji wa vifurushi/ vipeto kuhakikisha wanatoa risiti za EFD kwa wateja wao.
Kumbuka: Ukikutwa haujatoa risiti adhabu yake ni kulipa faini kuanzia 3,000,000 hadi 4,000,000...
Kwa uchunguzi wangu binafsi sijawahi kuweka mafuta Puma, Total, Engen nikaambiwa risiti hazitoki, mashine ya risiti mbovu.
Natumia sana hivi vituo na mara zote napata risiti. Lakini mara chache ninapotumia vituo fulani huwa nakumbana na hii shida kwamba risiti hazitoki mashine mbovu.
Shida ni...
Kwangu kituo karibu, rahisi na kwa sasa kinachoaminika ni BP PUMA Tangi Bovu.
Nimeenda kuweka mafuta juzi, wakasema mashine ya risiti imegoma. Leo nimeenda tena hapo, bado hawana risiti!
Majuzi nimeona magazetini TRA wakimshitaki masikini mama mmoja hapa DSM kwa kutodai risiti. Sasa kwa hapa...
Kariakoo ni kituko sehemu kama ile ningefikiria ndiyo iwe focal point ya ukusanyaji wa mapato lakini nenda duka lolote kariakoo ukanunue kitu alafu omba risiti uwone.
Kwanza wana kali moja hiyo, wanakuambia bila risiti bei inapungua, mbili, ukiwa unachukua mzigo mkubwa unapeleka mbali...
Nani asiyezijua mashine za EFD au hizi zinazotumiwa na jamaa wa parking au kwenye malipo mbalimbali?
Mashine hizi sasa ni takwa la kisheria kwa wafanya biashara vinginevyo hakuna kufanya biashara.
Uliza bei za hizo mashine. Si ajabu kusikia 600,000/- kwa moja na malipo lukuki ya mwezi kwa...
Nimekwenda kutoa pesa ATM ya Posta, ikatoka risiti ambayo inaonyesha kiasi kilichotolewa lakini salio/ baki (balance) haionyeshwi.
Tangu miaka yote risiti imekuwa inatoka na kuonesha salio/baki/(au kwa kizungu balance). Leo kwa mara ya kwanza salio halikuoneshwa.
Maana yake nini?: Ni kuwa kwa...
Bernald Mnyilenda aliyekuwa Mhasibu wa Shule ya Southern Highlands amehukumiwa kifungo hicho baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kumkuta na hatia ya kutumia kitabu ghushi cha Risiti na kupokea ada kiasi cha Tsh. milioni 97.
Mahakama hiyo imemkuta na makosa 22 baada ya kusikiliza...
Naomba kujuzwa suala hili?
Sisi machinga tunaomba mfumo wa risiti kwa ajili yetu ili na si tushiriki katika kujenga uchumi na taifa letu, Endapo mmetuondolea mfumo wa vibali vya elfu ishirini basi huku ambapo tupo rasmi tunaomba tutengenezewe mfumo rasmi wa utoaji risiti kwani hili litaongeza...
TRA kwa muda mrefu wamekua wakilalamika kupoteza mapato mengi kutokana na wauzaji wa bidhaa kutotoa risiti za Kielektroniki
hii imesababishwa na wananchi wenyewe kutojua umuhimu wa kudai risiti za EFD
nilisikia TRA wameanzisha mchongo kwa baadhi ya wakazi wa dar kwamba ukikutwa na TRA umenunua...
Habari za leo wakuu:
Siku hizi mawakala wapya wa NMB wanasajiliwa bila ya kupewa zile mashine za kutolea risiti badala yake wakala anafanya kupitia simu yake ya mkononi hivyo mteja anaondoka na ile risiti moja ambayo ameijaza na wakala atagonga mhuri . Kwa wazoefu hii haileti changamoto kwa...
Tangu hii kampeni ianze, hakuna hata siku moja tuneambiwa makusanyo ni shilingi ngapi.
Hela zinakusanywa kwenye mifuko ya rambo, anayezihesabu hajulikani ni nani, ni rahisi watu kujichotea tu na kuweka mifukoni mwao, hakuna risiti. Hakuna ufafanuzi nani anaongoza nini, na gharama za operesheni...
Naona lile zoezi la TRA la kamata wote kumbe kweli du, kumbe wapo kweli kazini naona matukio jana walikuwa Jangwani na Kariakoo yaani ukiwa hujatoa risiti au hujaomba risiti unao.
#TEGETA Maafisa wa TRA Mkoa wa kodi wa Tegeta leo 03/02/2022 wameendelea na zoezi la ukaguzi wa risiti za #EFD kwa...
Naomba msaada juu ya hii risiti. Nimekuita kwenye mkoba wa mke wangu nimeumiza kichwa ila bado sijapata jibu sahihi naona tu TRA na hiyo Sheri na mke wangu hana usafiri wowote naomba mnifumbue macho.
Habari zenu wakuu.
Nilimaliza form four mwaka 2018 kwa ufaulu wa division 3 ya 24, lakini nilikua na F moja ya Mathematics hata hivyo nikachagulia na TAMISEMI kusomea coz ya marketing ndiyo ninayosoma Hadi Sasa.
Nataka ku risiti nirudie SoMo moja la mathematics ambalo nilipata "F" form four...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.