So i am 25 right ? I have been using the same name in most of my Certificates, but for the last 10 years I found out I am a bastard son and my Father Claims to not have had a bastard son, So I am Disowned, Now Here is the Crucial part, My mum Renamed me from Rajab To Amour around 2011 due to...
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) nawapongeza mmeanzisha mfumo mzuri wa wananchi kufuatilia taratibu za kupata cheti cha kizazi na vifo katika mtandao badala ya kuja kupanga foleni kwenye ofisi zenu.
Ila bado kuna changamoto nadhani kwakua watumishi sasa hawakutani na wateja nadhani...
Hellow wakuu, naomba msaaada hapa kwenye cheti cha kuzaliwa wakati wa uhakiki una maana gani leo siku ya tatu bado inasumbua aisee halafu ndugu yangu anataka kuomba chuo, pia muda wa maombi unaisha aisee
Taasisi ya Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imebaini ubadhirifu mkubwa wa mali na fedha zinazozidi Shilingi bilioni 2 katika Msikiti wa Manyema uliopo Kariakoo, Dar es Salaam. Matokeo haya yamepatikana kupitia ukaguzi wa kina wa mali na mapato ya msikiti huo, kama ilivyotangazwa na Mkurugenzi...
Nimekutana na hii taarifa mtandaoni ikisema mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kushirikiana na chombo cha utoaji wa huduma za Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa pamoja wametoa mkataba KANJU ENTERPRISES LDT wa kutoa huduma kwa wananchi ya kufanya marekebisho ya majina/taarifa...
Samahani nlikuwa nahitaji kujua jinsi ya kuadd attachnment kwenye sytem ya rita ya kuomba cheti cha kuzaliwa nlikuwa nimeshalipia hadi control number sasa natakiwa niongeze barua ya serikali za mitaa.
Habari zenu wakuu, bila shaka nyote ni buheri wa afya, kwa wenye magonjwa mola atawasaidia.
Pasi na kupoteza muda naomba niende kwenye lengo la andiko langu.kumekuwa na habari nyingi kuhusu Mt Rita wa kashia,hii imepelekea baadhi yetu kuwa na mitazamo hasi hasi hasa kwa dini yetu hii ya...
Ndugu zangu,
Hii mamlaka ya RITA ni tatizo week ya tatu sasa vyeti vya wanangu havijahakikiwa nimelipa sh 12,000 kwa vyeti viwili tu lakini majibu cjapata na hawajitokezi kuelezea nini tatizo nakumbuka miaka mitatu nyuma tulihakiki vyeti kwa Tsh 2000.
Leo imefika 6000 lakini huduma zimekuwa...
Kwa mawazo yangu ya kawaida bila kutumia akili za shuleni kwetu kuna vitu havipo sawa kwenye chi hii.
Mfano: Unaenda RITA unafanya maombi ya cheti cha kuzaliwa cha mtoto/watoto etc.. unapewa control number unalipia baada ya muda unafata cheti chako kipo tayari.
Cheti kipo tayari kwa matumizi...
Kama una mtoto na hauna uhakika na baba yake halisi au kwa sababu zako hutaki ubini wake utumike kwa mwanao, huna sababu ya kumwandika baba bandia katika cheti cha kuzaliwa.
Kwa mujibi wa RITA kuandika jina la baba asiye wa asili ya mtoto katika cheti cha kuzaliwa ni kosa kisheria.
Badala yake...
habar za muda huu wakuu
nilikuwa naomba msaada jins ya kuandik muhtasari wa wanandugu wasiopungua saba pamoja na vitambulisho vyao hao walio hudhuria kikao cha familia,na kiapo cha mahakama pamoja na muhtasari wa kamati ya ulinzi na usalama ya kata ikithibitisha kutokea kwa kifo naombeni...
Sitachoka kuwalalamikia RITA, unatuma cheti cha kuzaliwa walichotoa wenyewe, wanakaa nacho zaidi ya wiki 3, baadae wanakujibu picha ya kivuli haionekani vizuri.
Wanakwambia kitume upya. Ukishakituma baada ya siku kadhaa wanakujibu cheti walichotoa wenyewe eti hakiko kwenye orodha...
Habari Wana jamii.
Naomba kuuliza ni mda gani RITA wanachukua kuchakati taarifa zako na kurudisha majibu?
Mfumo wa Sasa upo kitechnology Zaidi, mtu anaeweza kuomba cheti online kwa kutumia simu yake.
Je kama taarifa sio sahihi ni namna gani wanarudisha majibu?
Ni mwezi Sasa unapita toka...
Mwanangu yuko katika hatua za kuomba nafasi chuoni mwaka huu, lakini anapata usumbufu mkubwa kubadilisha majina kwenye cheti chake cha kuzaliwa ili yaendane na yale yaliyo kwenye vyeti vya shule. Hii ni hatua muhimu ili aweze kuendelea na mchakato wa kuomba chuo.
Vivyo hivyo, hata wakati wa...
Kwa yeyote ambae atahutaji usaidizi wa kuelekezwa au kufanyiwa HUDUMA zifuatazo asisite kunitafuta.
1.RITA verification ya VYETI vyote. VYETI vya KUZALIWA na VIFO
2.kufanya application za vyuo vyote.
3.kufanya application ya mkopo kwa wale wanafunzi wa vyuo.especially degree na level ya juu...
Habari WanaJF
Nimekuwa nikijiuliza maswali kwanini kuna zoezi zima la verification codes wakati wa zoezi la ujazaji form za mikopo ya elimu ya juu kulipia?, Kwanini wasitengeze vyeti vya kuzaliwa na kuviingiza kwenye mfumo na ku-print ikiwa na namba zake(namba ambazo zinazotumwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.