rita

  1. BARD AI

    Kama aliyekufungisha Ndoa hajasajiliwa RITA, ujue Ndoa yako ni Batili

    Ni kama hukumu ya Mahakama iliyoharamisha ndoa ya mbunge wa zamani wa viti maalumu (CCM), Vicky Kamata na Dk Servacius Likwelile imewaamsha wanandoa wengi kuhusu uhalali wa ndoa walizonazo mbele ya macho ya sheria. Hukumu hiyo inaelezwa kuibua mambo matatu ili ndoa iwe halali, moja ni lazima...
  2. TheForgotten Genious

    RITA wekeni mbadala wa namna watu watapata vyeti vya vifo

    Utaratibu wa sasa wa RITA wakutoa vyeti vya vifo ni kuumizana vichwa na kuwakwamisha watu, mtu anaomba cheti cha kifo cha mzazi wake, na alifari miaka 30 iliyopita mnataka aambatanise mukhtasari wa kikao cha familia sijui kibali cha maziko nk. Hivi mtu anapata wapi muktasari wa kikao na...
  3. stevhinoz

    Nani anafahamu jinsi ya kusali Novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anisaidie?

    Habari zenu watu wa Mungu, Naomba mwenye kufahamu namna ya kusali/kufunga novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anipe maelezo yake jinsi ya kufanya. Natanguliza shukrani.
  4. Omaryjr1

    Kuhusu cheti Rita

    Habari wakuu naomba kujua inachukua muda gani? Hadi rita kurudisha majibu baada ya kufanya maombi ya uhakiki wa cheti
  5. Astro world

    Kukwama kwenye kutuma maombi ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa RITA

    Habari zenu wakuu, Naombeni msaada kwenye kutuma maombi ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa RITA. Pale kwenye kipengele cha kukituma cheti inagoma kabisa ku attach file yani kila ni ki click pale kwenye ku choose file haiendi popote inabaki pale pale na mtandao uko vizuri kabisa hauna shida...
  6. Jicho la Tai

    DOKEZO Mhe. RAIS, Rudi tena RITA! Ukiritimba wa Huduma ambayo ilipaswa iwe BURE

    Huduma yeyote ile inayoiwezesha jamii husika kupata huduma nyingine, ikicheleweshwa kwa jamii, Maendeleo kwenye nchi huwa yanachelewa au yanaenda Taratibu. NARUDIA! "Huduma yeyote ile inayoiwezesha jamii husika kupata huduma nyingine, ikicheleweshwa kwa jamii, Maendeleo kwenye nchi huwa...
  7. N

    Certificate verification number RITA

    Habari za mchana wakuu? Poleni na majukumu ya hapa na pale. Naombeni mwongozo jinsi ya kupata certificate verification namba baada ya cheti kuhakikiwa RITA. Nimehakiki tayari na nimeendelea na maombi ya mkopo ila sehemu ya demographics inataka verification number ambayo kwenye vyeti...
  8. Alex Dennie

    Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa RITA

    Habari zenu wakuu, nataka kuhakiki cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya kuomba mkopo (HESLB) kwenye mfumo wa online eRITA. Nimejaza details zote lakini kuna moja "entry no" ndio sijui nijaze nini, naomba msasa tafadhali
  9. Pdidy

    Mkurugenzi wa Rita Tunaomba uchunguzi cheti cha kifo No 100000203415(MOSHI)/ tangazo la kifo BD 0668249(Dar)Marehemu kafia dar kaishi dar +mirathi mo

    Ndugu Mkurugenzi wa Ritta Huyu ninayemwongelea ni mmoja wa ndugu zangu aliefariki 2019 Marehemu Edwin Moshi mwenye Kitambulisho cha Nida No 19450805-14115-00001-29 alifariki tar 19-2-2019 Hosptial ya Kinondoni hospital na ugonjwa wa kansa ya kibofu Marehemu ameacha jumla ya watoto wanne...
  10. M

    RITA kuthibitisha wenyewe nakala za vyeti vya kuzaliwa ina maana cheti kikithibitishwa mahakamani/ kwa wakili hakitakubalika?

    Naomba kuuliza kwa wenye uhakika na hili: Je nakala ya cheti cha kuzaliwa kikithibitishwa mahakamani au kwa wakili kitakubalika? Uthibitishaji wa vyeti vya kuzaliwa unatakiwa sana hasa kwenye kuomba ajira, na kwenye uombaji wa mikopo ya elimu ya juu. Nauliza hivi kwa sababu mchakato wa...
  11. benzemah

    Rais Samia ateua na Kutengua Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kama ifuatavyo: i) Amemteua Bw. Frank Kanyusi Frank kuwa Kabidhi Wasii Mkuu. Kabla ya uteuzi Bw. Frank alikuwa Mwanasheria Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara. Bw...
  12. Murashani GALACTICO

    Kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa online RITA

    Nauliza je, utaratibu wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa ONLINE RITA kwa mwaka 2023 / 2024 umeanza au bado? Nimejaribu ku-create account ili nianze mchakato wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa vya wateja na watu wangu wa karibu. Lakini hata hatua ya kwanza ku-create account...
  13. R

    Rais kuisuka upya NIDA na RITA, wakwama usajili wa watu

    RITA na NIDA wapo mbioni kufumuliwa na kusukwa upya kuendana na Kasi ya awamu ya sita. Maeneo yanayotegemea kuwekewa mkazo nikudhibiti Watanzania na wageni waliozaliwa nje ya nchi kutokupata cheti cha kuzaliwa kama vile wamezaliwa Tanzania. Mwanya huu unatumiwa Sana kusaidia raia wa kigeni...
  14. Frumence M Kyauke

    Ripoti za RITA zabainisha kuwa ndoa za Watanzania zavunjika kwa zaidi ya 50%

    Ripoti kwa undani Ripoti hiyo imeonyesha mgawanyo wa wasio kwenye ndoa kama ifuatavyo: Wanandoa waliotengana ni asilimia tano, waliopeana talaka (asilimia 1.9), wasiowahi kuwa kwenye ndoa (asilimia 38.9), wajane na wagane (asilimia 5.4) na wanaoishi kiuchumba (asilimia 6.1). Wakati idadi ya...
  15. D

    Niliagiza wine ya kupima lita tano toka Dodoma, Iliyoletwa nahisi ni gongo au konyagi iliyozimuliwa maana bongo feki kila kona

    Bongo kila kitu ni kuchakachua tu! Iwe maji ya kunywa feki kibao, iwe sigara feki, iwe makalio ya wanawake nayo feki mtupu, bikira nazo feki, unga feki, hata kwenye kandanda nako siku hizi michongo mtupu n.k Sasa sijui tukimbilie wapi, nimeagiza wine nikaambiwa ni alter wine! Aisee nimejaribu...
  16. system hacker

    Hili ndio eneo linalopigwa hela ndefu pale RITA

    1. Ku reprint vyeti. 2. Vyeti vilivyokosewa. Nadhani kila cheti kitachokosewa kina dau lake refu sana. Bila shaka lile dustbin la vyeti vilivyokosewa ukilitandika from Dar laweza kufika hadi Zimbabwe na kurudi. Huu mchongo ni wa miaka na miaka no more no less.
  17. aishapatel

    Rais Samia, tupia jicho RITA na huduma yao yae-huduma

    Ninaomba sana Mheshimiwa Rais na Serikali itupie jicho huduma zinazotolewa na RITA kwakweli wananchi tunazungushwa sana kupata huduma bila sababu za msingi. Kwa sasa wameanzisha huduma ya kusajili vizazi na vifo kutumia mtandao lakini ukisajili maombi kupitia mtandaona kwenda HQ kufuatilia...
  18. B

    RITA hutumia muda gani kujibu baada ya ku-apply

    RITA HUTUMIA MUDA GANI KUJIBU BAADA YA KUAPPLY VERIFICATION YA BIRTH CERTIFICATE?
  19. R

    Kuhakiki vyeti vya kuzaliwa RITA ili kupata mkopo

    Mwenye kujua nini kinafanyika anijuze please. How long dose it take to get feedback? If the delay is inordinate, what should I do?
  20. kevylameck

    Sensa, RITA na NIDA; ndugu wasiofanana

    Na Kevin Lameck. Hisia mseto zimekuwapo kuhusu Zoezi la Sensa ya watu na makazi litakalofanyika jumanne ya August 23/2022. Takribani mwezi mmoja baadae kutokea leo. Watanzania Wengine wanaona ni upotevu tu wa fedha, wengine wakiamini Sensa haina maana katika maendeleo ya kijamii. Baadhi ya...
Back
Top Bottom