Habari wana JF,
Naandika uzi huu ili kuelezea kero zangu na wengine wengi kuhusu RITA kama kuna wahusika humu walifanyie kazi.
Natoa kero hizi leo Tarehe 26-Julai-2022
1. Kero ya Kwanza: Namba ya Huduma kwa wateja ni BUTU.
Namba ya Huduma kwa wateja ya RITA haifanyi kazi, yaani ukipiga...
Nina mashaka makubwa sana na uwezo wa watendaji RITA hususani kitengo cha usajili wa vizazi na vifo!
Ukichunguza kwa makini vyeti 8 kati ya 10 vilivyotolewa na RITA lazima utakuta dosari au changamoto!
Miongoni mwa dosari hizo ni kama zifuatazo!
1. Mteja anaweza kuwa anaitwa ABDALLA lakini...
Kwanza kabisa ningependa kujua uwepo wenu humu kama mpo au hampo na kama mpo mje mtupe majibu kwanini huduma hii ni mbovu hivi?
Ubunifu huu nauunga mkono wa kuji-hudumia au kuomba vyeti Online ila shida inayowakumba waombaji ni kubwa mno kuliko raha wanayopata baadhi.
Mwaka huu ulivyo anza...
Prof. Kabudi alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya nne ya usajili wa matukio muhimu ya binadamu yaliyoandaliwa na RITA na kusema mfumo huo utasaidia kutoa nakala mtandaoni kabla ya nakala ya cheti cha ndoa kutolewa.
“Kabla mfumo huu haujaanza kufanya kazi, wadau...
Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi amesema viongozi wa dini ambao hawajasajiliwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) hawataruhusiwa kufungisha ndoa ya aina yoyote na endapo watafungisha ndoa bila ruhusa, ndoa hiyo itakuwa batili.
Wakuu neema ya bwana iwe juu yenu naombeni msaada juu la hili.
Nilikuwa nahakiki cheti cha kifo lakini katika harakati za kufungua account na kureigister waliniambia eti wananitumia TOKEN kwenye namba yangu lakini kwanzia saa nane mpaka sasa sijaona hiyo TOKEN tatizo linaweza likawa nini wakuu...
Hivi karibuni jirani yangu huku mkoani alipata msiba wa kufiwa na mke wake. Kifo kilitokea hospitali iliyoko Dar es Salaam. Kwa kuwa kifo kilitokea Dar shughuli zote inabidi zifanyikie katika za ofisi za RITA Wilaya kulikotokea kifo. Hii ndiyo sheria ya RITA.
Alimtumia wakili...
Wakala wa Usajili, Ufilisi, na Udhamini (RITA) umetoa vyeti vya talaka 221 katika Mkoa wa Dar es Salaam baada ya wanandoa kuamua kuachana.
Akizungumza katika maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, Wakili Mwandamizi wa Serikali wa RITA, Edna...
Salaam Wakuu,
Vyombo vya Serikali viache double standard.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania eti;
Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao?
Nilipokuwa ninamsaidia mdogo wangu kuomba mkopo wa elimu ya juu...
Wapendwa kama title inavyojieleza hapo juu. Nimekutana na changamoto ya kuthibitishiwa cheti cha kuzaliwa cha mdogo wangu. Hapo mwanzo majibu ya uhakiki yalichelewa.
Tuliwapigia bila mafanikio kwa muda mrefu. Tulikuja wapata kwa njia ya simu kuwaeleza kulikoni mbona majibu yamechelewa wakasema...
Habarini nduu zangu,
Kuna ndugu yangu nimemsaidia kufanya application ya loan board, kuna zoezi la kutuma taarifa ya cheti cha kuzaliwa RITA kwaajili ya verification, zilipita week 2 wakarudisha majibu kwenye system kuwa sijafanya attachment ya cheti usika, nimefanya attachement ya cheti tangu...
JAMANI WANAJAMII FORUM, MSAADA WENU NAOMBA NDUGU ZANGU,
NIMEFANYA UHAKIKI WA CHETI CHA KUZALIWA RITA LEO NI SIKU YA KUMI NA TATU SIJAPATA MAJIBU NA KWENYE SYSTEM YAO HAIONESHI IPTION YA KUVIEW STUTUS WALA NIKIFUNGUA INBOX HAIONESH CHOCHOTE... TATIZO NI NINI JAMANI
Taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa:
RITA Tanzania
Kwa mujibu wa sheria unaweza kupata cheti katika Wilaya uliyozaliwa au katika ofisi za Msajili Mkuu, Makao Makuu ya RITA katika jengo jipya la wakala la Rita Tower lililopo Mtaa wa Makunganya maeneo ya posta mpya mkabala na Club Bilcanas, Dar...
Habari wana jf,
Husika na kichwa cha uzi naomba kujua kama RITA wameshaanza uhakiki wa vyeti kwa njia ya mtandao kwa vijana wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?
Pia naomba kujua kama bodi ya mikopo,HESLB kama tayari wameshatoa vigezo vitakavyotumika mwaka huu?
Nawasilishà.
#jEshi.
I hope you are all fine,
Guys, nataka kuverify cheti changu cha kuzaliwa kupitia RITA hivyo naomba kujua mambo/vitu vifuatavyo:
1. Naweza kuwatumia cheti changu kupitia email? Na kama inawezekana, email yao ni ipi?
2. Namna ya kutuma na mfumo wa malipo pia
3. Baada ya kutuma ni muda gani...
Maskini vijana wa watu wakishinda bss tukiwaona mtaani bado hali zao za uchumi zimeyumba zinaanza stori kwamba wamefanyia hela umalaya, ulevi au starehe za kipuuzi, Kumbe hakuna kitu kama hicho, Vijana waambulia kupewa milioni 1 tu:eek::eek:
Jumanne Iddi, Walter Chilambo, Ramadhan, Kayumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.