Habari wana JF,
Naandika uzi huu ili kuelezea kero zangu na wengine wengi kuhusu RITA kama kuna wahusika humu walifanyie kazi.
Natoa kero hizi leo Tarehe 26-Julai-2022
1. Kero ya Kwanza: Namba ya Huduma kwa wateja ni BUTU.
Namba ya Huduma kwa wateja ya RITA haifanyi kazi, yaani ukipiga...