robo fainali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Timu bora huanza kujichuja kuanzia hatua ya Robo Fainali

    Huu ndio ukweli kwani humu katika makundi na kufuzu kuingia hatua ya makundi, huwa kuna timu dhaifu sana kutegemea na ligi yao na pia kwa kanuni za siku hiz,i wanaoshiriki sio wote ni mabingwa katika ligi zao bali ni utaratibu tu wa siku hizi unawabeba tofauti na zamani. Hivyo, kuanzia hatua ya...
  2. G

    Utabiri wangu wa robo fainali. Yanga vs Asec Mimosa, Simba vs Mamelodi, Yanga atatoboa huku Simba ataishia robo.

    Simba kitachomuuma ni kuishia robo huku Yanga ikitoboa mpaka nusu fainali. Simba italaumu sana uongozi
  3. S

    Utabiri wa Droo Robo Fainali: Yanga vs Mamelodi; Simba vs Al Ahyl

    Mimi ni shabiki wa Yanga na huu ndio utabiri wangu katika droo itayochezwa hivi karibuni katika kupanga mechi za Robo Fainali. Droo ikiwa hivi, basi si Simba wala Yanga ataefuzu. Hata hivyo, ataepangiwa mpinzani tofauto na hao niliowataja, atakuwa na nafasi ya kutinga nusu fainali hasa Yanga...
  4. Mjanja M1

    Ahmed Ally: Robo fainali wamefuzu washamba sembuse sisi

    "Tunawaahidi na kuwahakikishia Wanasimba kama kuna kitu kinahitajika hata kiwe kinapatikana chini ya bahari tutakifanya ili Simba iende robo fainali. Jumamosi ni kwenda kumalizia kazi."- Meneja wa habari na mawasiliano Simba Sc, Ahmed Ally. "Robo fainali wamefuzu watu washambawashamba sembuse...
  5. Mwande na Mndewa

    Yanga robo fainali klabu bingwa: Pacome Zouzoua mtambo wa kuzalisha mabao, hana baya

    Ushindi wa magoli 4-0 wa Yanga dhidi ya CR Belouizdad umechangiwa kwa ukubwa na Pacome Zouzoua aliyeonyesha performance nzuri sana yenye spirit ya hali ya juu sana katika siku yake ya "Pacome Day" ilikuwa ni shoo ya Pacome Zouzoua aliyeonyesha kiwango kikubwa kwenye mchezo huo akiwapa raha...
  6. M

    Simba Imeshafuzu tayari robo fainali

    Ni kwa sababu moja tu kuwa hata Jwangney galaxy akiifunga Simba haitakuwa na maana yoyote ile kwake. Mwenye nafasi ya kufuzu ni Simba au Wydad iwe kwa kushinda au kwa sare. Kwa maana hiyo basi na hasa ukizingatia waafrika tunavyopenda rushwa na hongo, NI DHAHIRI TAYARI MAKUBALIANO YA PANDE...
  7. Majok majok

    Kichaka cha waliokuwa wanajificha kufika robo fainali CAF CL kimefyekwa rasmi

    Niliwai kusema kwamba viongozi wa Simba na wanachama wao walikuwa wamebaki kutambia mafanikio ya mechi za kimataifa misimu 4 iliyopita huku wakiibeza yanga ambayo ilikuwa inajitafuta! Nilisema yanga ataanza kutawala ndani na kitachofata ni kutawala nje na ndicho kinachotokea kwa sasa! Simba...
  8. SALOK

    Kwetu Yanga 'head to head' ni akiba tu, tunaenda robo fainali tukiwa vinara wa kundi

    Naam, hakuchi, hakuchi kumekucha.. Siku nyingine tena tumeamka tukiwa na furaha, baada ya mbugi kali baina yetu sisi mabingwa wa kutandaza soka la kisasa na la viwango hapa TZ na waarabu wa Aljeria kisha kuibuka na ushindi mnono uliotuhakikishia kuingia robo fainali ya kombe la klabu bingwa...
  9. Zanzibar-ASP

    Yanga japokuwa wameshinda na kufuzu robo fainali, lakini kiwango bado kipo chini

    Yanga wamefanikiwa kuweka historia mpya katika klabu yao kwa kutinga robo fainali ya klabu bingwa ya afrika, lakini kiuhalisia kiufundi kiwango bado kipo chini kidogo ikiwa wanataka kusonga mbele zaidi na hapa nitaonyesha dosari kadhaa kwa kutumia mechi ya jana. 1. Kuchelewa kuimaliza mechi...
  10. uran

    FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

    Match Day Simba SC Vs Jamhuri SC Mapinduzi Cup New Amaan Complex Robo Fainali 08.01.2024 Mchuano huu ni kwa ajili ya mchezo wa soka uliosubiriwa kwa hamu huku robo fainali ya nne ikiendelea leo saa 2:15 Usiku kwa kuwakutanisha Simba SC dhidi ya Jamhuri FC katika Uwanja wa Amaan. Mchezo...
  11. SAYVILLE

    Yanga ikiingia robo fainali inaweza kuipaisha Simba katika rank za CAF na FIFA

    Huu unaweza kuwa uzi wangu wa mwisho kwa mwaka 2023 na nataka nimalize mwaka kwa ujumbe chanya. Wenye akili zao watausoma na yale watakayoona ni mazuri wataenda kuyafanyia kazi. Yanga na Simba bado wako kwenye mbio za kufuzu kwenda katika robo fainali ya klabu bingwa ya Afrika. Yanga hajacheza...
  12. Petro E. Mselewa

    Klabu Bingwa Barani Afrika: ASEC Mimosas yatangulia robo fainali

    Kufuatia ushindi wao wa 3-0 dhidi ya Galaxy hivi punde na kimahesabu, ASEC Mimosas wametinga hatua ya robo fainali ya Klabu Bingwa barani Afrika. Hadi sasa, ASEC wamefikisha alama 10 huku ikibaki michezo miwili. Simba wana alama 5, Galaxy alama 4 na Wydad alama 3. Kimahesabu, Simba au Galaxy...
  13. Chizi Maarifa

    Simba na ndoto zao za Robo Fainali Mwisho leo. SImba akishinda leo ole wangu, niadhibiwe vibaya sana

    Yaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo...
  14. S

    Simba wanajaribu kulazimisha tuamini kisaikojia kuwa Yanga hana nafas, ila wanasahau wao walifungwa mechi mbili na bado wakafika robo fainali

    Hawa jamaa ni akili mgando kabisa. Kama sikoseI, wao kwenye kundi lao walipoteza mechi mbili za ugenini na bado wakafika robo, halafu wanaibeza Yanga ambayo mpaka sasa imepoteza mechi moja tu ya ugenini. Ukweli huu wanaujua vizuri, wanachokifanya ni kujaribu kucheza na saikolojia yetu wakati huo...
  15. S

    Yanga atafika hatua ya robo fainali tena kwa kujihakikishia nafasi mapema kabisa

    Kwa kikosi walichonacho na uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja bila kusahau wanavyoendelea kurekebisha makosa yao, naiona Yanga hii ikitinga hatua ya robo fainali mapema tu. Hata msimamo katika kundi lao, bado unatoa nafasi kwa kila timu kusonga mbele huku nikiamini Yanga yuko katika nafasi...
  16. M

    Ili Kutinga Robo Fainali CCL Simba Inalazimika kumvua Ubingwa Wydad Casablanca!

    Huu ni ukweli Mchungu! Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi zitakazoamua Ima Simba aende Robo Fainali au Wydad ajenge matumaininya kuingia Robo Fainali na kuendelea...
  17. M

    Ili Kutinga Robo Fainali CCL Simba Inalazimikmkumbua Ubingwa Wydad Casablanca!

    Huu ni ukweli Mchungu! Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi zitakazoamua Ima Simba aende Robo Fainali au Wydad ajenge matumaininya kuingia Robo Fainali na kuendelea...
  18. Lupweko

    Djibril Sylla: Kutinga hatua ya robo fainali mara kwa mara kumeifanya Simba kuwa klabu maarufu Afrika

    Wakati wengine wakibeza kitendo cha Simba cha miaka kama mitano ya hivi karibuni kuishia hatua ya robo fainal ya michuano mbalimbali ya Afrika maarufu kama 'mwakarobo' (CL x3, CC x1 na AFL x1), kumbe jambo hilo kwa wachezaji wenyewe wa nchi mbalimbali za Afrika (sio washabiki wa Bongo)...
  19. Gordian Anduru

    Je wajua? Simba imecheza CAF Confederation Cup mara 6 wakaambulia Robo Fainali moja!

    Kumbe wanalibeza buuuree, jionee mwenyewe! Source: Wikipedia
  20. John Gregory

    Robertinho aondoke Simba timu ivunjwe. Haiwezekani tunaishia Robo Fainali kila mara

    Haiwezekani kila mara tunaposhiriki michuano yoyote huwa tunaishia robo fainali, Yaani sisi tumekuwa wasindikizaji na wala hatuna taji lolote huku tukiishia kutiana moyo kuishia robo fainali. Ifike mahala hatua zichukuliwe, Ukubwa wetu umebakia midomoni huku tukichekwa kwa mpira 0...
Back
Top Bottom