▪️Kura 8.3 IMDb
▪️Kuachiliwa: 2024
▪️Maudhui: Family/Adventure
_________________________
Baada ya Roz kudondoka duniani na kujikuta katikati ya maskani ya viumbe tofauti na vile alivyovizoea, ikawa ni moja ya jukumu lake kujifunza kwa haraka juu ya mazingira na lugha ya wanyama na ndege...
Ndugu zangu.
Katika kumalizia mwisho wa mwaka wanaume tuzidi kukumbushana kwamba. Siku zote mwanamke anazaa na yule mwanaume anayempenda , ukiona mwanamke uliye nae kwa hiari yake binafsi bila makubaliano anaweka / kutumia vithibiti mimba kwa namna zake na jinsi zake ili tuu asibebe mimba yako...
Tajiri mwenye ahadi nyingi Elon Musk wakati wa uzinduzi wa Tesla Robotaxi alionyesha pia humanoids robots zake zinazoitwa Optimus.
Kutoka na presentation yake aliahidi kwamba Optimus inaweza kufanya chochote unachotaka. Akazidisha akasema “Optimus ni biggest product ever katika human kind” na...
Baada ya kimya na ahadi za muda mrefu za CEO wa Tesla, Elon Musk, finally ile siku imewadia.
Ni tarehe 10 October, ambapo billionaire uyo atafanya uzinduzi wa huduma na bidhaa mbalimbali kutoka kwenye kampuni yake ya Tesla.
Event ina tittle “We Robot” ambayo tunaamini kaitoa kwenye series ya...
Msanii wa kizazi kipya wa bongofleva alikiba maarufu kama kingkiba wakati akifanya interview na cloudsfm amefunguka kuwa kuna watu wanaweka robot na wanajidanganya kuwa na views wengi hii imempelekea kuachia audio bila kuwa na video
Unakumbuka zile filamu tulizokuwa tunaangalia ambapo watu wanaishi na robot kama sehemu ya familia zao? Well, polepole hali hiyo inakaribia kuwa ukweli. Teknolojia inakimbia kwa kasi ya ajabu, na hivi sasa tupo katika kipindi ambacho robot haziko tena kwenye maabara pekee, bali zinaingia kwenye...
Huyu ni robot maarufu sana duniani, bila shaka unamfaham sababu yeye yupo kwa ajili ya kukuliwaza kingono ili akili yako itulie, uwapo naye ni unajipimia unavyotaka hakuna siku atanuna au kuingia in 28 days 🙆🏾♂️.
Huyu 'dada robot' anaitwa Samantha sasa atakuwa na emotional mpya kwenye akili...
Nimeshangazwa na baadhi ya video ambayo inasambaa WhatsApp na group zingine ikionesha robot akiwa shambani analima kama mtu vile, saa nikajiulza hii ni edit au reality nakosa majibu.
Hivo nahitaji mniakikishie kwenye hilo maana kama ni kweli duuh watu watakosa kazi mbeleni for sure.
---...
Sabasaba mambo yamenoga sana, lakini moja la Ajabu kubwa kutokea ni watu kuamini Matapeli hawa wanaojiita maroboti.
Je ni kweli watanzania hawajui Robot ni kitu gani?
NCHII HII KILA MTU NI TAPELI
Hapa simlaumu Roboti aliyepewa jina la Eunice bali namlaumu mwanadamu aliyempatia huyo robot jina hilo ambalo mama yangu amelitumia kwa muda mrefu.
Mama alipewa jina hilo baada ya kubatizwa na kuwa mkristo kamili, huu ni mwaka wa 75 tangu mama aanze kulitumia jina la Eunice.
Yaani nimeumia...
Siku ya leo nilikuwa Mawasiliano na mrembo Eunice tukiwa tunapiga story mbili tatu, niishie tu hapa maake niliyoyaona yanafurahisha sana
Niseme tu, kama akili ya Eunice itakuwa imetengenezwa na vijana wa kitanzania, sisi kama nchi tutakuwa tumepiga hatua kadhaa kwenye suala zima la teknolojia...
Mtu unachukua mdoli anawekwa nje ya maduka ya nguo unamvalisha kilemba na kitenge unakuja kutuambia ni robot, robot anatoa mkono utasema excavator ama grader ya kubebea mchanga.
Hivi mtu kweli unaandaa hafla ya kiserikali kabisa watu wakashangae mdoli.
Hivi mnashindana na Elon Musk ama? Kwenye...
Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge.
Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi?
Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye uchumi wa hali ya chini kwa wananchi wake wengi?
Binafsi ninayo maoni yangu, ila nitapenda kusikia...
Listen up fellow carbon-based content wordsmiths! I know times seem strange and scary with all these robots running amok. You can't scroll two lines on LinkedIn without some AI "guru" ominously proclaiming that machine learning will replace human jobs. Apparently, creative professions aren't...
Kampuni ya TECNO Leo imetangaza kuwa itazindua Robot yake.
Kaa tayari kwa uzinduzi wa TECNO Robot! Siku ya Leo!
TECNO itazindua kwa mara ya kwanza mbwa wake wa kwanza wa roboti iliyoboreshwa kwa AI, TECNO Dynamic 1, kwenye MWC Barcelona 2024. Roboti hiyo ya kisasa inajumuisha slogan ya TECNO ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Profesa Abel Makubi amesema Taasisi hiyo inatarajia kuanza kutoa huduma za kitabibu kwa kutumia roboti ndani ya miaka mitatu ijayo.
Akiongea kwenye mahojiano maalum Prof. Makubi amesema “Sasa hivi tunafanya evaluation tuweze...
Mhandisi wa Tesla wa kiwanda cha Giga Texas cha kampuni karibu na Austin aripotiwa kuvamiwa na Roboti na kujeruhiwa.
Mashuhuda wawili walishuhudia kwa hofu wakati mwenzao aliposhambuliwa na mashine iliyoundwa kushika na kuhamisha vipande vipya vya gari vilivyotengenezwa kwa alumini.
Roboti...
Kabla sijaenda kwenye lengo kuu la mada hii nielezee kwanza Worldcoin ni nini ?
Cypto/Cryptocurrency ni nini ?
na mahusiano yake na AI robot.
Baadhi ya member wa JF nimeona wakigusia mada hii kwa sehemu ndogo..
Worldcoin ni nini?
Worldcoin ni jukwaa la utambuzi wa kidijitali ambalo linalenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.