roho

Rohō Yukio (born March 9, 1980 as Soslan Feliksovich Boradzov, Russian: Сослан Феликсович Борадзов, in Vladikavkaz, Republic of North Ossetia–Alania in the Russian Federation) is a former sumo wrestler. The highest rank he achieved was komusubi. His younger brother is also a former sumo wrestler, under the name of Hakurozan. In September 2008 both were banned from the sport for life after testing positive for cannabis.

View More On Wikipedia.org
  1. Ushauri: Roho inaniuma, nimezaa na mwanamke nisiyempenda. Bado anataka kuishi na mimi

    Habari wadau! Katika mihangaiko ya hapa na pale kuna binti nilimkuta mahali, kifupi nikamtamani na nikataka nipite tu. Baada ya mbinu za hapa na pale, alinipa namba na tukajikuta penzini, baada ya mawasiliano ya kama wiki, nilimwambia aje home.. nilitaka kula mzigo akabana na mimi kulazimisha...
  2. M

    Mwanamke wangu niliyezaa naye tumezinguana. Roho inaniuma naombeni ushauri wenu

    Member wote wa JF kwangu ni kama sehemu ya familia. Humu unaweza kupata ushauri mzuri sana ambao unaweza kubadirisha maisha yako ina a positive way. Ndugu zangu kwa huo utangulizi naombeni ushauri wenu kuhusu haya mahusiano yangu. Siku ya Xmass nilileta uzi humu kuhusu wife kunikamata red...
  3. Wanawake mnao jiuza, mnaroho ngumu sana

    wadau, habari zenu, Dada zangu mnao uza papuchi, hivi mmekataa kabisa kufikilia aina nyingine ya biashara, mkachagua kujiuza? Siku zote yule muuzaji ndio mbaya sana, wateja watajuaje aina ya bidhaa, kama haijatangazwa" niwafumbe midomo manake mngekuja kusema vipi kuhusu wanunuzi! wengi wenu...
  4. Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

    Kuna mambo ya kushangaza ambayo kwasababu ileile ya kimapokeo na mazoea huwa hatuyahoji au hatuna muda wa kufuatilia na pengine tunaridhika tu na hivyo yalivyo. Nywele hizi zetu za kichwani zinabeba siri kubwa ambayo ina mawasiliano ya moja kwa moja na kuzimu au na roho zinazotangatanga. Hebu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…