roi paul chitanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Roi Chitanda arudi tena kugombea Udiwani Kata ya Boma kupitia CCM

    Mnamo tarehe 29 Juni 2025, Roi Paul Chitanda, anayetambulika pia kama Mgalatia wa Kipindimbi, alichukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Udiwani wa Kata ya Boma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Chitanda aliwahi kuwania nafasi hiyo na...
Back
Top Bottom