Mnamo tarehe 29 Juni 2025, Roi Paul Chitanda, anayetambulika pia kama Mgalatia wa Kipindimbi, alichukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Udiwani wa Kata ya Boma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Chitanda aliwahi kuwania nafasi hiyo na...