ronaldo kustafu soka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kisa kususa, Ronaldo asimamishwa kuichezea Ureno, afunguliwa Mashtaka ya Nidhamu

    Ureno Yamsimamisha Cristiano Ronaldo kwa Muda, Yamfungulia Mashtaka ya Nidhamu Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Ureno (FPF) limethibitisha kufungua shauri la nidhamu dhidi ya nahodha wao, Cristiano Ronaldo, kufuatia kitendo chake cha kuondoka kwenye kambi ya timu hiyo ya taifa. Kutokana na...
  2. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo kustaafu soka la kimataifa baada ya Kombe la Dunia 2026

    Dada yake Cristiano Ronaldo, Katia Aveiro, amesema kuwa nahodha huyo wa Ureno anakaribia kuaga rasmi timu ya taifa baada ya Kombe la Dunia 2026. Akizungumza na Sport TV, Katia amesema: “Kwa taarifa nilizonazo, huu utakuwa mwisho wake. Furahieni kumtazama akiwa bado uwanjani. Sio kwamba ataaga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…