Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ureno Yamsimamisha Cristiano Ronaldo kwa Muda, Yamfungulia Mashtaka ya Nidhamu
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Ureno (FPF) limethibitisha kufungua shauri la nidhamu dhidi ya nahodha wao, Cristiano Ronaldo, kufuatia kitendo chake cha kuondoka kwenye kambi ya timu hiyo ya taifa.
Kutokana na hatua hiyo, Ronaldo amesimamishwa kuichezea timu hiyo kwa muda (provisional suspension), huku akisubiri maamuzi na hukumu ya mwisho ya shauri hilo.
Soma pia: Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno
Ronaldo mwenyewe alipendekeza apewe adhabu kupitia taarifa aliyoitoa kwa umma, ambapo pia aliomba msamaha kwa kitendo chake cha kuondoka kambini.
Taarifa Rasmi kutoka Shirikisho la Ureno (FPF)
"Kuanzishwa kwa shauri la nidhamu dhidi ya Cristiano Ronaldo, kwa uamuzi wa Kitengo Kisicho cha Kitallamu cha tarehe 9 Oktoba 2026, lengo likiwa ni kuchunguza msingi wowote wa kinidhamu kutokana na matukio yaliyoripotiwa mnamo Oktoba 7."
====
Portugal Federation confirm they have opened a disciplinary proceeding with Cristiano Ronaldo — after he left the camp.
Cristiano Ronaldo has been “provisionally suspended”, now waiting for the final verdict and decisions about the case.
It was Cristiano himself to suggest a punishment in a public statement after he apologised for leaving Portugal’s camp.
The official statement from the Portuguese Federation ⤵️
“The initiation of disciplinary proceedings against Cristiano Ronaldo, by deliberation of the Non-Professional Section, of October 9, 2026, with the purpose of the investigation of any disciplinary relevance of the facts participated on October 7”.
“Without prejudice to the automatic preventive suspension to which he was subject until the date of establishment, the non-automatic preventive suspension of the player was determined and the urgent nature was attributed to the process”.