Kisa kususa, Ronaldo asimamishwa kuichezea Ureno, afunguliwa Mashtaka ya Nidhamu

Kisa kususa, Ronaldo asimamishwa kuichezea Ureno, afunguliwa Mashtaka ya Nidhamu

Sijajua kwanini hii iwe habari kubwa wakati kwenye press release ya Ronaldo aliyoitoa juzi, ni yeye ndiye aliyeomba kupewa adhabu.

Yeye ndiye aliyesema anastahili kuadhibiwa na hapaswi kuachwa kwasababu tu yeye ni GOAT bali anatakiwa sheria ifuate mkondo wake bila kuangalia ukubwa wake.

Hii ni tofauti sana na ile adhabu aliyopewa Messi baada ya tukio hili.
View attachment 3687977
Hii inafikirisha itoshe kusema mpira una siasa
 
Goti wake mwafudenge.

Mwenyewe umwambii kitu kuhusu penaldo.

Anaenda mbali zaidi mpaka kuamini kwamba Penaldo ni GOAT!

GOAT anayebagazwa na nchi yake.

Wakati GOAT wa ukweli akistaafu kwa heshima na kuliliwa na wanaopenda na kulijua soka duniani goti wa kuchovya anabagazwa kila leo.

Ngoja tuone huyu goti wa kuvundika itakuwaje mwisho wake.

Scars
Alipaswa ajue muda gani wa kuacha jukwaa. Haya yote yasingemkuta. Alishapaswa awe amestaafu matokeo yake anaishia kudharauliwa na watoto wadogo.
 
Mourinho alisema "I choose to remain silent cause if I speak I'll be in big trouble"
FB_IMG_1791706015161.jpg
 
Portugal walijua mapema kwamba uwezo wa Ronaldo umepungua na hawezi ku cover eneo kubwa la uwanja kama alivyokuwa akifanya kwenye prime yake.

Ila walifikiria eneo la biashara ambalo wangeweza kuathirika moja kwa moja.

Kwa mfano Puma waliingia mkataba na shirikisho la soka la Portugal (FPF) ambapo kwenye masharti walisema endapo Ronaldo ataondoka itabaki tufanye marekebisho ambayo yataenda kupunguza pesa watayolipwa.

Na mikataba mingine yote ilikuwa inabebwa na jina la Ronaldo, hivyo maamuzi ya kumbakisha Ronaldo yalikuwa kimaslahi zaidi kuliko mbinu za uwanjani.

Na ndio maana kocha alimwambia atakuwa anamchezesha dakika 30 na yeye alikubali kwasababu ya kuifanya nchi yake isikose mapato.
Basi sawa, na yuko sahihi kwa hilo.
 
Kwa hiyo kwa sababu ya kupata pesa FPF itamlazimisha Ronaldo acheze hata akiwa na 70 years!!!!😃🙃🙃🙃
 
Ureno Yamsimamisha Cristiano Ronaldo kwa Muda, Yamfungulia Mashtaka ya Nidhamu

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Ureno (FPF) limethibitisha kufungua shauri la nidhamu dhidi ya nahodha wao, Cristiano Ronaldo, kufuatia kitendo chake cha kuondoka kwenye kambi ya timu hiyo ya taifa.

Kutokana na hatua hiyo, Ronaldo amesimamishwa kuichezea timu hiyo kwa muda (provisional suspension), huku akisubiri maamuzi na hukumu ya mwisho ya shauri hilo.

Soma pia: Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

Ronaldo mwenyewe alipendekeza apewe adhabu kupitia taarifa aliyoitoa kwa umma, ambapo pia aliomba msamaha kwa kitendo chake cha kuondoka kambini.

Taarifa Rasmi kutoka Shirikisho la Ureno (FPF)

"Kuanzishwa kwa shauri la nidhamu dhidi ya Cristiano Ronaldo, kwa uamuzi wa Kitengo Kisicho cha Kitallamu cha tarehe 9 Oktoba 2026, lengo likiwa ni kuchunguza msingi wowote wa kinidhamu kutokana na matukio yaliyoripotiwa mnamo Oktoba 7."

====

Portugal Federation confirm they have opened a disciplinary proceeding with Cristiano Ronaldo — after he left the camp.

Cristiano Ronaldo has been “provisionally suspended”, now waiting for the final verdict and decisions about the case.

It was Cristiano himself to suggest a punishment in a public statement after he apologised for leaving Portugal’s camp.

The official statement from the Portuguese Federation ⤵️

“The initiation of disciplinary proceedings against Cristiano Ronaldo, by deliberation of the Non-Professional Section, of October 9, 2026, with the purpose of the investigation of any disciplinary relevance of the facts participated on October 7”.

“Without prejudice to the automatic preventive suspension to which he was subject until the date of establishment, the non-automatic preventive suspension of the player was determined and the urgent nature was attributed to the process”.
Hahaha
 
Back
Top Bottom