Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,711
- 19,296
Hadi aje ajinyee uwanjani ndiyo astaafu mitano Tena kwa Cr7
Aisee... kumbe kila mtu anauona huu ukweli kasoro yeye mwenyewe!Ila huyu Cr7 kwanini asi staafu tu, aliyoyafanya kwa nchi yake, raia wameona na Dunia nzima imeshuhudia.
Akubali kuwa Zama zake zimekwisha, kwanini anataka kumaliza career yake kwa aibu na fedheha tofauti na ilivyotarajiwa? Hana washauri?
Aridhike na kile alichokifanya na kukipata, WC haikua bahati yake, akubali hilo, maana hawezi kuchukua kivyovyote vile. Aachane na Soka la nchi, apiganie kwenye Vilabu akusanye maokoto ya kushato basi.
Aneemeke na ukwasi hadi kufa kwake.
Duuh.
Nadhani hana washauri wazuri au Bora.Aisee... kumbe kila mtu anauona huu ukweli kasoro yeye mwenyewe!
GOTI bado anapambana,ila GOAT yeye kaamua awape nafasi vijana.Ureno Yamsimamisha Cristiano Ronaldo kwa Muda, Yamfungulia Mashtaka ya Nidhamu
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Ureno (FPF) limethibitisha kufungua shauri la nidhamu dhidi ya nahodha wao, Cristiano Ronaldo, kufuatia kitendo chake cha kuondoka kwenye kambi ya timu hiyo ya taifa.
Kutokana na hatua hiyo, Ronaldo amesimamishwa kuichezea timu hiyo kwa muda (provisional suspension), huku akisubiri maamuzi na hukumu ya mwisho ya shauri hilo.
Soma pia: Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno
Ronaldo mwenyewe alipendekeza apewe adhabu kupitia taarifa aliyoitoa kwa umma, ambapo pia aliomba msamaha kwa kitendo chake cha kuondoka kambini.
Taarifa Rasmi kutoka Shirikisho la Ureno (FPF)
"Kuanzishwa kwa shauri la nidhamu dhidi ya Cristiano Ronaldo, kwa uamuzi wa Kitengo Kisicho cha Kitallamu cha tarehe 9 Oktoba 2026, lengo likiwa ni kuchunguza msingi wowote wa kinidhamu kutokana na matukio yaliyoripotiwa mnamo Oktoba 7."
====
Portugal Federation confirm they have opened a disciplinary proceeding with Cristiano Ronaldo — after he left the camp.
Cristiano Ronaldo has been “provisionally suspended”, now waiting for the final verdict and decisions about the case.
It was Cristiano himself to suggest a punishment in a public statement after he apologised for leaving Portugal’s camp.
The official statement from the Portuguese Federation ⤵️
“The initiation of disciplinary proceedings against Cristiano Ronaldo, by deliberation of the Non-Professional Section, of October 9, 2026, with the purpose of the investigation of any disciplinary relevance of the facts participated on October 7”.
“Without prejudice to the automatic preventive suspension to which he was subject until the date of establishment, the non-automatic preventive suspension of the player was determined and the urgent nature was attributed to the process”.
41 years hataki kukubali his time is up!.Nadhani hana washauri wazuri au Bora.
Ilivyomalizika WC, ilitakiwa atangaze rasmi kustaafu. Sio hii dharau na kejeli anayoipata ambayo ina epukika kabisa.
Nitakuelezea vizuri sana kwanini Ronaldo hajastaafu.Ila huyu Cr7 kwanini asi staafu tu, aliyoyafanya kwa nchi yake, raia wameona na Dunia nzima imeshuhudia.
Akubali kuwa Zama zake zimekwisha, kwanini anataka kumaliza career yake kwa aibu na fedheha tofauti na ilivyotarajiwa? Hana washauri?
Aridhike na kile alichokifanya na kukipata, WC haikua bahati yake, akubali hilo, maana hawezi kuchukua kivyovyote vile. Aachane na Soka la nchi, apiganie kwenye Vilabu akusanye maokoto ya kushato basi.
Aneemeke na ukwasi hadi kufa kwake.
Duuh.
Oooh basi sawaa!!Nitakuelezea vizuri sana kwanini Ronaldo hajastaafu.
Kwanza ifahamike kwamba baada ya kuondolewa kwenye kombe la dunia, Ronaldo alikuwa na mpango wa kustaafu National Team.
Aliulizwa na waandishi wa habari akasema "hiyo ni michuano yangu ya mwisho kwenye kombe lake la dunia. Kuhusu kustaafu National Team bado nafikiria na sitaki niharakishe kuyafikia maamuzi hayo"
Hayo yalikuwa ni maneno aliyoyasema miezi mitatu iliyopita. Na baada ya hapo rumors za jamaa kustaafu zikaanza kusambaa.
Dada yake na Cristiano Ronaldo aitwaye Katia Aviero aliwahi kuhojiwa akasema kaka yake anatarajia kustaafu siku za usoni.
Baada ya hizi rumors kuenea ndipo sasa raisi wa shirikisho la soka la Ureno pamoja na kocha mpya Jeorge Jesus walimuita Ronaldo na kufanya mazungumzo kumshauri asistaafu.
Na hadi kupitia statement aliyotoa juzi Ronaldo katika ukurasa wake wa Instagram alisema baada ya kombe la dunia aliandaa barua rasmi ya kuwaaga na kuomba kustaafu.
Mpaka hapa nadhani ushaelewa kwanini hajastaafu.
Kilichobaki ni kwamba media zimechochea sana hili jambo kufanya ionekane Ronaldo ndio king'ang'anizi asiyekubali kustaafu.
Bahati mbaya na watu wengi wanajaa huu upepo kwasababu wanaziamini hizo media na wengine ni kwasababu ya uvivu wa kufikiri.
Huyo aliye nitag kaelewaSasa umessi umeingiaje hapa
Kila la kheri kwake.41 years hataki kukubali his time is up!.
Now atavuna dharau tu.
Portugal walijua mapema kwamba uwezo wa Ronaldo umepungua na hawezi ku cover eneo kubwa la uwanja kama alivyokuwa akifanya kwenye prime yake.Oooh basi sawaa!!
Penaldo muone huyu jamaa na umlipe walau chochote kitu.Portugal walijua mapema kwamba uwezo wa Ronaldo umepungua na hawezi ku cover eneo kubwa la uwanja kama alivyokuwa akifanya kwenye prime yake.
Ila walifikiria eneo la biashara ambalo wangeweza kuathirika moja kwa moja.
Kwa mfano Puma waliingia mkataba na shirikisho la soka la Portugal (FPF) ambapo kwenye masharti walisema endapo Ronaldo ataondoka itabaki tufanye marekebisho ambayo yataenda kupunguza pesa watayolipwa.
Na mikataba mingine yote ilikuwa inabebwa na jina la Ronaldo, hivyo maamuzi ya kumbakisha Ronaldo yalikuwa kimaslahi zaidi kuliko mbinu za uwanjani.
Na ndio maana kocha alimwambia atakuwa anamchezesha dakika 30 na yeye alikubali kwasababu ya kuifanya nchi yake isikose mapato.
Tukiangalia stats za UEFA kujua nani aliyepiga penati nyingi, Messi ndio kinara.Penaldo muone huyu jamaa na umlipe walau chochote kitu.
Anakupambania mno.
Yupo tayari hata kukataa au kupindisha ukweli ilimradi akutetee goti wake.
Muone kijana wako.
Madrid na Villarreal ngapi ngapi uko? Au umekimbia.Tukiangalia stats za UEFA kujua nani aliyepiga penati nyingi, Messi ndio kinara.
Tukija Laliga, Messi bado kinara kwa kupiga penati nyingi.
World Cup: hapa ana rekodi mbili, moja anayeshikilia ni kupiga penalti nyingi kwenye single tournament akiwa na penati 4.
Ya pili ni kuongoza kuwa na idadi kubwa ya kupewa penati kuliko mchezaji mwingine yeyote tangu kuanza kwa kombe la dunia.
Lakini watu bado wanamuita Ronaldo Penaldo
Madrid anaongoza bao 1 na bao la pili Vini kafunga lakini vijana wa baba yake Messi wamelikataa na kumpa kadi nyekundu kisa kushika nywele.Madrid na Villarreal ngapi ngapi uko? Au umekimbia.
Daah sema wazee wa Negreira mpo unga sana misimu hii miwili mitatu.Madrid anaongoza bao 1 na bao la pili Vini kafunga lakini vijana wa baba yake Messi wamelikataa na kumpa kadi nyekundu kisa kushika nywele.
Negreira will kill us
Daah sema wazee wa Negreira mpo unga sana misimu hii miwili mitatu.