Rushwa imekuwa kama ugonjwa katika taasisi nyingi za serikali, ambapo kila kitu kinaonekana kuendeshwa kwa mlungula. Bila bahasha, huwezi kupata huduma kwa wakati, na bila "connections," mambo yako yatakwama hadi uchoke, utazungushwa mpaka uchakae. Hakuna anaejali umetoka wapi unapigwa tu...
Wakuu,
Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2 kama nchi ambayo ina rushwa kidogo zaidi katika ukanda huu.
Source: Buzzroom Kenya, Transparency International
Katika kipindi hiki cha wasiwasi na maswali, wananchi wa Moshi Manispaa, Mkoani Kilimanjaro wanashangazwa na kimya cha Kamanda wa TAKUKURU, aliyeshindwa kutoa maelezo kuhusu tuhuma za malipo ya elimu ya msingi na risiti zimeambatishwa.
Katika bandiko langu lililochapishwa katika JF, nilieleza...
Niseme tu kilichopo kuna mradi wa barabara unafanyika huku sisi vijana wa hapa ndio tuliwapokea wachina wakatuajiri kama vibarua, tunalipwa 5000 kwa masaa 10 tumejenga kempu imeisha.
Sasa kinachokasirisha watu wametufukuzwa wakawaita wakenya ndio wakaajiriwa rasmi, hata baadhi yetu waliopo...
Kwa Mujibu wa Utafiti wa “National Governance And Corruption Survey 2020” Jeshi la Polisi ni Taasisi Kinara kwa Rushwa nchini Tanzania kwa tasisi za Umma ikiwa na Alama 45.6%.
Huu ni Utafiti uliofanywa kwa kuhoji Wananchi Maeneo Mbalimbali nchini. Wahojiwa walitoa maoni na kuonyesha kuwa Jeshi...
Tubadili mfumo wa kupambana na rushwa.
Katika jamii yetu, taasisi iliyokubwa kuliko taasisi zote ni taasisi ya rushwa.
Hata mtoto mdogo wa miaka 7 au nane anaweza kikuhadithia kwamba mzazi alipata tatizo hili au lile kwa sababu hakuwa na hela ya kuhonga asaidiwe hawezi kutatuliwa tatizo hili au...
Kama kichwa cha habari kinavyosema.
Mimi binafsi nipo tayari kumwaga damu yangu Kwa ajili ya hili taifa, najua ipo siku nitakufa kwanini niogope kifo wakati huyo atakayenishoot na yeye ipo siku atakufa pia?
Tunaona serikali inatuibia, tuzinduke usingizini tunaibiwa na wakufanya hii hali ipotee...
Kigogo huyo alikuwa anashitakiwa Kwa kosa la kuwa na Mali ambazo Hazina maelezo karibia Bilioni 4.
Mahakama Kuu imemuachia huru lakini akatiwa mbaroni tena Kwa DPP kukata Rufaa.
My Take
Mwenye pesa hajawahi fungwa hapa Tanzania labda Gen-Z waje wajitoe ufahamu ndio heshima itakuja.
====...
Mabadiriko yanatakiwa kufanyika katika utendaji wa Takukuru na CAG ili kuzuia ubadhirifu na ufisadi katika miradi na fedha za uma zinazotolewa na serikali. Kama sheria ya 2007 inayoipa takukuru mamlaka ya kuzuia rushwa, ufisadi, ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha ya serikali.
Awali ni...
Suala la rushwa na kudhibiti kwake bado kuna ugumu na changamoto kubwa licha ya jitihada zinazofanywa na taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa hapa nchini. Suala la rushwa ni moja ya kikwazo ambacho kinakawamisha maendeleo katika jamii yeyote hile kwani inazuia haki ya watu wengine. kuna mambo...
Baada ya Mdau wa JamiiForums kudai baadhi ya Maafisa wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) wamekuwa sio waaminifu wanapokwenda kufanya ukaguzi katika baadhi ya maduka ya Dawa (Pharmacy) ikiwemo kutengeneza mazingira ya Rushwa, kuchukua Dawa na kutoziwasilisha kwenye ofisi za TMDA, ufafanuzi...
Wenzetu US hawana uninga na rushwa. Rushwa zimetolewa sehemu nyingine kabisa lakini kampuni ambayo hata sio ya US kwa kufanya kazi US wanaweza kupigwa fine $220M na kukiri makosa yao sisi tunalea wala rushwa wetu mpaka leo nani kafugwa!
===
Kampuni ya programu ya Kijerumani, SAP, inachunguzwa...
Wakuu,
Wengi wamekuwa wakilalamika kuombwa rushwa ili waweze kupata huduma nzuri sehemu mbalimbali wanazokuwa wanajitaji huduma fulani, na ikitokea hujatoa basiutazungushwa sana mpaka mwenyewe uingie mfukoni kupaka mafuta vyuma ili mambo yaende. Baadhi wanasema kama hujawahi kuombwa rushwa...
Rushwa! Ni msamiati unaofahamika sana Tanzania. Si matajiri wala maskini, wote wameathiriwa na Rushwa, kama wahanga au wanufaika.
Rushwa! Rushwa Tanzania! Kila Kona ni rushwa. Huenda hata kwenye dini nako kuna rushwa!
Inashangaza na kusukitisha! Hata watoto wanajua rushwa.
Kwa nini rushwa...
Lington Mbuzi, anakabiliwa na tuhuma za Ufujaji na Ubadhirifu wa Tsh. 13,913,488/= mali ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe zilizofika kwenye himaya yake akiwa Mtumishi wa Umma.
Imeelezwa kuwa, kati ya Mei 5 2017 na Oktoba 10, 2019, Mtuhumiwa akiwa Mkusanya Mapato katika Halmashauri hiyo...