Chuo kikuu cha Dodoma kimeanzisha mchakato wa hatua za kinidhamu na maadili kulingana na Sheria na kanuni za utumishi wa umma.
UDOM imesema mtumishi Petro Bazil alisimamishwa majukumu yake tangu Oktoba 25, 2021 hadi uchunguzi utakapokamilika. Udom imesikitishwa na usumbufu uliojitokeza.
Pia...
Elimu ya Tanzania imeanza kuzalisha wasomi wa aina yake.
Ngono kwenye vyuo vya elimu ya juu imesjika kasi na inaxalisha wasomo wa hovyo. Serikali iunde taasisi mfano NECTA itakayo tunga na kusimamia matokeo ya wanachuo nchi nzima.
Mitihani ya darasa la nne, darasa la saba, kidato cha pili...
Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani.
Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo.
Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya. Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye...
Hii ni kwamujibu wa mjumbe wa kamati kuu ya Chama kwamba ndugu yetu mzee wa darasa la uongozi na genge lake walijaribu kuzuia mafuriko kwa mikono, waliratibu mbinu zote ili Samia asiwe Rais lakini wakashindwa,
kwa hali hii natamka rasmi kwamba sisi vijana wa CCM hatumtaki Polepole kwenye chama...
Mila na desturi zimetufundisha ya kwamba masuala ya rushwa ya ngono hayazungumzwi, hivyo tuvunje ukimya kuanzia ndani ya vyombo vya habari mpaka katika jamii yetu kwa kuwa tunajua tatizo lipo tulifanyie kazi liweze kumalizika" Dk Rose Reuben: Mkurugenzi Mtendaji - TAMWA
Takwimu za Ofisi ya...
Matumizi mabaya ya simu yametajwa kuwa chanzo cha rushwa ya ngono maofisini, na kundi linalo athirika zaidi ni wanawake/wasichana ambao wanarubuniwa na mabosi wao kwa lengo la kupata vyeo.
Nauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Ndg. Jabiri Shekimweri wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu...
Kiukweli, sikuwasikiliza kichele na mbogo sababu ni waongo waongo, hawa wawili walichangia sana kuharibu uendeshaji wa serikali kwa kufuata misingi ya utawala bora, wanatia kichefu chefu sana.
Sasa sielewi kati yao ni nani aliyewasilisha taarifa ya rushwa ya ngono vyuo vikuu mbele ya Bi. Samia...
Askari wa kikosi cha usalama barabarani, Peter Albert Moshi anashikiliwa na Taasisi ya Kupambana Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kuomba rushwa ya ngono kwa mama wa mtoto aliyegongwa na pikipiki ili aweze kukamilisha taarifa za uchunguzi wa ajali hiyo.
Kamanda wa wa Takukuru...
Sintofahamu inayoendelea katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimegubikwa na sarakasi na nadharia nyingi. Moja ikiwa viongozi wa kamati kuu wanafanya usanii kwa kujidai kuwafukuza wabunge wale 19 uanachama wakati walifahamu fika mchezo mzima na walikuwa wakifahamu wale wabunge...
TAKUKURU YABAINI VYUO VYA UDSM NA UDOM KUWA VINARA WA RUSHWA YA NGONO NCHINI
Habari Kamili Gazeti la Nipashe la Leo ukurasa wa Pili.
Nashukuru sana Chuo Kikuu changu bora na tukuka kabisa cha SAUT hakina huu Uhuni na Upuuzi na ndiyo maana kinatoa Geniuses tupu Tanzania.
Kwa mujibu wa kifungu cha 25 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya mwaka 2007(PCCB Act, 2007); Rushwa ya ngono ni pale ambapo mtu aliye katika mamlaka na katika kutekeleza mamlaka yake akitaka au akiweka upendeleo wa ngono kama kigezo cha kutoa ajira, cheo, haki, au huduma ya upendeleo...
Mimi ni mmojawapo wa watu waliosoma kwa undani taarifa ya Utafiti (si uchunguzi) ya Rushwa ya Ngono katika vyuo vikuu vya Dar es Salaam na Dodoma iliyotolewa na TAKUKURU.
Ni jambo la kufurahisha kuona taasisi za serikali zinajua umuhimu wa kufanya tafiti ili kufikia malengo yake. Hivyo huu ni...
MBINU inayoongoza kutumiwa na baadhi ya wahadhiri, kushawishi wanafunzi wa vyuo vikuu watoe rushwa ya ngono ni tishio la kuwapa alama za chini kwenye mitihani, imefahamika.
Mbinu nyingine wanayotumia wahadhiri hao ni kujiunga kundi moja la whatsapp na wanafunzi na wahadhiri; na vitisho...
“HAKUNA Mwanaume amewahi kulalamika rushwa ya ngono,” amesema Mwendesha Mashtaka wa Takukuru, Stella Mafuru.
Amesema kesi zote zinazohusu rushwa ya ngono, zinatolewa na wanawake, lakini hakuna mwanaume yeyote ambaye amewahi kuripoti rushwa hiyo ya ngono ambayo kwa sasa imeingia kwenye kipengele...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Dodoma inatarajia kumfikisha mahakamani Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Jacob Nyangusi (43) na kufunguliwa shauri la uhujumu uchumi kwa kosa la kutaka rushwa ya ngono kinyume cha sheria ya kuzuia na Kupambana na rushwa...
Mwanamziki mkongwe Lady J Dee; ameonesha kukerwa Sana na tabia ya mapromoter, sponsor na mapresenter Kuwataka kingono wasanii wa kike!
Adai tabia hiyo inaua Sana ndoto za wasanii hususani chipukizi kuingia kwenye gemu!
Salam ziwafikie:
Waziri wa Habari na Michezo
Takukuru
BASATA
Swali ni je...
#1
Hapo vip!!!
Kwa muda mrefu uongozi ndani ya chadema imekuwa ikituhumiwa kuhusika na rushwa ya ngono kwa wabunge wa viti maalum ila washabiki na baadhi ya wanachama wa chadema wamekuwa wakitafrisi tuhuma hizo kama giliba za kisiasa.
Binafsi wakati nikiwa university nilivutiwa na sera ya...
KINU CHA MAMA
Mussa N. Abubakari
UTANGULIZI.
Hii ni bunilizi tu. Usijaribu kugeuza maoni kuwa ukweli na kuharibu maisha ya watu.
ZINDUKO;
Moja ni jibu,
Ngono hutibu.
1. Romantic Star
Alishuka. Akasimama, kisha akaangalia kushoto na kulia. Erick Kupaza alifurahi kurudi nyumbani kwao. Sio tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.