Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kitengo cha Kupambana na Rushwa ya Ngono, imesema imejipanga kuanza kutoa elimu mtaa kwa mtaa ili kuhakikisha inawafikia watu wa rika zote.
Mkurugenzi wa Idara hiyo, Janeth Mawinza, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam alipofungua kikao...
TUHUMA ZA RUSHWA YA NGONO: TAARIFA ZAIDI ZINAHITAJIKA
Habari,
Kumekuwa na tuhuma kadhaa ambazo zimekuwa zikisambaa kwenye Mtandao wa JamiiForums zikielekezwa kwa madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya
Wengi wa walioleta tuhuma hizo hawakuleta taarifa za kina ili kusaidia kuwatia hatiani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.