rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magufuli na Biswalo nani alikuwa Shujaa! Wametufunza kupambana na Rushwa?

    Sheria kali za uhujumu uchumi zilianzishwa na JIWE a.k.a SHUJAA, na pia ndizo zilizoibua mafisadi waliokwepa kodi na kuhujumu nchi, kama alivyoeleza yey mwenyewe! Magu alikuwa anafanya ziara za kushtukiza pale TPA na kila mara kukuta flow meter imechezewa, yaani watu wanajichotea mafuta na...
  2. K

    DOKEZO Agent wa Fedex Tanzania (Rangel Logistics) Achunguzwe kwa kuhujumu uchumi

    Nimeshutushwa sana na kampuni ambayo inawakilisha Fedex Tanzania. Ukituma mzigo wowote kwa Fedex hata barua tu utasumbuliwa sana. Hawa jamaa ukituma mzigo kwa Fedex mfano hata kama mzigo ni wa $50 watajaribu kukuwekea gharama za 500,000 na zaidi. 1. Wenyewe sio TRA kodi zote zinatakiwa ziwe za...
  3. Uganda: Serikali yazindua Mfumo wa Kuwalinda Wawekezaji dhidi ya Vitendo vya Rushwa

    Rais Yoweri Museveni amezindua Mfumo wa Kielektroniki wa Kulinda Wawekezaji (EIPP) ambao unalenga kuwasaidia Wawekezaji wa Nje na Ndani kuripoti moja kwa moja katika Ofisi ya Rais malalamiko ya Rushwa, Ubadhirifu na Ucheleweshaji wa aina yoyote katika Miradi. Taarifa ya Ikulu ya Uganda imesema...
  4. Regression: Rushwa ilivyonitajirisha, stress na depression zinanitesa mniombee

    Mods tafadhali msifute huu uzi wangu hili kuwapa funzo watumishi wa umma wapya wanaongia kwenye utumishi wa umma kwa lengo la kujitajirisha kuliko kuwahudumia wananchi Mie ni mtumishi wa umma makao ya nchi kiukweli siku za hapa karibuni nimekuwa na majuto ambaye yanapelekea ufanisi wangu wa...
  5. Wabunge nchini Marekani wamepiga kura za kumwondoa Rais Biden madarakani kwa tuhuma za Rushwa na matumizi mabaya ya madaraka kuitajirisha familia yake

    Wabunge nchini Marekani wamepiga kura kukosa imani na Rais wao Joe Biden kwa malalamiko ya kwamba Rais anatumia madaraka yake kula rushwa, kutakatisha fedha na familia yake kuwa na utajiri wa mabilioni huku vyanzo vikitiliwa mashaka. Matokeo ya kura, Wabunge 221 wameunga mkono, wabunge 214...
  6. A

    DOKEZO Aina mpya ya mianya ya rushwa na upigaji ya watendaji wa TANESCO

    Wakuu , heshima mbele. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kiukweli TANESCO hili shirika unaweza kudhani pengine tukibadili viongozi wa juu ndio inaweza kuwa mwisho wa matatizo ila pengine naona labda tuanzie kwenye "grassroots" Ipo hivi, baada ya kufanya ombi la umeme kupitia mfumo surveryor...
  7. Azam Media wakataa shutuma dhidi ya rushwa ya kurusha vipindi vya tamthilia kutoka kwa wazalishaji binafsi

    Habari wana jamvi, kumekuwa na taarifa za chini kwa chini baada ya kuibuka sakata la wasimamizi wa televisheni kule Dstv sasa imehamia Azam nao wamejibu mapigo. Note; ukimshtumu mtu au kampuni hakikisha hiyo kesi una ushahidi nayo la sivyo inakugeukia, kesi kama hizi ikikugeukia utalipwa faini...
  8. R

    Trafiki watatu wakamatwa wakipokea rushwa, mmoja atoroka

    Polisi Trafiki watatu walikamtwa jana Alhamisi 30/11/2023 asubuhi eneo ambalo maafisa wa kupambana na rushwa walisema ni maarufu kwa kukusanyia rushwa kando ya Barabara ya Mai Mahiu katika makutano ya Karagita huko Naivasha, Kaunti ya Nakuru Kulingana na Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa...
  9. Barua ya wazi ya ndugu wa Wakulima waliokamatwa Kiteto, watoa madai ya kuombwa rushwa ili dhamana ipatikane

    Pia soma = Wakulima 27 Wilayani Kiteto washikiliwa na Polisi kutokana na mgogoro wa Ardhi = Manyara: Wakulima Kiteto warejea kwenye mashamba waliyoondolewa, watuma ujumbe kwa Rais Samia wakidai wameporwa Ardhi yenye mashamba yao
  10. Wasiwasi Mwabulambo wa Azam TV atajwa kupokea Rushwa ya Tsh. 800,000 ili aidhinishe kipindi cha TV

    ===== UPDATES: 01 DEC 2023 ===== Kampuni ya Azam Media Ltd, imebaini vipande vya picha jongefu vinavyosambaa kupitia mitandao ya kijamii vikimuonesha mwigizaji na mtengeneza filamu, Deogratius Shija, akiwatuhunu baadhi ya wafanyakazi wa kampuni yetu kwa vitendo vya rushwa. Kampuni yetu...
  11. K

    DOKEZO Wazazi wa wanafunzi Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA, tumechoka na Michango, Rushwa, Utumikishwaji wa watoto wetu shuleni

    Hii ni Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA iliyoko Kata Katerero Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoani Kagera. Wazazi wa wanafunzi wa shule hii wameandika Barua kwa Rais Samia Suruhu Hassan, Waziri Mkuu na Waziri wa Elimu wakitaka kusaidiwa kutokana na kile wanachoeleza wamechoka na michango, rushwa ...
  12. Kumekucha DSTV, Mkurugenzi wa vipindi Maisha Magic Bongo na msaidizi wake wasimamishwa kwa rushwa!

    This is exclusive! Mkurugenzi wa vipindi wa kitengo cha tamthilia za kiswahili zinazoruka kupitia kisimbuzi cha DSTV mwanamama Mtanzania Barbara Kambogi sambamba na msaidizi wake bwana Onesmus Ndarite yeye akiwa ni Mkenya wamesimamishwa kazi kwa tuhuma nzito za rushwa. Mwanamama huyo na...
  13. A

    DOKEZO Kituo cha Afya Zamzam (Bukoba) kuna huduma mbovu, Watumishi wanatengeneza mazingira ya Rushwa

    Kituo cha Afya Zamzam kilichopo Manispaa ya Bukoba huku Mkoani Kagera kinatoa huduma mbovu sana upande wa afya, hasa kwa Wanawake Wajawazito. Haijalishi kama una kadi ya Bima au la, bado huduma zao ni mbovu hasa upande wa Wodi ya Wajawazito. Watumishi wa Kituo hicho cha Serikali ambacho pia...
  14. Lagos inanuka uchafu na Rushwa!

    1. Watanzania tujifunze kujivunia kwetu japo sisemi sisi Ni Bora kabisa Ila tunajitahidi 2. Binafsi, nimetembelea miji kadhaa Afrika (Kigali, Nairobi, Kampala, Bujumbura, Johannesburg, Durban, Cape Town, Windhoek, Gaborone, Cairo, Algiers, Lusaka) na nje ya Afrika (London, Vienna, Zurich...
  15. M

    Zitto: Tuliweka mtego tukamrekodi afisa wa TFS Kasulu akipokea rushwa

    Ndg. Zitto kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo akiongea na wananchi wa Kagerankanda, Kasulu vijijini amedai kuwa walimwekea mtego wa rushwa afisa wa Wakala wa Misitu Tanzania Katika msitu wa Makere Kusini ukiitizama mipaka iliyokuwepo mwaka 1956 na hivi sasa pori la akiba limeingia kwenye...
  16. Gavana wa Benki Kuu ya Nigeria aliyejiuzulu kwa Rushwa awekwa Rumande

    Taarifa iliyotolewa na Serikali imesema Bosi huyo wa zamani, Godwin Emefiele ameshtakiwa kwa makosa ya Ubadhirifu katika Manunuzi wakati aalipkuwa Gavana wa Benki Kuu, hivyo tarativu za Kesi na Dhamana zitasikilizwa Novemba 22, 2023. Hata hivyo, Mahakama ilimkuta hana hatia kwenye makosa...
  17. Ally Hapi: "Huyo fisadi, mla rushwa anamuogopa Samia"

    Ex RC Ally Hapi amkumbusha mwizi wa mali za wananchi, fisadi, mla rushwa na adui wa chama kuwa muda sasa unahesabika. Video inazungumza... -Kaveli-
  18. Matokeo ya Rushwa Halmashauri JIJI, serikali inafumba macho, utafikiri haioni!

    Mtaa wa Lindi leo. Tutapiga kelele hadi serikali msikilize uozo uliokuwa wa Jiji la DSM. Jiji ilitoa tenda kwa wachina miaka minne tu iliyopita. Kwa kawaida ujenzi wa barabara, barabara inatakiwa kutokuwa na matatizo yoyote ndani ya miaka 10. Barabara ya Lindi, Kariakoo ndani ya miaka minne...
  19. K

    Kuna harufu ya rushwa Wilaya ya Kwimba katika maandalizi ya mtihani wa Kidato cha Nne

    Hii Nchi sijui tunaelekea wapi.Walimu zaidi ya 100 wameenda semina ya kusimamia Mtihani wa kitaifa wa Kidato cha nne unaotaratijia kuanza November 13, 2023. Cha ajabu karibu walimu 54 mpaka sasa hawajapata barua kujua vituo watavyosimamia huku Mafsa Elimu kata wakiwa kimya. Hao hao maafsa Elimu...
  20. U

    Safari za mabasi za usiku zimepunguza rushwa na wala rushwa hawapendi hilo

    Safari za MABASI Kwa Usiku Ni Nzuri na salama Zaidi Kwa sababu madereva wa Magari Mengi Hasa malori na Gari ndogo zenye Malena Wengi wanakuwa hawapo barabarani. Lakini kimekuwa kilio kwa wala Rushwa maana usiku polisi na tasisi zingine zinazopenda Hela wanakuwa wachache saana. Hili limepinguza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…