Najiuliza maswali mengi juu ya wakaguzi wa viwanja vinavyatumika kwenye michezo ya LIGI kuu, sielewi uwa wanatumia vigezo Gani kuruhusu matumzi ya viwanja husika
Mfano mdogo ni kuruhusiwa kutumika kwa uwanja wa CCM kambarage mjini shinyanga baada ya kukaguliwa na hao wakaguzi na kuwaruhusu jkt...
Hii inatia hasira kwa wananchi japo wananchi wanaonekana kucheka nao na kula nao ila wakati huwa ni mgumu sana kwa Polisi wote haijalishi ana cheo gani anapo staff. Ubadhilifu na kutokuwa waaminifu katika mazingira ya kazi ni nani hasa anawakingia kifua??
Course zao ni mbovu au mfumo wao. Mimi...
Hata ingekuwa ni wewe una shida umekwama labda ada au kodi kama unadhaminika lazima ungekopa ikizingatiwa USA NA CHINA pia wanakopa. Shida inaanza pale unategemea upate activities za serikali ulipwe posho upunguze madeni kumbe ni uongo hesabu zinagoma aidha unaitumia au inaibuka dharura nyingine...
Mfumo wa kielektroniki unaowezesha kufanya usajili, kuchakata zabuni, kusimamia mikataba, malipo na kununua kupitia katalogi na minada kimtandao (NeST) uliotengenezwa na Watanzania unatarajiwa kudhibiti vitendo vya rushwa ambavyo vimekuwa vikilalamikiwa kughubika michakato wa ununuzi Serikalini...
tua hiyo inakuja wiki 3 tangu aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Ali Bongo kupinduliwa Kijeshi muda mfupi baada ya Tume ya Uchaguzi kumtangaza kushinda Urais kwa muhula mwingine
Noureddin Bongo Valentin ambaye ni Mtoto mkubwa wa Ali Bongo na washirika wao wakiwemo Msemaji wa Rais na waliokuwa...
Nimeamua kuandika hapa kwa kuwa JamiiForums inafuatiliwa na watu wengi ndani na je ya Nchi, mtandao huu unafuatiliwa na watu wa kawaida, Viongozi na Watu wengine mashuhuri. Ningependa kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa kabisa andiko langu hili liende hewani.
Ikiwezekana andiko hili lifikisheni...
Anonymous
Thread
askari
dodoma
kozi
kutoa
kwenda
makao
makao makuu
mazingira
polisi
rushwa
Ripoti ya Mtandao wa Suluhu za Maendeleo Endelevu (SDGs) ya Umoja wa Mataifa (UN), imetaja masuala 6 ambayo huchangia katika Kuongeza au Kupoteza Furaha za Watu katika Nchi
Aidha, kwa mujibu wa #WorldHappiness2023, Nchi za Afghanistan, Lebanon, Zimbabwe, #Rwanda, Botswana, Lesotho, Sierra...
Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay.
Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth...
Ni Apolo Elias Laiser ambaye amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya na kufunguliwa Shauri la Kuomba na Kupokea Rushwa ya Tsh. 1,000,000 kinyume na kifungu cha 15(1),(a) na (2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura ya 329.
Mwanasheria huyo ameshtakiwa kwa kuomba Rushwa...
Kumekuwa na tuhuma kwa wachezaji wetu wengi kuhusishwa na kupanga matokeo(rushwa) wanapokuwa kwenye timu zao. Na mmojawao ni Kipa Kakolanya. Kuna muda mwingine ukimuangalia unaona jinsi alivyo makini anapokuwa langoni na kuna muda mwingine anaonekana mpambanaji hasa halafu anakaa position fulani...
Bungeni - Dodoma
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent L. Bashungwa(Mb) amemshukuru Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kumuamini na ameahidi kudhibiti na kupambana na Rushwa katika mikataba, manunuzi na usimamizi wa miradi.
Amesema hayo leo tarehe 06 Septemba 2023 Bugeni...
Akizungumza leo Sept. 4, 2023 wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, Rais Samia amesema wananchi bado wanalalamikia tatizo la Rushwa hasa kwa Askari wa Barabarani.
Amesema “Mfano tukiweka Kamera za Barabarani hakutakuwa na sababu ya Askari kusimama Barabarani...
Mahakama ya Wilaya ya Tabora imechukua uamuzi huyo dhidi ya Denis Kantanga, aliyekuwa Askari Polisi nafasi ya Konstebo baada ya kukiri makosa mawili ya Kuomba na Kupokea Rushwa ya Tsh. 18,000,000 kinyume na Sheria.
Mahakama ilimhukumu kutumia kifungo cha miaka miwili Jela au kulipa faini ya...
Kupata stahiki yako kwa njia ya haki na bila kutumia njia za udanganyifu ni msingi wa maadili na utawala bora katika jamii yoyote ile.
Katika dunia iliyojaa changamoto na mizani tata ya kimaadili, kukataa kutoa rushwa kunaweza kuonekana kama jaribio la “kuwakazia” wenye mamlaka, na mara...
Na bahati nzuri Wanaosema kuwa Uchaguzi wenu wa Jana ulijaa Rushwa tupu ni Wenzenu ( tena baadhi yao ) ni Wapiga Kura mnapata wapi Uthubutu wa Kuukana na Kuukosoa Msimamo wa wenye Akili Kubwa duniani TEC na Kanisa Katoliki ( GENTAMYCINE nikiwemo ) juu ya Sakata la Uwekezaji wa DP World na...
Si kosa wala si vibaya kuwapa mamlaka ya kiuongozi vijana ili kuandaa viongozi wa kesho wenye weledi katika taifa hili
lakini vijana hawa wanaoaminiwa na taasisi wamekua chanzo cha kuitia hasara serikali na kurudisha nyuma mipango mizuri ya serikali yetu kwa tamaa ya maendeleo ya haraka, uzembe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.
Rais wa...
SHERIA YA KUTOKUSHTAKIWA RAIS NDIO RUSHWA KUBWA KULIKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Takukuru kazi yenu bado itakuwa ngumu ikiwa kuna sheria ambazo zinatoka Rushwa Kwa baadhi ya makundi ya Watu hasahasa viongozi.
Kuna Sheria na kuna Haki. Alafu kuna vyombo vya kusimamia sheria na Haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.