rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mtindo mpya wa rushwa wa kubomoa na kujenga Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Kumeingia mtindo mpya wa kujitafutia miradi. Sasa mkurugenzi wa Muhimbili anataka kuanzisha mradi wa upigaji eti Muhimbili ibomolewe na kujegwa upya wakati kuna vijana hawana hata mabweni ya kulala. Kwani kuna tatizo gani ya maeneo ya kujenga mpaka wakabomoe hospitali! Kwanini basi pasibakie...
  2. D

    Rushwa kwa marefa, TFF mpo wapi?

    Rushwa tunaona kwenye hii ya singida na simba. Inaenda kushusha adhi ya ligi yetu. Refa asipochukuliwa amna maana ya kuwa ligi bora. Shameful shameful shameful, tunaomba huyu refa achunguzwe rushwa . Ligi inakuwq kama ligi ya kenya . Fifa wataishusha. Yellow card Simba 0 singida 7 Refa...
  3. mirindimo

    VIDEO: Trafiki wanavyolazimisha faini hata makosa ya kuelekezwa

  4. J

    Mjadala wa ClubHouse ya JamiiForums: Kero ya Rushwa katika Umiliki wa Ardhi

    Umewahi kulazimika kutoa rushwa ili uweze kukamilishiwa mchakato wa kumiliki ardhi? Jiunge nasi Alhamisi, Agosti 10, 2023 Saa 12 Jioni hadi saa 2 usiku kupitia ClubHouse ya JamiiForums kujadili Vitendo na Mazingira ya Rushwa katika hatua za Umiliki wa Ardhi Nchini. Tutajadili Changamoto...
  5. Shark

    DOKEZO TAKUKURU Nendeni Mikocheni Sekondari mkaone Walimu wanavyodai Rushwa Waziwazi Kwa Waliomaliza Form4

    Kwema Wakuu, Hapa mtaani nilipo kuna ka binti kamemaliza Form4 na majibu ndio yametoka siku chache zilizopita. Shule aliyomaliza inaitwa Mikocheni Sekondari, na ilipo ni njia ya Kawe (Old Bagamoyo Road) kituo kimoja kabla ya Clouds. Sasa wanafunzi hawa waliomaliza form 4 ili wakabidhiwe...
  6. R

    Uliwahi kukwama kupata huduma fulani sababu ulishindwa kutoa rushwa? Ulichukua hatua gani?

    Wakuu, Wengi wamekuwa wakilalamika kuombwa rushwa ili waweze kupata huduma nzuri sehemu mbalimbali wanazokuwa wanajitaji huduma fulani, na ikitokea hujatoa basiutazungushwa sana mpaka mwenyewe uingie mfukoni kupaka mafuta vyuma ili mambo yaende. Baadhi wanasema kama hujawahi kuombwa rushwa...
  7. R

    Umewahi kulazimika kutoa rushwa ili upate huduma fulani?

    Wakuu kwema? Kuna sehemu mbalimbali raia huenda kwa ajili ya kupata huduma, changamoto hutokea pale ambapo mtoa huduma anakataa kukupatia huduma fulani au anakuzungusha kukupa huduma hiyo mpaka utoe cha juu/kipoozeo/kifuta jasho/rushwa. Ukitoa rushwa mambo yanakwenda haraka, hata zile...
  8. D

    SoC03 Utawala bora na kupambana na rushwa kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi

    UTAWALA BORA NA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA MAENDELEO YA KIJAMII NA KIUCHUMI Utangulizi Utawala bora na kupambana na rushwa ni masuala muhimu sana katika kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika jamii. Makala hii inakusudia kuchambua umuhimu wa uwajibikaji na utawala bora katika kupambana na...
  9. M

    SoC03 Rushwa kwa watendaji wa serikali

    Katika miaka michache niliyowahi kufanya kazi katika jamii, nimegundua na kushuhudia namna WATENDAJI wa serikali wanavoihujumu serikali na nchi yao kwa kupokea rushwa. Hili linajidhihirisha katika mikoa ya Tabora, Shinyanga na Simiyu ambapo watoto wengi huachishwa shule kwaajili ya kuchunga...
  10. K

    Kusaidia nchi Je Tanzania tuanzishe mfumo wa seneti?

    Je kwa hili bunge ambalo halisaidii serikali swali ni Je imefika wakati wa kuwa na bunge la seneti? Bunge hili mfumo unaweza kubadilika lakini mifumo ya wenzetu ni sawa na seneta wawili kwa kila mkoa. Hili seneti litakuwa kama thinktank na viongozi ambao hawana ushabiki badala yake ni wataalamu...
  11. Jidu La Mabambasi

    Economic Hit Men wako kazini, rushwa kwa wanasiasa zinaifunganisha nchi kuibiwa pakubwa!

    Sasa ni dhahiri, kuna International Economic Hit Men wako kazini. Nyenzo yao kubwa ni rushwa ya kuifungamanisha nchi na wao , ili wazichote fedha bila kazi, bila jasho na kwa raha mustarehe. Hili linaonekana hasa za kwetu nchi masikini, na inaelekea watazichota fedha nyingi sana kiulaini...
  12. M

    DOKEZO Polisi Trafiki wa Arusha mnakera sana kuwasimamisha watembeza watalii bila sababu, mkikosa kosa mnaomba rushwa

    Habari. Mimi ni Safari Guide, nina Kero kubwa sana kuhusu Traffic Police wa Arusha. Wamekuwa wakisimamisha magari ya watalii kila mahali hawajali kama umebeba wageni au la, waanza kuomba leseni na kukagua gari wanachukua hadi dakika 10 wamekusimamisha bila kujali umetoka wapi na unaratiba gani...
  13. J

    Adui wa Tanzania ni Uvivu hasa kwa wanaume wanaoishia kujikita kwenye Rushwa na Kubeti

    Maadui wakuu watatu wa Mtanzania yaani Ujinga, Maradhi na Umaskini mama yao ni Uvivu na baba yao ni Tamaa Watanzania wanaume ni wavivu sana wa kufikiri, wanapenda mteremko na mambo mepesi mepesi na hapo ndipo wanaporidhia Mkataba wa Umaskini na Shetani Nimemsikia Mtaka akiyataja makabila...
  14. O

    SoC03 Kuimarisha Elimu Tanzania: Hatua za Uwajibikaji na Utawala Bora Kuongoza Mabadiliko!

    Sekta ya elimu ni moja ya nguzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote, na Tanzania haijatengwa katika hilo. Kuleta mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora katika sekta hii ni hatua muhimu katika kuboresha elimu na kuimarisha ustawi wa jamii nzima. Kufanikisha mabadiliko haya kunahitaji...
  15. BigTall

    DOKEZO Kupata Leseni ya Biashara Manispaa ya Temeke ni Biashara pia ya watu, lazima utoe rushwa ndio upate huduma

    Upatikanaji wa leseni za biashara katika manispaa ya Temeke umekuwa ni biashara kwa waliopewa majukumu hayo. Kumekuwa na utengenezaji mkubwa wa mazingira ya rushwa ambao upo wazi kabisa na bila kutoa rushwa huwezi kupata leseni ya biashara bila kujali ni kuomba kwa mara ya kwanza au kurenew...
  16. IBRAHIM EMMILIAN MBAWALA

    SoC03 Kupambana na rushwa kwa mabadiliko makubwa

    Utawala bora ni msingi muhimu katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Moja ya changamoto kubwa katika kufikia utawala bora ni janga la rushwa, ambalo huzuia ukuaji wa kiuchumi, hupotosha usawa na haki, na kudhoofisha imani ya umma kwa serikali. Hata hivyo, kuna matumaini mapya ya...
  17. BARD AI

    Tume ya Haki Jinai: TAKUKURU ina watumishi Wala Rushwa na Wasio Wabobevu

    Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Uboreshaji wa Mfumo wa Haki Jinai Nchini, ametoa taarifa hiyo hiyo leo tarehe 15 Julai, 2023 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete - Ikulu Dares Salaam wakati akiwasilisha Ripoti ya Mapendekezo ya Tume Tume hiyo iliundwa Jan...
  18. Sildenafil Citrate

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara yatuhumiwa kwa upigaji wa zaidi ya Tsh. Millioni 600

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara inatuhumiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya shillingi millioni 600 zilizoingizwa katika akaunti ya mahakama hiyo kwa ajili ya kuwalipa wanufaika zaidi ya 100 wa mirathi kwa mwaka 2020/2022. --- Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara inatuhumiwa kwa ubadhirifu wa...
  19. Roving Journalist

    Maxence Melo: "Machawa" sio wawakilishi wa Vijana

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo akiwa katika Maadhimisho ya Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Afrika, yaliyofanyika Jijini Arusha, Tanzania amesema vijana wanaongoza katika mapambano ya rushwa na ni vema vijana wakashirikishwa katika maamuzi Akieleze mchango wa Vijana katika...
  20. BARD AI

    Maana ya Vitendo vya Rushwa, Ubadhirifu na Udanganyifu

    Kwa mujibu wa “Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa na Mpango wa Utekelezaji wa Awamu ya Tatu 2017-2022 (NASCAP III)”, vitendo vya rushwa vinatafsiriwa kuwa ni kutoa, kupokea au kushawishi moja kwa moja kutolewa au kupokelewa kwa kitu chochote cha thamani kwa maslahi au matumizi binafsi, ili...
Back
Top Bottom