russia

  1. Kasomi

    YouTube Yasitisha Uchumaji mapato (Monetisation) kwa YouTubers nchini Russia

    Kulingana na vuguvugu la Russia na Ukraine Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google umesitiza Uvunaji mapato kwenye nchi ya Urusi kipindi hiki mpaka hapo badae itakapojiridhisha. Kulingana na Sera za uchumaji wa mapato kwenye kituo cha YouTube(Google Monetisation policies for YouTubers)...
  2. S

    Waziri Mkuu wa Australia aonya waAustralia wasijaribu kwenda pigana na majeshi ya Russia nchini Ukraine

    Waziri Mkuu wa Australia kawaonya raia wa nchi yake wasijaribu kusafiri kisirisiri kwenda kupewa silaha na rais wa Ukraine ili kupigana na majeshi ya Russia. Onyo hilo la Waziri Mkuu limejiri baada ya rais wa Ukraine kuomba msaada wa raia wa nchi nyingine waende Ukraine wakasaidie kupambana...
  3. M

    Facts you didn't know about President Putin of Russia

    Vladimir Putin, the Russian president, is a highly successful individual who has accomplished a great deal in his life. Also, as a human being, he has his flaws and his virtues. As a result, here are ten things you may not have known about Vladimir Putin from US and international media coverage...
  4. 5523

    Ukraine agrees to hold talks with Russia at Belarus border

    Kyiv to send delegation of officials for talks with Russian counterparts on the Ukraine-Belarus border, Zelensky says Aljazeera Ni wazi Putini amesarenda, hali si ya kawaida sana Russia wamekumbana na joto kali sana miji ya Kiev., Russia ndio walitaka haya mazungumzo awali nadhan vikwazo...
  5. John Haramba

    Wakitaka kumuondoa Abramovich kuimiliki Chelsea wamlipe trilioni 4.6

    Klabu ya Chelsea inaweza kuingia katika wakati mgumu kifedha ikiwa mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich ataondolewa klabuni hapo, kwani kutatakiwa kiasi kikubwa cha fedha alipwe kutokana na uwekezaji alioufanya tangu aanze kuimiliki klabu hiyo mwaka 2003. Imeelezwa kuwa kama watataka...
  6. econonist

    Je, baraza la usalama la Umoja wa Mataifa lina uwezo wa kufanya maamuzi dhidi ya Russia?

    Ni vigumu Umoja wa Mataifa kuichukulia hatua Urusi. Changamoto za Umoja wa Mataifa kupitia baraza kuu la usalama kuichukulia hatua Urusi ni mbili. Kwanza, tatizo linakuja pale ambapo Urusi ni mmoja wa wanachama wakudumu wa baraza la usalama akiwa pamoja na China, UK, France na USA. Hivyo Ni...
  7. S

    Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

    Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu. Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia...
  8. TODAYS

    PICHA/Video: Matukio yanayojili kati ya Russia na Ukraine

    Wadau habari picha usadikisha kwa uhalisia wa tukio m, ruksa kutupia picha matukio ili tujifunze. 👆🏾 Mamia ya wananchi wa mji wa Kyiv wakiwa kituo cha gari moshi kusubiri usafiri kuwatoa jijini hapo. 👆🏾 Mizinga ya masafa mafupi iliyopigwa kuelekea mpaka wa Ukraine. 👆🏾 Wananchi wakipiga...
  9. Mathanzua

    US,UK,EU and NATO forces Russia toinvade Ukraine in order to set up the globalgeopolitical chessboard for theirlong planned World War III

    Just as the world witnessed prior to First and Second World Wars, the New World Order globalist cabal and international banksters are manipulating/coercing nations everywhere to set the stage for an apocalyptic global conflict. In point of fact, the major moves and massive maneuvers being...
  10. Peter Madukwa

    Mgogoro wa Russia Vs Ukraine: Tuache Ushabiki; Athari ya Vita mara nyingi huwa ni ya dunia nzima Tuombe mgogoro huu utafutiwe ufumbuzi wa haraka

    Habari ndugu wana JF Kama inavyoonekana katika vyombo vya habari kwa muda mrefu sasa kumekuwa na mgogoro kati ya Urusi na Ukraine. Mgogoro huu chanzo chake kikubwa ni dhamira ya UKRAINE Kujiunga na Mkataba wa NATO ambao pia unahusisha MAREKANI. Kwa mujibu wa madai ya Urusi wanasema kuwa...
  11. S

    China yatangaza kuiunga mkono Russia, yailaumu Marekani kusababisha mzozo wa Ukraine, yasema Urusi imelazimika kujilinda

    China imetangaza kuiunga mkono Russia, huku ikiilaumu Marekani kwa kusababisha mzozo wa Ukraine na hata kuvamiwa kwa Ukraine (na Urusi). Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China amesema Marekani imekuwa ikituma silaha za kivita nchini Ukraine, ikatengeneza hali ya hofu na paniki (kwa Urusi...
  12. Quimica

    Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

    Habari za jioni wana Jamii Forums, kwa kweli nimeona suala la ndugu Watanzania walioko Ukraine kutakiwa kurudi Tanzania na wengine kutolewa na mataifa yao sababu kubwa ni nini? Putin anahusikaje? Tujuzane. Maestro de Quimica!!OP
  13. Analogia Malenga

    Papa Francis atangaza Jumatano ya Majivu (Machi 2) kuwa siku ya kufunga na kuomba kwa ajili ya Ukraine

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis ameonesha kuguswa na kinachoendelea baina ya Urusi na Ukraine, ambapo amesema hatari ya vita ilisababisha maumivu makali moyoni mwake Papa ametoa wito kwa watu wote duniani kutumia siku ya Machi 2 ambayo ni siku ya Jumatano ya Majivu, kufunga na...
  14. John Haramba

    Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin mara baada ya kutangaza mashambulizi dhidi ya Ukraine, ametoa onyo kwa mataifa ya Magharibi kuwa yeyote ambaye atajaribu kuingilia kinachoendelea baina ya mataifa hayo mawili atakutana na kitu ambacho hajawahi kukutana nacho. Milipuko ilisikika Mji Mkuu wa Ukraine...
  15. L

    Bei ya mafuta ghafi yaongezeka duniani baada ya Russia kuivamia Ukraine

    Baada ya muda Mrefu Mafuta ghafi kuwa bei chee wakati wa janga la Corona kutoka bei hasi hadi kukaribia dollar 100 kwa pipa wakati huu. Traders let's take advantage from this.
  16. I

    Marekani kuinyamazisha Urusi?

    Biden ametoa speech ambayo inaonyesha Trump alikuwa anamdekeza sana Putin. Belarus jirani wa Ukraine na Urusi ndiye rafiki mkubwa Putin na Biden kasema Urusi isipotoa majeshi yake huko atalituma jeshi. la Marekani ndani ya Belarus Tunaweza kuona ni namna gani Marekani wanaendelea kuzichanga...
  17. B

    Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

    Rais Putin asaini waraka wa kuamuru majeshi ya Russia kuingia Ukraine kulinda amani ktk majimbo-yenye-uasi ya Luhansk na Donetsk Rais Vladimir Vladimirovich Putin wa Russia amesaini tamko rasmi/ decree kuamrisha majeshi ya Russia kuingia nchi Ukraine katika majimbo Luhansk na Donetsk, ambayo...
  18. Richard

    Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

    Rais Vladimir Putin akitia saini amri (the Decree) kutambua majimbo ya Donestk na Luhansk kuwa majimbo huru. Picha na Reuters. Rais wa Russia Vladimir Putin usiku huu anatarajiwa kutangaza majimbo ya Donetsk na Luhansk kama majimbo huru. Majimbo haya mawili yaliyo upande wa Mashariki mwa...
  19. memael

    Nani mwoga kati ya Russia na NATO yenye nchi kama 30?

    Naomba nijue ukweli kwenye JamiiForums wengine wanasema Urusi ni nchi maskini hata Jimbo moja la marekani linazidi nchi kubwa duniani kiuchumi ambayo ni Russia. Kama Ni hivo kwanini marekani na NATO wenye utajiri mkubwa Sana duniani wanamgwaya Sana Russia kwenye masuala ya kivita Mfano USA na...
  20. sky soldier

    Angekuwepo Trump, Afghanistan ingekuwa chini ya Taliban? Kungekuwa na hii hali inayoendelea huko Ukraine / Russia?

    Ama kwa hakika naweza kusema Trump alimudu vingi sana licha ya kuchafuliwa sana na Media kubwa ambazo ni left wing kama cnn, bbc, al jazeera, msnbc, cbs, n.k. lakini Trump aliweza kufanya mambo mengi sana. Moja ya mambo aliyoyapa kipaumbele ni kupunguza misuguano ya uadui na kujikita zaidi...
Back
Top Bottom