russia

  1. 5

    Hivi Russia anasubiri nini kuivamia Ukraine, Kwanini amebaki mpakani tu?

    Nimeona nije na hili wadau wenzangu, dunia inaelewa malengo na mahitaji ya Russia kwa nchi ya Ukraine yapo wazi sana swali ni kwanini amebaki mpakani??? Sasa takriban mwezi., NATO wamekuwa wa wazi sana na hawapepesi kauli zao ni kwamba wanasubiri Russia waivamie Ukraine ndio na wao lile lengo...
  2. Light saber

    Russia moves blood and medical supplies near Ukraine, possibly in preparation for a major military operation: report

    Russia has added blood supplies to its military buildup on Ukraine's border, Reuters reported. This could be another sign its planning to invade, experts said.The supplies could be used to treat casualties if Russia invades. In another sign it could be preparing to invade, Russia has now...
  3. Sky Eclat

    Bugrov House, Built 1880, Russia

  4. Sky Eclat

    Church of Savior of Blood, St Petersburg Russia

  5. J

    Mada Maugo na Mabondia wa Urusi

    “Niliwahi kukataa pambano raundi ya kwanza huko Russia. Nilipigwa ngumi, nakinga mikono lakini nasikia ni kama chuma kimetua, naangukia kwenye kamba. Kocha wangu hataki kutupa taulo. Raundi imeisha anasema ingia ujitahidi, nikamuambia siingi, ukitaka ingia mwenyewe” -Mada Maugo Kumekuwa na...
  6. jollyman91

    Putin asisitiza kuendelezwa mashirikiano ya pamoja kati ya Russia na China

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza kuendelezwa mashirikiano ya pamoja baina ya nchi yake na China. Putin ametoa sisitizo hilo katika salamu alizomtumia Rais Xi Jinping wa China kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 72 wa kuasisiwa Jamhuri ya Watu wa China. Katika salamu zake hizo, Rais...
  7. jollyman91

    Stop imposing ‘development model’ on other countries: Russia raps US

    Russia has called on the United States to stop imposing its so-called “development model” on other countries, taking a swipe at President Joe Biden for claiming Washington was ending the two-decade war in Afghanistan to “remake” other nations. Russian Foreign Minister Sergey Lavrov made the call...
  8. jollyman91

    Mali reaches out to private Russian security firms in snub to France

    Mali has approached private Russian security companies for help in its fight against terrorism following the French government’s “unilateral” decision to “abandon” the West African country. Russian Foreign Minister Sergey Lavrov confirmed to reporters during a press conference at the UN...
  9. jollyman91

    Iran’s full membership in Shanghai Cooperation Organization ‘very useful decision’: Russian envoy

    A Russian diplomat has praised Iran’s full membership at the Shanghai Cooperation Organization (SCO) as a “very useful decision,” saying members of the Eurasian political, economic, and security alliance share the same opinion. Raeisi has described the approval of Iran’s permanent membership in...
  10. chizcom

    Kama tungelijua kuhusu Dkt. Shika, tusingemfanyia haya kwa historia yake

    Kiukweli watu ni wazuri ukiwa na mafanikio tu ila ni wabaya na vituko ukiwa na shida. Kitu ambacho unaweza kukatishwa tamaa na kufa kifo cha kuzalilika ni pale unapokuwa kwenye matatizo yaliyo kuzunguka. Kipindi cha Dk. Shika na mia tisa itapendeza kilionekana ni kituko. Ila kiukweli kiundani...
  11. William Mshumbusi

    CCM inaendeshwa kwa sera kutoka Russia na Uchina

    Wakati ambao mashitaka kwa Mbowe yakianza na wapinzani kushangaa, Kiongozi mkuu wa upinzani Russia Alexei Navalny hapungukiwi mashitaka na anaitwa gaidi na utawala. Huko China (hongkong) kupinga Sheria au Sera za China NI uhaini kamili. Kuwa mpinzani NI ualifu tosha. Wapinzani hawajui NI Nani...
  12. beth

    Urusi: Mashirika yanayohusishwa na Alexei Navalny yapigwa marufuku

    Mahakama Jijini Moscow imepiga marufuku Mashirika yenye uhusiano na Mkosoaji mkubwa wa Serikali, Alexei Navalny, na watakaoendeleza harakati wapo hatarini kufungwa jela Pia mtu yeyote atakayeunga mkono kwa uwazi mtandao wa kisiasa wa Navalyn ambaye anatumikia kifungo anaweza kuzuiwa kugombea...
  13. beth

    Urusi yatishia kupunguza kasi ya Google

    Urusi imetishia kupunguza kasi ya Google ikiwa itashindwa kufuta kile ambacho Taifa hilo linaita ni maudhui yanayovunja Sheria huku Mamlaka ikitoa saa 24 kwa video zinazohusiana na Dawa za Kulevya na vurugu kuondolewa. Kampuni hiyo pia umeshutumiwa kuminya Mtandao wa YouTube kwa Vyombo vya...
  14. S

    Dikteta Stalin wa Urusi ndiyo anashikilia rekodi ya kuagwa na watu wengi zaidi 1953

    Mnyama ama mtu hatari akifa/akifariki watu huwa wanajitokeza kwa wingi kushangaa. Nakumbuka ktk kijiji chetu aliuawa chatu mla watu aliyesumbua kwa miaka mingi sana, watu toka karibu vijiji vyote 8 vya kata yetu walimiminika kuja kumwangalia. Huyo ni chatu ambaye wala siyo mwanasiasa achilia...
  15. Dr Akili

    China na Russia kamwe hawawezi kutumia hiyo chanjo ya mRNA ya kampuni ya Pfizer (Billgate) na BioNTech (Mjerumani): Kwa nini Afrika tulazimishwe?

    Hiyo tunayoiita chanjo inayotengenezwa na kampuni ya Pfizer ikishirikiana na kampuni ya BioNTech ya ujerumani si sawa na chanjo zinazojulikana ambazo hutumia virusi vya ugonjwa huo huo vilivyopunguzwa makali (attenuated live viruses). Hawa wanatumia genetically engineered manufactured synthetics...
  16. Infantry Soldier

    Kwanini Russia ilishindwa kumtetea Saddam Hussein wa Iraq ila sasa inamkingia kifua Bashar Al-Assad wa Syria?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Eti ndugu zangu watanzania (wale tu mnaofuatilia siasa za kimataifa kwa muda mrefu kama mimi); Kwanini Russia ilishindwa kumtetea Saddam Hussein wa Iraq ila kwa sasa inamkingia kifua Bashar Al-Assad wa Syria ilhali nchi hizi mbili zinapakana...
  17. Almendezz

    China na Urusi kupunguza matumizi ya dola

    Urusi na Uchina zinashirikiana kupunguza utegemezi wao kwa dola - maendeleo ambayo wataalam wengine wanasema inaweza kusababisha "muungano wa kifedha" kati yao. Katika robo ya kwanza ya 2020, sehemu ya biashara ya dola kati ya Urusi na Uchina ilianguka chini ya asilimia 50 kwa mara ya kwanza...
Back
Top Bottom