ruvuma

Ruvuma River, formerly also known as the Rovuma River, is a river in the African Great Lakes region. During the greater part of its course, it forms the border between Tanzania and Mozambique (in Mozambique known as Rio Rovuma). The river is 800 kilometres (497 mi) long, with a drainage basin of 155,500 square kilometres (60,000 sq mi) in size. Its mean annual discharge is 475 m³/s (16,774 CFS) at its mouth.

View More On Wikipedia.org
  1. RPC Ruvuma: Mwanamke Aliyekutwa Ofisi za TANESCO Hana Uhusiano na Uchawi, Ana Tatizo la Akili

    Hali ya gumzo imetanda kwa baadhi ya Wananchi wa Manispaa ya Songea mjini Mkoani Ruvuma baada ya Mwanamke mmoja katika Ofisi za Shirika la Umeme TANESCO Mkoani humo akiwa hana nguo huku baadhi ya Mashuhuda wakisema alianguka na ungo wa kichawi wakati akipita juu ya Ofisi hizo. Soma Pia: Apata...
  2. Pre GE2025 Ruvuma: Mwenyekiti CCM, viongozi wa chama acheni kuanzisha migogoro inayochonganisha wananchi na serikali

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma ndugu Oddo Mwisho amewataka viongozi wa chama hicho ngazi ya kata,tawi mpaka shina kuacha tabia za kuanzisha migogoro katika jamii ambayo inawachonganisha viongozi wa serikali pamoja na wananchi. Hayo ameyasema wakati anaongea na viongozi wa...
  3. Mkuu wa majeshi Jacob Mkunda akutana na mkuu wa mkoa wa Ruvuma na kufanya mazungumzo na Kamati ya Ulinzi na Usalama

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abass ofisini kwake na kufanya mazungumzo na Kamati ya Ulinzi na Usalama Leo tarehe 27 Februari 2025. Katika mazungumzo yao Jenerali Mkunda amempongeza Mkuu wa Mkoa pamoja na Kamati yaUlinzi na...
  4. Pre GE2025 Mbunge wa Madaba Dkt.Joseph Kizito Mhagama, atembelea kata ya Mkongotema kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo

    Mbunge wa Jimbo la Madaba Mkoani Ruvuma, Dkt.Joseph Kizito Mhagama, ametembelea kata ya Mkongotema kwa lengo la kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika eneo hilo. Ziara hiyo imewapa wananchi nafasi ya kueleza mafanikio yaliyopatikana kupitia utekelezaji wa miradi hiyo...
  5. M

    DOKEZO Ruvuma: Souwasa mnatupiga sana bila hata huruma

    mamlaka ya maji Safi Na usafi WA mazingira Songea(SOUWASA) mnawaumiza sana wateja wenu bill mnazotoa Ni kubwa kuliko matumizi. Nyumba ambayo imefungwa maji hayatumiki Kwa mwezi nzima mnatoa bill kuwa mteja anadaiwa laki tatu na themanini na Saba wakati matumizi yake Kwa mwezi hayajawahi kufika...
  6. T

    Pre GE2025 CCM Ruvuma yahimiza demokrasia kwenye nafasi za wagombea udiwani na ubunge

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimewataka wanachama wake kuhakikisha wanazingatia taratibu, Sheria, na kanuni za Uchaguzi wakati wa mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Ubunge na Udiwani. Lengo ni kuwarudisha madarakani wagombea wanaopendwa na wananchi, lakini kwa kufuata miongozo ya...
  7. Pre GE2025 RC Ruvuma: Dkt. Ndumbaro hana deni jimbo la Songea mjini utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas,amemsifu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Dk Damas Ndumbaro kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo katika jimbo hilo. Kanali Abbas ametoa kauli hiyo mbele ya wananchi wa Kata ya Subira, Manispaa ya Songea...
  8. Pre GE2025 CCM Ruvuma yatoa pongezi kwa Viongozi waliochaguliwa kugombea Urais katika Uchaguzi ujao

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimefanya mkutano maalum na kupongeza azimio la kuwaunga mkono viongozi walioteuliwa na chama hicho kugombea nafasi ya urais katika uchaguzi ujao. Mkutano huo umefanyika chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma, Oddo Mwisho, ambae alikuwa...
  9. Pre GE2025 Ruvuma: Wananchi Watakiwa Kupuuza Maneno ya Wanasiasa Wanaodai Kutumwa na Viongozi wa CCM" kuja kugombea

    Wananchi mkoa wa Ruvuma wametakiwa kupuuza maneno ya baadhi ya wanasiasa wanaotumia majina ya viongozi wa juu wa Chama cha Mapinduzi, kuwarubuni na kuwaambia kuwa wametumwa kuja kugombea nafasi za ubunge na udiwani badala yae wasubiri wakati wa kampeni kuchagua watu sahihi. Soma Pia: Ruvuma...
  10. Pre GE2025 CCM Ruvuma waandamana kuunga mkono uteuzi wa Dkt. Samia, Dkt. Nchimbi na Dkt. Mwinyi

    Wakuu Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma kikiongozwa na Mwenyekiti wake Comrade Oddo Mwisho kimefanya Maandamano ya amani yenye lengo la Kupongeza na kuunga mkono Azimio la mkutano mkuu Maalum wa CCM Taifa ambalo liliwachagua na kuwapitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa Jamhuri...
  11. M

    Sasa ndo naelewa maana ya fake news.

    Kumbe neno fake news lina maana tofauti na wengi tuelewavyo. Inatolewa taarifa yenye ukweli ila Kama anayetakiwa kuwajibika hasipokuwa tayari kuzungumzia inaitwa fake news ,wanaibatilisha na kuwaaminisha watu kuwa ni habari ya uongo wakati ina ukweli. Mfano hii ya wanafunzi mkoa wa Ruvuma kukaa...
  12. M

    Ruvuma: Mamba aliyeua binadamu ageuzwa kitoweo

    Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi la polisi mnamo January 02 mwaka huu, wananchi wa Kijiji cha Ng’ombo wilayani Nyasa walimuua mamba na kufanya kitoweo. Majira ya saa kumi na moja alfajiri kwenye fukwe za Ng’ombo-ziwa Nyasa, Kijiji cha Ng’ombo kata ya Chiwinda, mwanamke mmoja aliyetambulika kwa...
  13. Pre GE2025 Baada ya Wananchi kugomea t-shirt na fedha za Kawawa, ajitokeza na kusema hizo ni fitna za Kisiasa na kuwa wanaichafua CCM

    Siku chache baada ya baadhi ya Wananchi kumjia juu Mbunge wao wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa, ameamua kujibu. Wananchi wao wa Kijiji cha Mlalamiwa na Matepwende waligoma kupokea zawadi za Mbunge wao ambazo ni fulana na fesha kwa madai kuwa hawawezi kufanya hivyo wakati huduma...
  14. M

    KERO Ruvuma: Waziri wa Ardhi tunakuomba uje Kata ya Liganga kutatua mgogoro wa ardhi, upimaji wa ardhi ufanywe upya, tunateseka

    Mimi Mkazi wa Songea Kijijini, Kata ya Liganga katika Jimbo la letu ambalo Mbunge wetu ni Jenista Muhagama, huku tuna changamoto ya ardhi. Miaka 10 iliyopita tuliuziwa eneo na Kijiji ambapo kipindi hicho kilikuwa kinaitwa Kijiji cha Liganga, tulilitumia eneo hilo kwa ajili ya kufanya kilimo...
  15. Ruvuma: wajumbe wa mkutano mkuu watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu, wanakuwa ni mkoa wa 18 kati ya mikoa 31

    https://youtu.be/f1iGQkhTgC8?si=_WO3Xc6_s9UbYlff Huu Uchaguzi tayari umekwisha, Tundu Lissu ni mshindi kwa zaidi ya 80% huu ndio Ukweli, Kwa idadi ya wajumbe wanaomuunga Mkono Lissu ni wazi atashinda Uchaguzi huu kwa margin kubwa, Mjumbe usipotoshwe njia sahihi ni Tundu Lissu,
  16. Ruvuma: Mume na Mke mbaroni kwa tuhuma za kuiba mtoto wa miezi 11

    Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linawashikilia mume na mke, wakazi wa mtaa wa Mji Mwema manispaa ya Songea kwa tuhuma za kuiba mtoto mwenye umri wa miezi 11 (jina limehifadhiwa). Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Marco Chillya amesema tukio hilo limetokea Novemba 4, 2024...
  17. MNEC Ruvuma atoa msaada wa Chakula kwa wahanga wa maafa ya mvua

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma, Hemed Chale, ametoa msaada wa chakula kwa wahanga wa maafa yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha tarehe 28 Desemba 2024 na tarehe 2 Januari 2025 wilayani Songea, mkoani Ruvuma. Mvua hizo zilileta uharibifu mkubwa wa...
  18. Ruvuma: Ajali yaua Watu 6 wakiwemo Walimu 4 wa Shule moja

    Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wanasafiria kutoka kijiji cha Lumalu kata ya Upolo - Kilosa wilayani Nyasa kuanguka katika mteremko wa Chunya wilayani Mbinga mkoani Ruvuma. Waliofariki kati yao ni walimu wanne wa shule ya msingi Lumalu ya mkoani humo, Mfamasia mmoja na...
  19. M

    Ruvuma: Wananchi wa Kata ya Kilagano tunaendea kulima kwenye Hifadhi ya Mlima Lihanje sababu ahadi ya DC ya kutuhamisha imekuwa ‘ahadi hewa’

    Hifadhi ya Mlima Lihanje ni chanzo pia cha maji kwa Wakazi Kata ya Kilagano, Halmashauri ya Wilaya ya Songea. Pamoja na faida hiyo kuna uharibifu unaoendelea wa kuendesha shughuli za kilimo katika Mlima huo. Mkuu wa Wilaya ya Songea, Wilman Kapenjama Ndile alipotembelea eneo hilo Desemba Mwaka...
  20. M

    DOKEZO Ruvuma: Mpango wa TASAF Halmashauri ya wilaya ya Songea una shida, kuna mazingira ya ubababishaji

    Uamuzi wa Serikali kupeleka Mradi wa Kusaidia Kaya Masikini (TASAF) katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea ni uamuzi mzuri, wamefanya vizuri kupeleka mpango huo kwenye Halmashauri ila kuna changamoto kubwa kwa wasimamizi wa mfuko wamekuwa na utata sana kwa walengwa wanaopokea pesa kutoka TASAF...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…