ruvuma

Ruvuma River, formerly also known as the Rovuma River, is a river in the African Great Lakes region. During the greater part of its course, it forms the border between Tanzania and Mozambique (in Mozambique known as Rio Rovuma). The river is 800 kilometres (497 mi) long, with a drainage basin of 155,500 square kilometres (60,000 sq mi) in size. Its mean annual discharge is 475 m³/s (16,774 CFS) at its mouth.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    LGE2024 Ruvuma: Mkuu wa Mkoa Ahmed Abas ashiriki kwenye zoezi la kupiga kura Songea

    Leo Novemba 27,2024 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas akiwa ameongozana Mkewe Bi.Riziki kwa pamoja wameungana na Watazania Wengine kushiriki katika zoezi la kupiga kura za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika kituo Ofisi ya Kata Namba Moja kilichopo Mtaa wa Mahenge Manispaa ya Songea ...
  2. Waufukweni

    LGE2024 Ruvuma: Kapinga ataka Wananchi kujitokeza kwa wingi Novemba 27 kupiga Kura

    Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga anaendelea na kazi ya kuhamasisha Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma ili waweze kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka...
  3. Waufukweni

    Ruvuma: Aua mke wake kisa kunyimwa Unyumba

    Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya...
  4. Mzee wa Code

    NFRA itulipe Wakulima wa Mbinga (Ruvuma) tuliouza Mahindi, ukimya wao ni maumivu kwetu

    Mimi ni Mkulima kutoka Mbinga mkoani Ruvuma, nimekuja mbele yenu nikiwa na changamoto ambayo kwa imani yangu najua kupitia nyie naweza kupata msaada ambao kimsingi sio tu utanisaidia pekee yangu bali sisi sote wenye hii changamoto. Naomba sauti hii ifike kwa Wizara ya Kilimo na ngazi ya juu ya...
  5. Roving Journalist

    Pre GE2025 Ruvuma: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkoa wa Ruvuma. Umepewa jina kutokana na mto Ruvuma ambao ni mpaka wake wa kusini na Msumbiji. Umepakana na Ziwa Nyasa na Mkoa wa Morogoro upande wa magharibi, mikoa ya Iringa na Lindi upande wa kaskazini na Mkoa wa Mtwara upande wa mashariki. Makao makuu ya mkoa yako Songea mjini. Matokeo ya...
  6. Frustration

    Miezi 3 inaelekea NFRA hawajalipa mahindi mkoa wa Ruvuma kwa wakulima. Pia kodi kwenye malipo kuna kodi mkulima anakatwa

    Habari za asubuhi Watanzania wenzangu. Kwenye nchi hii kuna mambo yanaenda hovyo sana toka utoaji wa taarifa,maandalizi na mfumo mzima wa NFRA kama wakala wa chakula nchini. Ikumbukwe wakala huyu alijinabaisha kuwa sasa atajiongezea jukumu lingine la kufanya biashara na wakulima wa mahindi...
  7. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Waziri Ndumbaro atumia bajaji kuhimiza wananchi kujiandikisha Daftari la Mpiga Kura Songea

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Oktoba 15, 2024 Manispaa ya Songea ameendelea na zoezi la kuhamasisha wananchi wa manispaa hiyo kujitokeza kwa wingi katika vituo vya uandikishaji kwenye daftari la wapiga kura wa uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024. Katika...
  8. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Mahakama Kuu Kanda ya Songea yatoa mafunzo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mahakimu wa Mkoa wa Ruvuma

    Mahakama Kuu Kanda ya Songea imetoa mafunzo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa waheshimiwa mahakimu wakazi kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma. Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Huntlcub Ruhuwiko mjini Songea,yamefunguliwa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu...
  9. Roving Journalist

    Taarifa ya Jeshi la Polisi kutoka Mkoa wa Ruvuma

    Hali ya ulinzi na usalama Mkoa wa Ruvuma ni shwari, na ushwari huu umetokana na ushirikiano mzuri uliopo baina ya Jeshi la Polisi na Wananchi kuhakikisha jamii na mkoa kwa ujumla unaendelea kuwa salama. Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linapenda kutoa taarifa ya mafanikio ya doria, misako...
  10. Tlaatlaah

    Ruvuma na Songea wameonesha nguvu na ushawishi mkubwa wa CCM na Rais Samia!

    Itoshe kusema Ruvuma, Songea na viunga vyake wameidhihirishia nchi kwamba CCM ndio tegemeo la uongozi wa nchi hii, na Dr.samia Suluhu Hassan ndio tumaini pekee la uongozi wa juu nchini Tanzania kuelekea 2035. waTanzania katika makundi yao, wazee wa kimila, vijana na watoto, wakulima, wafugaji...
  11. JanguKamaJangu

    Serikali inatarajiwa kuanza ujenzi Daraja la Mkili na Mitomoni Mkoani Ruvuma

    Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni Daraja la Mkili lenye urefu wa mita 20 pamoja na Daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 ambalo litaunganisha Wilaya ya Nyasa...
  12. Roving Journalist

    LGE2024 Matukio Yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

    Mkoa wa Ruvuma umepewa jina kutokana na Mto Ruvuma, ambao ni mpaka wake wa kusini na Msumbiji. Mkoa huu unapakana na Ziwa Nyasa na Mkoa wa Morogoro upande wa magharibi, mikoa ya Iringa na Lindi upande wa kaskazini, na Mkoa wa Mtwara upande wa mashariki. Mkoa wa Ruvuma una majimbo ya uchaguzi...
  13. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuanza Ujenzi wa Daraja la Mkili na Mitomoni Mkoani Ruvuma - Waziri Bashungwa

    Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni Daraja la Mkili lenye urefu wa mita 20 pamoja na Daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 ambalo litaunganisha Wilaya ya Nyasa...
  14. Roving Journalist

    Kona katika Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay (km 66) Ruvuma

    Mwonekano wa barabara ya Mbinga - Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Ruvuma na kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Septemba 25, 2024. (📸 - Wizara ya Ujenzi)
  15. Cute Wife

    LGE2024 Ruvuma: Rais Samia asema wananchi wasifanye makosa Uchaguzi Serikali za Mitaa, rangi za kuchagua ni Njano na Kijani

    Wakuu, Kama Rais mwenyewe afanya kampenzi za uchaguzi wakati ambao sio stahiki, unategemea wanachama wenzake huko chini watafanya mambo tofauti? ==== Kafanyeni kweli kwenye serikali za mitaa. Zitakuja rangi nyingi kuwashawishi mpige kura lakini rangi yetu tunayoijua ni kijani na njano...
  16. Cute Wife

    Pre GE2025 Ruvuma: Naibu Waziri na Madiwani Mbinga wamshukuru Rais Samia kwa kuimba na kupiga magoti

    Salam Wakuu, Aisee tunawasema akina Mwijaku kila mara kuwa chawa utafikiri hawana ubongo, kubwa zaidi ni viongozi wa CCM. Aisee, na Rais anashukuru kabisa, kukubali yeye kajenga miradi, yeye katoa hela, etc. Bila wananchi kulipa kodi zingtoka wapi? Pia soma...
  17. J

    Akina Mama kushukuru kwa kugalagala chini ni Mila ya Mikoa ya Mbeya, Ruvuma, Mtwara na Lindi hivyo Kaskazini msiteseke!

    Baada ya waziri Mhagama kugalagala mbele ya Mpendwa Wetu Mh Rais Samia akimshukuru kwa misaada ya miradi jimboni wako Watu wameshangaa Sasa kwa taarifa yenu hiyo ni Mila ya Kawaida Kabisa kule Mbeya, Ruvuma, Lindi na Mtwara Mlale Unono 😀🌹
  18. L

    Tizama Katika Picha Namna Watu walivyofurika Maelfu Kwa Maelfu Kumlaki na kumsikiliza Rais Samia Mkoani Ruvuma

    Ndugu zangu Watanzania, Muwe mnaelewa na kukubali ukweli kuwa hakuna mtu anayekubalika na kuaminika kwa sasa kumpita Rais Samia katika uwanja na ulingo wa siasa .Tukubali kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake kwa sasa katika kuongoza muhula wa pili.tukubali ukweli kuwa CCM inapaswa kuchapisha Fomu...
  19. and 300

    Ruvuma hatuandamani

    Ruvuma tuandamane ili tupate nn? 1. Songea Mjini, Tunduru, Peramiho, Mbinga, Nyasa kote ni kijani. 2. Mbolea, Pembejeo ruzuku kama zote. 3. Lami mpaka ziwa Nyasa .
  20. Venus Star

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, ameongoza kikao muhimu na wamiliki wa hoteli mkoni humo

    Septemba 22, 2024, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, aliongoza kikao muhimu na wamiliki wa hoteli mkoani Ruvuma. Kikao hiki kilifanyika kama sehemu ya maandalizi ya kuimarisha sekta ya utalii, hasa wakati huu ambapo mkoa unasherehekea Tamasha la Tatu la Kimataifa la Utamaduni...
Back
Top Bottom