Samia Ruvuma tumekukosea Nini?
Hili swali Nilimuuliza magufuli na Leo na kuuliza wewe. Tumekukosea Nini? Wewe na serikali yako hawa wangoni, wayao, wandendeule na wamatengo wamekukosea Nini? Inakuwaje hivi licha ya upendo wote tunaowapa wewe na chama chako?
Hivi unajua kwenye huu mkoa...