ruvuma

Ruvuma River, formerly also known as the Rovuma River, is a river in the African Great Lakes region. During the greater part of its course, it forms the border between Tanzania and Mozambique (in Mozambique known as Rio Rovuma). The river is 800 kilometres (497 mi) long, with a drainage basin of 155,500 square kilometres (60,000 sq mi) in size. Its mean annual discharge is 475 m³/s (16,774 CFS) at its mouth.

View More On Wikipedia.org
  1. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma imekuwa ya ndugu wa Madaktari, Manesi na Washkaji zao

    Hospitali hii imekuwa ya ndugu wa madaktari, manesi na washkaji zao.. Tangu afe Magufuli huduma za hospitali Rufaa Mkoa wa Ruvuma zinatolewa kwa kujuana sana, ndugu wa watoa huduma hospitalini madaktari na manesi pamoja na washkaji zao wao kwa wao wanaingia na kutoka sisi wengine tumekaa tu...
  2. Ruvuma: Wazazi waliomuozesha mwanafunzi kwa Tsh. 30,000 waomba radhi

    Familia ya wazazi waliomuozesha mwanafunzi wa kidato cha tano kwa mahari ya shilingi elfu 30 wilayani Tunduru - Ruvuma wameungana kuomba radhi ili Serikali iwasamehe kwa kitendo walichokifanya kwa madai kuwa walikuwa hawajitambui. Pia Soma: Mwanafunzi wa Kidato cha Tano aolewa kwa Tsh. 30,000...
  3. B

    Joining Instructions ya Form Five Sekondari ya Masonya, Ruvuma

    Ndugu zangu mwenye join instructions za kujiunga kidato cha tano shule ya sekondari MASONYA iliyopo RUVUMA anisaidie tafadhali. Nimetazama kwenye website ya wizara hakuna info yoyote. with much thanks in advance
  4. Lori lililoibwa Ruvuma lapatikana Njombe

    Lori aina ya Howo, Tiper lenye namba za usajili T 459 EBX, mali ya kampuni ya CRCG inayojishughulisha na uchimbaji wa makaa ya mawe, lenye thamani ya Tsh. Mil. 150/=, lililoibiwa mkoani Ruvuma, limepatikana katika Kata ya Ramadhan iliyopo mkoani Njombe. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Mkoa wa...
  5. DOKEZO Barabara nyingi zinazounganisha Vijiji vya mkoa wa Ruvuma hazipitiki kipindi Cha mvua

    Kipindi cha mvua barabara nyingi zinazounganisha Vijiji vilivyopo Mkoani Ruvuma hazipitiki kirahisi na zingine hazipitiki kabisa. hali inayopelekea wanakijiji wengi kusafirisha mazao yao kwa shida toka eneo moja kwenda eneo lingine. Inayoonekana katika picha ni barabara iliyopo katika Kata ya...
  6. Jackline Ngonyani: Nashauri mchakato wa Twiga Cement kuinunua Tanga Cement uanze upya

    Mhe. Jackline Ngonyani, Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma Mhe. Jackline Ngonyani, Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na...
  7. Ujenzi wa uwanja wa Michezo wa Nyasa Mkoani Ruvuma kuanza hivi Karibuni

    Wananchi na viongozi wao wa Wilaya ya Nyasa wameamua kushirikiana kwa pamoja ili kuhakikisha ujenzi wa uwanja huo wa Michezo unakamilika kwa wakati. Ukanda wa ziwa Nyasa umebarikiwa kuwa na vipaji vya kweli vya mpira lakini wanakosa daraja la kupitia kwa hoja ya kuendelezwa.
  8. Ujenzi wa Reli ya Dar - Ruvuma unaopangwa utafaa sana. Uanze mapema

    Nimesoma kwenye Ripoti ya Ukaguzi ya CAG Kichere. EXTRACT YA RIPOTI INASEMA "Kampuni ya Reli Tanzania (TRC) kama wakala wa utekelezaji wa mradi, iliingia makubaliano na mkandarasi mshauri kwa mkataba Na. PA/003/2013-13/C/15 kwa ajili ya upembuzi yakinifu na muundo wa awali wa ujenzi wa reli...
  9. Ruvuma: Mtatiro amwakilisha Kanali Labani Elias Thomas, Ibada Takatifu ya Ijumaa Kuu

    IBADA YA KITAIFA YA IJUMAA KUU - MMOMONYOKO WA MAADILI Jana katika Ibada Kuu ya Kitaifa ya Ijumaa Kuu iliyoadhimishwa hapa KIUMA, kata ya Matemanga - Tunduru, nilipata wasaa wa kutoa salamu za Serikali ya Mkoa wa Ruvuma, nikifanya hivyo kumwakilisha Mhe. RC wa Ruvuma, Kanali Labani Elias...
  10. DOKEZO Ruvuma: Nguzo za Daraja la Mto Muhuwesi zadaiwa kufikisha miaka minne bila kufanyiwa marekebisho

    Hizi picha hapa chini zinadaiwa ni za daraja la mto Muhuwesi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma. Inadaiwa kwamba inakaribia mwaka wa nne sasa tangu nguzo zake zicheze na halijafanyiwa marekebisho hivyo inalazimika gari zote zipite upande mmoja. ====== UPDATES ======= Ufafanuzi wa Mkuu wa Wilaya...
  11. Naomba ushauri kuhusu kilimo cha miti Mkoa wa Ruvuma

    Wakuu salaam. Niende moja kwa moja kwenye mada. Iko hivi am about 36 now na kila nikiwaza after 20 years nitakuwa na maisha gani kwa maana kiuchumi, sipati jibu sahihi. Pia kila nikiwaza hivi viumbe ninavyoendelea kuvifyatua (na of course speed yangu nzuri) wakikua watakuta nini cha kujivunia...
  12. Mbunge Mhe. Msongozi - Atoa Misaada ya Cherehani 60, Mbegu za Soya, Majiko ya Gesi 106 na Vifaa Tiba Ruvuma

    MHE. JACQUELINE MSONGOZI - ATOA MISAADA YA CHEREHANI NA VIFAA TIBA VITUO VYA AFYA MKOA WA RUVUMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma na Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Jacqueline Ngonyani Msongozi amefanya ziara ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kwa vitendo...
  13. Tunduru: Ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumlawiti Mtoto wake wa miaka minne

    Mkazi wa Kijiji cha Namiungo, Wilaya ya Tunduru, Mohamed Saudi Ngwelekwe mwenye umri wa miaka 25 amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia kumlawiti mwanaye wa kumzaa mvulana wa miaka minne. Mtuhumiwa Mohamed Saudi Ngwelekwe ambaye kwa sasa ameanza kifungo chake Hukumu...
  14. M

    Ruvuma: Wazazi wamuua mtoto wao ili wapate utajiri

    Baba wa kambo na mama mzazi wanashikiliwa na polisi Ruvuma kwa tuhuma za kumuua na kumfukia kwenye shimo la takataka mtoto wao wa miaka 6 aitwaye Paul Haule huku sababu zikiwa ni imani za kishirikina ambapo wamesema wamefanya mauaji hayo wakiwa na nia ya kupata utajiri. Tukio limetokea katika...
  15. Ruvuma: Wazazi 763 wakamatwa kwa kutopeleka Wanafunzi waliofaulu Shuleni

    Idadi hiyo imefikiwa baada ya msako wa nyumba kwa nyumba uliofanywa na Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro, kutokana Wanafunzi wengi wa Darasa la Kwanza na Kidato cha Kwanza kutoripoti Shuleni. Maeneo mengi Nchini yamekuwa na mwitikio wa kusuasua kwa Wanafunzi waliofaulu kuripoti Shuleni...
  16. Sikuwahi kujua kuwa CCM inamiliki na Migodi

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza. Sikuwahi kujua kuwa sisiemu inamiliki na Migodi.. Je kuna Migodi mingine ambayo Chama tawala kinamiliki? Na huu Mgodi jina lake unaitwaje? Angalia video hii inayomuonesha waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa akitembelea mgodi wa makaa ya mawe uliopo Mdunduwalo...
  17. K

    Utekelezaji: Shule ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ruvuma

    Mwonekano wa Ujenzi wa Shule mpya maalum ya Sekondari ya Bweni na sayansi ya Wasichana katika Mkoa Ruvuma kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita iliyosajiliwa rasmi kwa jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan inayojengwa katika Halmashauri ya Wilaya Namtumbo. Ujenzi wa shule hiyo Mpya unatekelezwa...
  18. Ruvuma: Kakakuona aonekana Feo Girls

    Mnyama Kakakuona ameonekana katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Feo, mkoani Ruvuma, huku baadhi ya wanafunzi wakiwemo wanaofanya mtihani wa kidato cha nne, wakifurahia kutokea kwa mnyama huyo, wakiamini ni neema kubwa kutokana na tabia za mnyama huyo.
  19. Huu ni mfano wa kuigwa. Raia wema wasalimisha silaha haramu huko Ruvuma

    Kamanda wa Polisi Mkoa Ruvuma ACP MARCO CHILYA akionesha baadhi ya silaha zilizosalimishwa na raia wema baada ya Notisi ya msamaha wa usalimishaji wa silaha kwa hiari zinazomilikiwa kinyume cha sheria.
  20. Ruvuma: Wazee wadai kunyimwa dawa Hospitali ya Wilaya

    Umoja wa wazee Wilaya ya Mbinga Mkoa wa Ruvuma, umewasilisha malalamiko yao kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Laban Thomas wakiwatuhumu wahudumu wa Hospitali ya Wilaya hiyo kwa kuwanyima dawa, licha ya kutengewa dirisha lao katika hospitali hiyo. Mkuu wa Mkoa Laban Thomas ametoa agizo kwa Mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…