Kama hawa wabunge wanaoitwa COVID -19 ni haramu ni kwa nini Chama kinapokea (kama kinapokea) ruzuku inayotokana na watu haramu wanaovunja ibara ya 78(e) ya Katiba ya JMT inayotabanaisha kuwa ili mtu awe mbunge ni lazima atokane na chama cha siasa?
Bila shaka hii ni danadana tu ilihali akina...
Wanabodi.
Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.
Mbowe...
Nakubaliana kabisa na Spika Ndugai kwamba hoja nyingine za uchaguzi ni ndogo ndogo lakini zinakuxwa tu.
Mfano Chadema wamepata hati safi lakini kuna zaidi ya tsh milioni 300 CAG amedai zimetumika bila kufuata utaratibu.
Maana yake ni kwamba fedha hizo hazijaibwa ila taratibu tu za kuhalalisha...
Taarifa hii ni kwa mujibu wa taarifa ya uchambuzi wa ACT Wazalendo wa taarifa ya CAG ya mwaka 2019/2020.
Je, hili shirika halijageuka "mchwa" kwa watanzania?
Hivi viongozi wa nchi hii wanaohusika na ufanyaji wa maamuzi wako mentalily fit na zaidi wako comfortable na hali hii?
Halafu bado...
Katika utafutaji wa fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo (grant support for community projects), vyanzo mbalimbali huweza kutumika, vyanzo hivyo hujumuisha;
Taasisi Binafsi (Private Foundations) mfano; Foundation for Civil Society, Women Fund Tanzania n.k.
Taasisi za Kifamilia...
Wadau wa JF na Wazalendo,
Hivi karibuni zimeibuka habari zinazochanganya sana. Maana gazeti la mwananchi lilichapisha habari likionyesha kuwa CHADEMA wanatakiwa kupata ruzuku mil 104 hii ni sababu wana wabunge 20 bungeni.
Mara ghafla tukapata taarifa kuwa hawapokei ruzuku na wala hawana mpango...
Kuna taarifa kuwa kutokana na ruzuku kupungua wafanyakazi wengi wa CHADEMA watapunguzwa kazi moja wapo watakapopunguzwa ni wanaoitwa non core staff yaani wafanyakazi wa ofisi ambao sio wanasiasa kama wahasibu,Madereva,maafisa mbalimbali nk waglfanyakazi hawapingi kupunguzwa ila tatizo...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Ndg Tundu Lissu amesema, chama hakijapokea ruzuku yeyote toka serikalini na kama kuna mtu ana ushahidi kuwa wamepokea basi auonyeshe, kaongeza kusema, fedha za ruzuku kwa vyama vya siasa ni chanzo kimoja tu cha mapato ya chama, kuna vyama havina ruzuku lakini...
Ni mengi yameletwa hapa jukwaani kwa muda mrefu na kwa awamu tofauti tangu zama za utawala wa Mr. Clean a.k.a Ben Mkapa ambapo jukwaa hili lilianza rasmi likijulikana kwa jina la @JamboForums.
Alipoingia Mkwere a.k.a Jakaya Kikwete, naye aliendelea kupitia pitia
JamiiForums ambapo mengi...
Ule usemi wa kuwa boss hanuniwi unaendelea kudhihirika ndani ya Chadema. Ambao walisema hawautambui uchaguzi hivyo chochote wanachopata kutokana na uchaguzi huo hawatakipokea.
Lakini kwenye pesa imekuwa tofauti kwani hivi sasa wanawinda 109M kila mwezi toka November na hawajazikataa.
===
Miezi...
Kwanza kabisa nitoe pongezi za awali kama ni kweli CHADEMA haijagusa ruzuku itokanayo na wabunge 19 wa viti maalumu kwa kuamini wale siyo wabunge halali.
Hapo CHADEMA inaweza kujitofautisha na ACT wazalendo kwa ukomavu na kujiamini.
Maendeleo hayana vyama!
Siasa Ni mkakati, siasa ni kujua mapungufu ya mpinzani wako, siasa safi nikuweka wananchi mbele nakuzika matamanio binafsi kwa mgongo wa itikadi.
Tangu chadema watoe tamko lakuwafukuza viongozi na wanachama 19 mashambulizi toka ACT na CCM yamekuwa mengi sana.
Hakuna linalofanywa bila kuitaja...
Nimeshuhudia humu mitandaoni makamanda wakimshambulia sana Zitto Kabwe kufuatia chama chake kujiunga na SUK huko visiwani Zanzibar.
Kigezo ni kwamba CHADEMA na ACT-Wazalendo hawayatambui matokeo ya uchaguzi mkuu na wao wanaita "uchafuzi"
Wanachosahau makamanda wa CHADEMA ni kuwahoji viongozi...
Kwangu mimi huu naona unaweza kuwa ni mtego unaofuata kwa CHADEMA ambapo chama kinaweza kupewa ruzuku kwa kigezo cha kuwa na wabunge wa viti maalamu katika Bunge hili la sasa unless utaratibu unaotakiwa kufuata hauruhusu mbinu hii kutumika (unaweka mazingira magumu).
Kwahiyo, kama ni swala la...
Kwanza nawapongeza CHADEMA kwa kuwatendea haki Wanawake wa Tanzania kwa sababu viti vile ni mali yao siyo ya chama.
Pili shughuli za uendeshaji wa chama zinahitaji fedha na wabunge 19 ni mtaji mzuri wa kutunisha mfuko wa ruzuku.
Tatu na mwisho CHADEMA HQ msiwasikilixe hawa makamanda wanaopiga...
Najiuliza sana na sipati jibu hivi kwa pigo hilo itakuwaje CHADEMA bila ruzuku itabaki moja tena!
Ni kwa namna ipi itapata pesa za kulipa mishahara watendaji wake wa ngazi mbalimbali?
Je, kama CHADEMA ilikuwa ikitegemea pesa ya ruzuku kuendesha mambo mengi/yake sasa itakuwaje?
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha UPDP, Twalib Kadege, amesema kuwa ikiwa Watanzania watampa ridhaa ya kuongoza nchi watahakikisha vyama vyote vinapata ruzuku kipindi cha Kampeni ili waweze kuendesha shughuli za Kampeni, pasipo kujali kama Vyama hivyo vitakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.