Rais Ruto wa Kenya amesema hatoendelea kutoa ruzuku ya unga na badala yake atasaidia wakulima wadogo na wakubwa kufanya uzalishaji ambao utapunguza bei ya bidhaa hizo.
Bei ya unga nchini Kenya ilipanda sana kutokana na vita vya Ukraine na Urusi ambapo serikali chini ya Rais Uhuru Kenyata...
Bei mpya kuanzia leo kwa Petroli inayotumiwa zaidi na magari mengi binafsi ni Tsh. 3,468,45 kwa lita kutoka Tsh. 3,100.29, huku Dizeli ambayo hutumiwa na wasafirishaji na viwanda ni Tsh. 3,197.17, Mafuta ya Taa ni Tsh. 2,867.77
Haya yanajiri baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa utawala...
Wizara ya Kilimo imethibitisha uamuzi huo huku ikitaja sababu kuwa ni kuzidiwa na malimbikizo ya madeni yaliyopelekea wafanyabiashara wa kati kulipwa mamilioni ya pesa huku wauzaji reja reja wakikosa zabuni.
Wasagishaji Unga wamelalamikia uamuzi huo unaoanza leo Septemba 2,2022 wakidai kuwa...
Leo nilienda kujiandikisha ili na mimi niwekatika ule mpango wa mbolea hiyo ya RUZUKU
Maajabu afisa mtendaji akaniambia mimi sistahili kuwa katika mpango huo kwani najiweza sababu namiliki ekari 20
Hivyo waliolengwa ni wale wanaomiliki ekari 3 kushuka chini
Swali langu kwa Waziri wa Kilimo...
Jitihada kadhaa zenye lengo la kuiinua sekta ya kilimo zimewahi kufanywa na serikali za awamu zilizopita lakini bado hazikufanikiwa kwa kiasi kikubwa. Moja ya iliyokuwa changamoto kubwa katika sekta ya kilimo ni mfumuko wa bei za mbolea nchini. Bei ya mbolea imekuwa ikipanda maradufu na...
Wakenya watalazimika kuanza kununua Unga kwa bei ya juu baada ya serikali kusimamisha Mpango wa Kitaifa wa Ruzuku ya Unga wa Mahindi kutokana na uhaba wa fedha
Waziri wa Kilimo, Peter Munya kupitia taarifa yake leo amethibitisha hilo kwa maelezo kuwa Hazina ya Taifa haijatoa pesa za Ruzuku...
Utashangaa kiukweli hii inaonyesha ni Kwa namna gani serikali inawasikiliza watu wake hasa katika kuhakikisha inawapunguzia makali wakulima kutokana na hali ya kupanda kwa bei za mbolea katika soko la dunia si Tanzania pekee bali ni ulimwenguni kote. Zipo sababu kadhaa zilizosababisha bei...
Ziara ya Rais Samia Suluh Hassan Mkoani Njombe, kijiji cha Mtwango.
Waziri wa Kilimo Mh. Hussein Bashe ametoa uhakika wa upatikanaji wa mbolea kwa bei ya ruzuku hata kwa wakulima ambao hawatakuwa wamesajiliwa baada ya muda huo kufika. Hii inatoa ahueni kwa wakulima waliokuwa na wasiwasi juu ya...
Wakati wa mchakato wa rasimu iliibuka hoja ya serikali tatu, Dr. Shein akiwa rais wa Zanzibar wakati huo alikuwa miongoni mwa watu walipinga Kwa madai mapato ya Zanzibar ni kidogo hivyo isingemudu gharama za uendeshaji serikali ya muungano.
Leo taarifa ya habari imetangaza hatua ya serikali ya...
Rais Samia Suluhu Hassani amezindua rasmi mpango wa ruzuku ili kukabiliana na bei ya mbolea nchini ambao baada ya ruzuku hiyo, mkulima atanunua kwa bei ya chini kama inavyoonekana ktk jedwali.✊🏿
Tangu aingie madarakani, Rais Samia amefanya jitihada kadhaa kwa ajili ya kuhakikisha kuwa sekta ya...
Nasikitika nilichogundua Ugumu wa maisha siyo kwa wote
Kuna wengine kama wale wanawekewa mafuta kwenye gari serikali ,wanaletewa vyakula nyumbani na serikali
watoto wanasomeshwa na serikali ,hawa wakisikia mafuta kupanda bei wanaona kama hadithi tu.
Nchi isingepitiwa na bahari hii ingekuwa...
Serikali imetenga Bil 150 kugharamia ruzuku ya mbolea itakayotolewa kwa wakulima nchini kwa ajili ya kupunguzwa makali ya bei ya mbolea. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua mpango wa utoaji wa ruzuku ya mbolea katika kilele cha maonyesho ya Nanenane, yatakayofanyika mkoani Mbeya...
Imenikera! Tena imenikera kweli kweli! (In dikteta's voice). Wakulima tunaishi nchi hii kana kwamba hatuna serikali. Hakuna anayetujali kwa chochote Wala kwa lolote.
Hatukopesheki, hatuna bima ya afya na idadi yetu haijulikwni. Na waliofikisha umri wa miaka 60 (umri wa kustaafu) bado wanalima...
Wakati Tanzania tunapata unafuu wa Bei za mafuta kupitia ruzuku lakini Rais Museveni wa Uganda amesema ruzuku haisaidii lolote.
Uganda wameanza Mfumo wa kuyabadili magari yaanze kutumia Umeme.
Rais Museveni alikuwa akichangia nada kwenye kikao cha wakuu wa nchi za EA.
Chanzo: ITV Habari
Nakumbuka miaka ya nyuma wakati serikali ikinunua mahindi, ilikuwa ukipita njia ya kati, kuanzia pwani mpaka singida yalikuwa mashamba ya mahindi.
Baada ya Serikali kusua sua katika kununua mahindi, mashamba hayo yamepotea.
Mbali na serikali kutoa ruzuku kwenye mbolea bado mashamba haya...
EWURA imetangaza bei mpya za mafuta Tanzania kwa mwezi July. Ni bei kikomo na bei elekezi.. Maumivu ni kwamba mafuta yamepanda tena bei, kwa hiyo vilio zaidi vinakuja.
Hapa kuna kitu cha kushangaza mno kuhusu serikali yetu, na watu inaowaamini katika kutoa maamuzi...Hivi kuna haja gani ya kutoa...
Kijana mmeba box nikipata nafasi ya kupumzika huwa napitia sana mitandaoni si unajua huku hauli bila kazi, kilichonishangaza ni update za Vijana waliopo Tanzania wakishangilia ubabe wa Putin na story kuhusu uharibifu wa Putini. Nikajiuliza Vijana hawa wanafahamu balaa lililopo mbele Yao hawa...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akitoa hoja ya kuahirisha mkutano wa saba wa Bunge la 12 la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Katika mengi aliyoyazungumzia mimi nimefurashishwa na kitendo cha...
Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi, kumekuwa na utaratibu wa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa. CCM imekuwa ikichukua lion's share. Hapohapo mkulima wa Tanzania anayezalisha chakula hapati ruzuku ya pembejeo. Kati ya mkulima na vyama vya siasa nani anastahili ruzuku?
Salama wandugu,si ajabu zile billion zilizotolewa kwa ajiri ya kupunguza Bei za mafuta tusione manufaa yake tutashangaa Vita Ukraine imeisha na Bei ya mafuta ipo palepale na billions zetu zimetumika na wajanja nimeamua kuja hapa baada ya kuona Hali ni tete kwenye usafiri wa umma wameanza mwendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.