Hawa Ewura naona wanamkakati wananchi tutembee kwa miguu katika shughuli zetu za kila siku.
Pamoja na gharama za maisha kuwa juu bado bei ya mafuta imepanda kwa Tshs. 149 kwa lita.
Mafuta ni bidhaa muhimu sana katika uchumi wa nchi hivyo kama yakipanda bei basi ni mara moja tu madhara yake...
Afisa Kilimo kutoka kata ya Milola halmashauri ya manispaa ya Lindi ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kula fedha kiasi cha shilingi Milioni 5 za mahindi ya ruzuku kwa wananchi wa kijiji cha Milola B.
Mkuu wa Wilaya ya Lindi Shaibu Ndemanga amekiri juu ya kutiwa mbaroni kwa afisa kilimo huyo akisema...
Ninavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora
Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea
Bashe ajipime kama anatosha!
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameongoza zoezi la Upandaji miti katika Kijiji cha Ijoka, Kata ya Mpombo Halmashauri ya Busokelo ikiwa ni hatua muhimu ya kulinda vyanzo vya maji, kudumisha uoto wa asili, na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Jumla ya miti 1000 imepandwa leo...
Kwa bei hii ya vyakula unga, Michele, maharage ni kwamba ruzuku haijafanya lolote kumnufaisha mtanzania mlipa kodi wa mbagala Dar es salaam.
Wafanyabiashara wachache na wakenya ndio wanaofaidika wa ruzuku hiyo.
Taarifa ya habari Leo kwenye vyombo mbalimbali waziri wa kilimo amesema msimu huu kulikuwa na changamoto ya usambazaji wa mbolea.
Hivyo, msimu ujao watawatumia/watatumia vyama vya ushirika. Ni jambo jema kabisa.
Mimi nilikuwa ninawaza hivi hawawezi kuwatumia JKT?
JKT inahusika na Shughuli za...
Katika kipindi cha miaka 30 ya vyama vingi, tumetumia mabilioni ya pesa za walipa kodi ili kusaidia vyama ambavyo vingine haviko tena mitaani. Vingine vipo kama maboya tu ya kupitishia ajenda za watawala. Kwa umri huu vyamna hivi vinatakiwa vijisimamie. Ni aibu kuendelea kuwa na wacheza siasa...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano, Januari 4, 2023 huku bei ya dizeli ikiendelea kupaa.
Katika taarifa hiyo iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Modestus Lumato imeonyesha kuwa katika jiji la Dar es...
Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Mhe Mathayo Maselle amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa bilioni 150 kwa ajili ya mbolea ya ruzuku ili iwafikie wakulima lakini kwa makusudi na kwa uzembe mkubwa uliofanywa na watendaji wa serikali kuhujumu jiitihada za Serikali kwa za utoaji wa mbolea ruzuku
'Kwa...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli (EPRA) Daniel Kiptoo amesema #RuzukuyaSerikali ya 15% itasitishwa rasmi Desemba 31, 2022 na hivyo watumiaji watalazimika kulipia ongezeko hilo.
Wanaotumia Uniti 50 kwa mwezi walikuwa wakilipa Tsh. 17,794, wanaotumia uniti 200 walilipa...
KUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elimu kata pamoja na ruzuku za shule Kwa kipindi cha Mwezi Novemba na Decemba 2022.
Hali hii imekwenda mbali...
Wakulima wa Tarafa ya Kiwanja, Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wamelalamikia uhaba wa mbolea na pembejeo za ruzuku.
Wakizungumza haya Novemba 28, 2022 wakati wakizungumza na mwandishi wa habari hizi ambapo wamedai kuwa katika maeneo yao mpaka sasa hakuna mawakala wa pembejeo licha...
Niko pwani, eti nikitaka mbolea ya Ruzuku niifate Dar? Na unatonywa kisiri siri?
Mbolea inakaaje kwenye magodauni ya Dares alam ili hali inapaswa ikatumike Kwa wakulima waliolo Pwani?
Mh msatasfu Rais Kikwete ni mkulima mwenzangu, Je yeye kweli anachukulia mbolea Dar badala ya huku kwetu...
Mzee wa miaka 70, Bw.Seif Mwangaeka mkazi wa Kijiji cha Mkurumusi, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, amefariki dunia akiwa kwenye kituo cha kuuzia mbolea ya Ruzuku cha Kigonsera na kusababisha kituo hicho kufungwa kwa siku moja kuomboleza kifo hicho.
CHANZO: ITV
Kigoma wanaishije lakini?
Nimeshuhudia kupitia ITV habari Wakulima wanalalamikia mbolea ya Ruzuku wanaifuata mjini na wakifika wanakaa foleni zaidi ya Siku tatu ndio unauziwa
Ndio najiuliza Kigoma ni Tanzania kweli?
Wabunge wanaendelea kujadili ripoti ya CAG Bungeni wabunge wengi wmeonekana kulalamikia ubabaishaji mkubwa uliopo kwenye mfumo wa utoaji wa ruzuku ya mbolea huku wengi wakidai utaratibu huo unawanufaisha matajiri huku wakulima wakiendelea kulia.
Mbunge Condescha Sichalwe na Vita Kawawa...
RAIS SAMIA AMWAGA MABILIONI YA FEDHA ZA RUZUKU YA MAENDELEO JIMBONI LUDEWA- NJOMBE.
"Asante sana Mhe. Rais Samia Samia Suluhu Hassan kwa Fedha nyingi za Ruzuku ya Miradi ya Maendeleo kwenye Jimbo letu la Ludewa. Haijawahi kutokea fedha kuletwa mapema hivyo kabla ya msimu wa mvua kuanza, hii...
Ombi kwa mheshimiwa Raisi Mama Samia.
Mpango wa mbolea ya ruzuku ni mzuri sana na wenye tija kama utatekelezwa kwa wakati. Serikali yako imesikiliza kilio cha wakulima cha muda mrefu. Hongera sana.
Pongezi pia ziwafikie washauri wako na wazira ya kilimo kwa ujumla.
Mpango huu umeanza kuwa...
Msimu wa kilimo 2022/2023, serikali imekuja na mfumo wa mbolea za ruzuku, ambapo mkulima ni lazima ajisajili kwenye madaftari ya wakulima yaliyosambazwa kote vijijini.
Changamoto kubwa iliyojitokeza ni wakulima wengi kutopata namba ambayo wanatakiwa kwenda nayo kwa wakala ili wakamilishe malipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.