Ni lazima viongozi wote wabadilishe namna ya kufikiri, haiwezekanu miaka 60 ya uhuru serikali imekazana kujenga madarasa tu na vyama vya siasa vimejikita kwenye kusaka ruzuku.
Mfano CHADEMA badala ya kuja na sera mbadala za maendeleo wao wanachangishana hela za kuwapa familia za makomandoo...
Mkosoaji wa utawala wa Rais Paul Kagame aliyejizolea umaarufu mkubwa kutokana na video zake kupitia mtandao wa Youtube amehukumiwa miaka 15 jela mjini Kigali.
Yvonne Idamange mwenye umri wa miaka 42 na mama wa watoto 4, hakuwepo katika korti hiyo mjini Kigali wakati hukumu hiyo ikitolewa...
Nimesikia Jeshi la Rwanda limeenda Msumbiji na limefanikiwa kurejesha miji iliyokuwa imemilikiwa na waasi huko msumbiji ila katika historia kuna ukweli kwamba kuna majeshi yalisha kwenda huko kupambana na waasi bila mafanikio ya kurejesha miji hiyo.
swali ni Je, Rwanda inatupa ujumbe gani sisi...
CCM KUWEKA MISINGI MADHUBUTI KUENDELEZA SANAA NCHINI
Dar es Salaam
25 Septemba, 2021
Akizungumza kupitia jukwaa la wasanii liloandaliwa na kampuni ya Marketing Africa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema serikali ya CCM itaendelea kuweka misingi Imara ya...
Rwanda imesifiwa kufikia lengo la dunia ambapo kila nchi itapaswa kuchanja walau 10% ya watu wake na hivyo imeondolewa katika orodha ya nchi zilizokuwa katika orodha nyekundu ya kuingia Nchi za Ulaya
Rwanda ilipokea dozi milioni 3.4 za chanjo na kuanzia mwezi Agosti hadi Septemba 24...
Rwanda imelegeza masharti waliyoweka katika kudhibiti maambukizi ya #COVID19. Baa zitafunguliwa na mikusanyiko itaruhusiwa
Watakaoruhusiwa kuwepo kwenye mikusanyiko kama sherehe na maonesho ni watu waliopata chanjo pekee. Hatua hizo zitaanza kutekelezwa Septemba 23
Hatua hiyo imefikiwa baada...
Hapa katika uzi huu nakupa Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika.
Zipo nyumba nyingi, so angalia ktk comment kuona zaidi
Paul Rusesabagina aliyeonyeshwa kama Shujaa katika filamu kuhusu mauaji ya kimbari ya 1994 amekutwa na hatia katika Mashtaka yanayohusiana na ugaidi.
Anatuhumiwa kuwa mfadhili wa kundi la waasi ambalo lilifanya mashambulizi Nchini Rwanda na kuua Raia kadhaa mwaka 2018.
Familia ya Rusesabagina...
Revocat Karemangingo luteni wa Jeshi la Rwanda aliyepinduliwa 1994 na majeshi ya Kagame aliuawa juzi kwa kuvamiwa kwenye gari lake akiendesha kurudi nyumbani kwake kwa kupigwa risasi 9. Alikuwa uhamishoni kama mkimbizi Maputo msumbiji..
Alikuwa Mfanyabiashara na muweka hazina katika chama cha...
Najaribu kuunga dots kuwa huenda baada ya Kagame kupeleka wajeda wake kule Msumbiji ndio chanzo cha ziara ya siku kadhaa ya bwana Mabeyo pale Kigali
Mods tafadhali msiufute huu uzi maana hauna maudhui yoyote mabaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.