Muandaaji wa mashindano ya urembo Nchini Rwanda ambaye pia ni mwanamuziki wa zamani anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono.
Dieudonne Ishimwe ‘Prince Kid’ alishikiliwa na Idara ya Upelelezi ya Rwanda (RIB), Aprili 26, 2022.
Ofisa Msemaji wa RIB, Thierry Murangira...
Wheel loader pekee iliyokuwa inafanya shughuli ya kupakia shehena ya clinker kuelekea Rwanda imeharibika tena tokea majuzi na operation ya kupakia shehena ya clinker imekwama hali iliyosababisha msongamano mkubwa wa maroli bandarini hapo.
Ikumbukwe wheel loader lile lilianza kuharibika tokea...
Mahakama Nchini humo imemhukumu Mfanyabiashara ambaye ni Raia wa China kifungo cha miaka 20 gerezani baada ya kurekodiwa akimpiga Mwananchi mwaka 2021
Sun Shujun alikuwa anakabiliwa ya Mashtaka ya kupiga Wafanyakazi wake waliokuwa wanatuhimiwa kwa wizi, ambapo katika video iliyorekodiwa...
Serikali ya Uingereza imekosolewa maamuzi yake ya kutaka kuwahamisha wakimbizi kutoka nchini humo na kuwapelekea Rwanda ikioneana ni kama inafanya biashara ya kuuza watu.
Uingereza imeingia makubaliano na Rwanda kuhusu maamuzi hayo ambapo safari hiyo ya kilometa 6,000km itawahusu wote...
Kwa hili Rwanda nawapongeza sana, zile kelele za alfajiri zinakera sana.
Hii ni Taharifa ya BBC...
Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo...
Rwanda imeingia mkataba wa poundi takribani milioni 150 ili ipokee wakimbizi haramu watakaodakwa nchini UK.
Mpango aina hii muasisi ni Macron wa France. Yéyé aliingia mkataba na Libya. Pamoja na kuhamishiwa wakimbizi haramu Toka France Kwenda Libya mkataba wao pia unaitaka mamlaka ya Libya...
Nchi ya Rwanda imekubali kupokea waombaji wa ukimbizi waliongia nchini Uingereza kwa njia zisizo halali.
Watu hao wakifika Uingereza watakuwa wanapelekwa Rwanda wakati maombi yao yakifanyiwa kazi.
Rwanda watapokea fedha kwa ajili ya kazi hiyo.
Matarajio ni kwamba nchi hii itapokea wakimbizi...
13 April 2022
Britain Makes Migrant Pact With Rwanda
Prime Minister Boris Johnson’s office said he would announce a migration partnership with Rwanda on Thursday, prompting speculation that the deal will include sending migrants arriving in Britain to the African country for processing...
Nimekuwa nisoma visa vingi sana ndani ya BBC Swahili, mashuhuda wakihojiwa moja kwa moja tena kukiwa na ushahidi wa wa kimazingira ili kuepuka wafuasi wa Putin kusema ni propaganda. Soma visa hivi kashaa
TAHADHARI KAMA NI MUOGA USISOME SABABU NI HADITHI ZA KUTISHA
Katika eneo tulivu, la...
Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.
Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
wakuu tumekuwa tukisikia sifa za wanyarwanda kuwa wako juu sana kwenye hizi issue za tech lakini cha kushangaza mbona hakuna mtandao hata mmoja wa kijamii uliotengenezwa na mnyarwanda ambao tunaweza kuulinganisha na hii JF ya Melo
afadhali wakenya wao wana kenyatàlk nk ambao kiuhalisia ni...
KCB Group has received regulatory approval from the National Bank of Rwanda (BNR) to merge its newly acquired Banque Populaire du Rwanda (BPR) and KCB Bank Rwanda.
The two banks will now operate as a single entity named BPR Bank Rwanda Plc, with KCB Group as the majority shareholder effective...
Ni pongezi kubwa kwa EAC kukalibisha congo kuingia kwenye EAC ila bado kitendawili ambacho DRC kutaka kifumbuliwe ni kuhusu vikundi vilivyomo ndani ya nchi yake.
Je, EAC itakubali kuyajadili haya ukiachana na uchumi na mambo mengine.
• On the day that DRC formally joined the EAC, thousands...
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo linasema kuwa wanajeshi wa Rwanda waliwasaidia waasi wa M23 wakati wa shambulio la Jumatatu karibu na mpaka wake na Rwanda na Uganda.
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limesema limewakamata wanajeshi wawili wa Rwanda waliohusika na shambulizi...
Rwanda and the Democratic Republic of Congo (DRC) were the most profitable regional subsidiaries for Kenyan lenders KCB Group and Equity Group respectively in 2021, revealing the benefits of acquisitions they made in those countries.
KCB acquired Banque Populaire du Rwanda (BPR) in June last...
Habari kutoka nchi jirani ya Rwanda zinasema mipaka yake yote hatimaye jana rasmi imefunguliwa.
Ikumbukwe mpaka wa Tanzania - Rwanda (Rusumo) umekuwa umefungwa tangia March 2020 kwa sababu ya Corona.
Ilikuwa ni hoi hoi na nderemo kwa wanyarwanda kina yakhe kupata hatimaye nafasi japo ya...
Shangwe limeibuka kwa wakazi wa Rwanda na Uganda baada ya mpaka Gatuna unaotenganisha nchi hizo, kufunguliwa rasmi leo Jumatatu.
Mpaka huo uliopo wilaya ya Gicumbi ulifungwa mwaka 2019 kutokana na maelewano mabovu baina ya nchi hizo mbili ambazo ni majirani...
yes yes yes hongera dikteta Kagame atleast unajali ....kuna ncgi ya kusadikika hadi leo haijui idadi ya raia wake waliokwama huko ni full u]unafiki tu, raia wa Rwanda wanafunzi waliokwama ni 85 , 79 wako poland na Blearus , 6 wako njiani wako in contact na balozi za Rwanda..kuan nchi ya...
Takwimu zinaonyesha nchi yenye gesi nyingi duniani ni Urusi na ya pili Iran. Msumbiji ni ya 14 duniani na tanzania ni ya 82. Takwimu hizo zinaonyesha kuwa Rwanda na Uganda wana reserve kubwa ya gesi kuliko sisi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.