Viongozi 7 wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanatarajiwa kukutana leo Juni 20, 2022 Jijini Nairobi, Kenya mada kuu ikiwa ni mgogoro unaoendelea kati ya DRC na Rwanda.
Kumekuwa na mapigano makali yanayofufua uhasama wa miongo kadhaa kati ya mataifa hayo mawili, ambapo DRC inailaumu Rwanda...
Hii ni hatari mno kwa usalama wa nchi yetu!
Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza kwenye nyanja mbalimbali kuanzia kilimo,viwanda na biashara mbalimbali kwenye maeneo niliyoyataja hapo.
Ifahamike, sera na wanahistoria wa Rwanda wanatambua eneo lote kuanzia Kagera, Kigoma, Geita na hata Kahama...
Mwanajeshi mmoja wa jeshi la DRC liitwalo FARDC ameivamia nchi ya Rwanda Leo trh 17.06.2022 alfajiri. Jamaa akiwa na bunduki aina ya AK 47 amaevamia post ya mpaka na kuingiza nchini Rwanda.
Jamaa amewasambilia wanajeshi wa Rwanda na kuua watatu na kujeruhi wengine.
Aidha Jeshi la Rwanda...
Leo ni siku ninayokumbuka ndugu zetu na majirani zetu Wa Rwanda na Burundi walipopata jinamizi la mauaji ya kimbali, na wale waliobahatika kukimbilia Tanzania kwa idadi kubwa.
Tuliwapokea na wengine tukawapa hifadhi kabla ya wote kuhamishiwa makambini, wale tuliowapokea walimuua Mama yangu...
Serikali ya Uingereza imesitisha mpango wa safari ya ndege iliyotakiwa kuwabeba waomba hifadhi kwenda Rwanda baada ya Mahakama ya Haki za Binaadamu ya Ulaya kusema mpango huo unaakisi athari zisizoweza kurekebishwa.
Awali ilielezwa ndege hiyo ingeanza safari Juni 14, 2022 bila kujua idadi ya...
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeishutumu Rwanda kwa uvamizi baada ya waasi wa M23 kuuteka mji muhimu wa Bunagana uliopo mpakani mwa Rwanda na DRC, na hivyo kuashiria kuongezeka kwa hali ya wasiwasi kati ya nchi hizo jirani
Mji wa Bunagana ulioko kaskazini mashariki mwa Goma, una...
Hofu imetanda kuwa Wa Afghan waliokimbilia UK kwa kuukimbia utawala wa kiisalm wa TALIBAN ndi watakuwa mstari wa mbele kupelekwa Kigali. Hii inaweza kuashiria kuwa Uk inahofia uwepo wa watu hawa kwenye ardhi yake
My take: EAC tujiandae kwa mabadiliko ya mikataba ya maingiliano
FUATILIA HAPA...
Vikosi vya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) vimeishutumu Rwanda kwa kutuma vikosi maalum kwa kujificha katika ardhi ya nchi hiyo, huku mzozo unaoendelea baina ya nchi hizo ukichochea ghasia mashariki mwa nchi hiyo.
Jeshi la DRC lilidai kuwa wanajeshi 500 waliovalia sare za...
Kwa mfano Burundi ina Uwanja wake wa Mpira tena mzuri tu kilichowafanya waihamishe hiyo Mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2023 Ivory Coast kutoka Bujumbura Kwao kuja Kwetu Tanzania ni nini?
Na ni kwanini kila Kitu Burundi ( hasa Serikali yao ) ikifanya au ikiamua tu ni lazima ama Waiige Tanzania au...
Rwanda imelaumu Jeshi la MONUSCO la Umoja wa Mataifa kwa ukimya wake wakati huu ambapo mgogoro wa taifa hilo dhidi ya DR Congo ukiendelea.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Dkt. Vincent Biruta amesema hawatavumilia pindi wakishambulia na wapo tayari kulipa kisasi wakidai kuwa DRC walirusha...
Mamia ya watu wameingia katika mitaa ya mji mkuu wa Kongo, Kinshasa, kulaani madai ya Rwanda kuwaunga mkono waasi wa M23. Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika aonesha wasiwasi mkubwa kutokana na mvutano kati ya Rwanda na DRC.
Mei 30, 2022, mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Rais wa Senegal Macky Sall...
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi amekubali kuwaachilia wanajeshi wawili wa Rwanda ambao nchi yake inawashikilia.
Maamuzi hayo yamefikiwa baada ya Rais wa Angola Joao Lourenco kufanya mazungumzo na Rais Tshisekedi, jana Mei 31, 2022, baada ya hapo Lourenco...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imeishutumu Rwanda kwa kukisaidia Kikundi cha M23 baada ya Jeshi la DR Congo kushambuliana na kikundi hicho katika mashambulizi makali Mashariki mwa Taifa hilo yaliyotokea Mei 26, 2022.
Mashambulizi hayo yaliyotokea Kaskazini mwa Mji wa Kivu karibu na...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika moja ya ziara zake kurekodi The Royal Tour, 2021
Tumesikia na kuona Rais Samia akiwa katika kile kilichojulikana kama The Royal Tour, lakini huenda kuna baadhi yetu hatujaelewa ni kitu gani hiki.
Wapo wanaodhani Rais kajitungia jina na kutafuta wapiga...
Shindano la urembo la Miss Rwanda limesitishwa baada ya mwandaaji wake Dieudonné Ishimwe kukamatwa mwishoni mwa mwezi Aprili kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono.
-
Ishimwe, 36, mwanamuziki wa zamani aliyefahamika pia kama Prince Kid, anakabiliwa na mashtaka ya ubakaji, kuomba au kutoa upendeleo...
Ahlan wa Sahlan
Habari zenu wana JF:
Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.
Bei ya mafuta kwa...
Mbele kwa mbele...
------
KCB Group is banking on its new subsidiary BPR Bank Plc Rwanda to more than double its regional business in the next two years and support economic expansion in the East African country.
KCB said scaling its regional business was critical for the future, adding that...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.